Majala Kimolo
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 342
- 39
Cynic am sorry kusema kuwa umekuwa bias na kuaundermine uhuru wa mtu kutoa maoni,Kilaini ametoa wazo kama mtu mwingine alivyo na uhuru wa kutoa maoni.
Au unaogopa kwa kuwa ni mtu mkubwa kidogo basi serikali itakurupuka kuutekeleza bila kuwa na analysis.
If you belong to the so called churches with 200 WAUMINI WORRY NOT kuwa na amani ya roho na mwili bwana yale ni maoni yake kama mtanzania.
Kumbuka akili ni nywele kila mtu ana zake.
Afterall serikali imesema itajipanga to dig deep into that
Hapa hipo kazi.
..hata Kiswahili inakuwa taaaaabu kwelikweli
Mkuu nadhani una maanisha kinakuwa taaaabu kweli kweli na si inakuwa taaaaabu kwelikweli. Wakulu wataalamu wa lugha mnaweza kuni sahihisha.
Mkuu nadhani una maanisha kinakuwa taaaabu kweli kweli na si inakuwa taaaaabu kwelikweli. Wakulu wataalamu wa lugha mnaweza kuni sahihisha.
..hata Kiswahili inakuwa taaaaabu kwelikweli
Si unajuwa kuwa Nyani haoni desh deshi lake! Chuki zikizidi busara ukimbia zake...
Badala ya kurekebisha ndio kwanza anakandia na kuharibu zaidi.
Mkuu nadhani una maanisha kinakuwa taaaabu kweli kweli na si inakuwa taaaaabu kwelikweli. Wakulu wataalamu wa lugha mnaweza kuni sahihisha.
BTW,
kuni sahihisha sio kiswahili..neno sahihi ni kunisahihisha ...hicho ulichoandika kitakuwa kilugha chako cha kibara huko kwenu.
Wewe ndio mwenye kuleta falsafa na ujuwaji mwingi bila ya kuonyesha kilicho kuwa sahihi. ...hazina nafasi. lol!Onesha nilipokosea ..haya maneno ya jumlajumla na kuleta falsafa za uongo na kweli hazina nafasi.
Wewe ndio mwenye kuleta falsafa na ujuwaji mwingi bila ya kuonyesha kilicho kuwa sahihi. ...hazina nafasi. lol!
Ah ah ah ah poor XP... wanakwenda mbio wakiona jina... Maskini kijana mwenyewe hata mononi hajai.Kuonesha kilicho sahihi? Kijana naona kwenye hii post umejitahidi kidogo kuandika kiswahili. Piga moyo konde uje huku kwetu Chakechake tukufunze kiswahili fasaha. lol
Ah ah ah ah poor XP... wanakwenda mbio wakiona jina... Maskini kijana mwenyewe hata mononi hajai.
Eeh eh! Lete stori zaidi...! Pemba... Kiwahili! Fasaha! ...Pemba! lol!
Tarrrrrrrtiiiiiiiiiiiiiibu hisia za mshangao zilitaka kuja... zikakatikia njiani.????????????????????????????????????/
Mpendwa kipimo kipi kitatumiwa na serikali kujua hili kweli kanisa na lipi si kanisa? Je idadi ya watu ndo calibration ya hiyo meter itakayopima hayo makanisa? Nadhani hayo yatakuwa si makanisa kwa maana ya kanisa bali NGOs, CBOs, or any other organizations. Jaribu kukubali ukweli bila kuweka hisia. Huoni kuwa Askofu Kilaini na Gamanywa hapo anatetea uhai wa Kanisa lake kwani serikali kutoa democracy ya kuamini chochote inawapa freedom wakatoliki na wapentekoste kuhama ukatoliki au upentekoste kwenda kwingine? Ndo maana siamini katika dini kabisa maana binadamu wachache wana monopolise dini kwa faida binafsi na kuacha agenda ya Mungu nje yaani Imani. Kama kweli Kilaini anaamini katika roho mtakatifu yeye anashida gani? maana Yesu alisema hataliacha kanisa mpaka ukamilifu wa dahari meaning anauwezo wakulilinda lisifutike sasa hilo lake mbona anataka kulilinda kwa nguvu ya kidunia badala ya kimungu? Kama Mungu yupo pamoja nae nani atakua kinyume nae? Na kama issue ni kodi kwani hata kanisa likiwa na watu milioni thelathini matapeli je hawata kwepa kulipa kodi? Je hata kama hao milioni thelathini ni waaminifu Askofu wao akawa tapeli je hilo kanisa halitakwepa kulipa kodi?