kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Ni kweli kabisa! Viongozi wa dini ni wadau na washiriki wa maendeleo ya taifa kutokana na huduma taasisi zao zinazotoa kwa jamii/umma wa Watanzania katika sekta mbalimbali.Akichangia Mjadala Katika Kipindi cha Minzani Kilichorushwa mubashara na TBC Kilichowajumuisha pia Shehe Salim Aliyekuwa Shehe mkuu Wa Dsm, Hamadi Rashid M/kiti Wa ADC na Mkongwe Steven Wasira.
Askofu Kilaini Amesema Si vyema Viongozi wa Dini Kutumia Mimbari Ukiwa bado umevaa Cheo chako au Joho lako la kichungaji Kuhubiri Siasa hasa Ukiwa Una Tiketi ya Chama fulani.
Lakini ni Wajibu Kamili Kukemea Uvunjivu Wa Maadili,Kutetea Uadilifu kwa wananchi na Hasa hasa Viongozi kwa Maslahi Mapana ya Wote kwenye nchi..!
Nalo hilo muende mkalitazame ..!
Maadili na Utawala bora......mwisho wa KunukuuAkichangia Mjadala Katika Kipindi cha Minzani Kilichorushwa mubashara na TBC Kilichowajumuisha pia Shehe Salim Aliyekuwa Shehe mkuu Wa Dsm, Hamadi Rashid M/kiti Wa ADC na Mkongwe Steven Wasira.
Askofu Kilaini Amesema Si vyema Viongozi wa Dini Kutumia Mimbari Ukiwa bado umevaa Cheo chako au Joho lako la kichungaji Kuhubiri Siasa hasa Ukiwa Una Tiketi ya Chama fulani.
Lakini ni Wajibu Kamili Kukemea Uvunjivu Wa Maadili,Kutetea Uadilifu kwa wananchi na Hasa hasa Viongozi kwa Maslahi Mapana ya Wote kwenye nchi.
Nalo hilo muende mkalitazame!
Hiyo TBC bado inarusha matangazo yake? Kwa jinsi hiyo TV ya umma ilivyojigeuza kipaza sauti cha CCM, huwa nasikia kinyaa hata kuitazama.Akichangia Mjadala Katika Kipindi cha Minzani Kilichorushwa mubashara na TBC Kilichowajumuisha pia Shehe Salim Aliyekuwa Shehe mkuu Wa Dsm, Hamadi Rashid M/kiti Wa ADC na Mkongwe Steven Wasira.
Askofu Kilaini Amesema Si vyema Viongozi wa Dini Kutumia Mimbari Ukiwa bado umevaa Cheo chako au Joho lako la kichungaji Kuhubiri Siasa hasa Ukiwa Una Tiketi ya Chama fulani.
Lakini ni Wajibu Kamili Kukemea Uvunjivu Wa Maadili,Kutetea Uadilifu kwa wananchi na Hasa hasa Viongozi kwa Maslahi Mapana ya Wote kwenye nchi.
Nalo hilo muende mkalitazame!
Sasa kwanini viongozi wa dini wakikemea uovu mnawafunga midomo kisa wao sio wanasiasa?Mambo ya Waraka haikuwa ajenda..!
Aligusia dhana nzima Ya Kiongozi Wa Dini Kutumia Mimbari kwa Minaajiri ya Kunufaika..!
Akasema ikifikia hapo basi Vua joho Lako Hamia Kwenye Siasa..!
Akasema Pia Viongozi wa Dini Wasiache kbs, Wapaze Sauti Pale Viongozi wenye dhamana Wanapokengeuka ili Taifa Na Mali Zake Zibaki Salama....!