Askofu Machumu wa Gwajima asema Kanisa lao halijafungwa, waapa kurejea kanisani Jumapili

downloadfile-1.jpg
 
Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa

"Nafasi ya kujitetea hatujapewa, kwahiyo tuna-confirm wazi kwamba Kanisa letu halijafungwa na kwasabau hiyo kwa kuwa halijafungwa Jumapili tunaendelea na Ibada kama kawaida"

==

Wakati kesi iliyofunguliwa na kanisa la Glory of Christ Tanzania Church ikiendelea katika Mahakama Kuu Masjala ya Dodoma, uongozi wa kanisa hilo umesema kanisa lililotajwa kufungiwa na Msajili wa Jumuiya za Kiraia sio lao, bali ni Glory of Christ Church.

Juni 2 Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kwa kile alichoeleza limekiuka Sheria ya Jumuiya Sura ya 337, kwa kutoa mahubiri yenye mwelekeo wa kisiasa na nia ya kuichonganisha Serikali na wananchi.

Hata hivyo, Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari leo jijini Dodoma baada ya kesio hiyo, Naibu Katibu wa kanisa hilo, Askofu Maximilian Machumu maarufu Mwanamapinduzi amesema tangazo hilo la Msajili haliwahusu kwani kanisa linalozungumziwa sio lao, hivyo aamewataka waumini wao wafike kanisani Jumapili kuendelea na ibada kama kawaida.

Mitano tena kwa mama anaupiga mwingi
 
View: https://youtu.be/SQ2mjrJqLAM?si=VBSpdX4Jgjq7NlPP
 
Title ya thread yako inakoleza mambo bila sababu..

Hivi hapo wameapa au wametoa taarifa ya kawaida tu kwa waumini wao kuwa Jumapili ibada zinaendelea kama kawaida kwa kuwa kanisa lao halijafutiwa usajili?

Kutumia neno "wameapa" ni kana kwamba kuna mapambano ya pande mbili zilizo kwenye ugomvi zikiapizana..

Mpaka hapo hakuna ugomvi, GCTC halijafutiwa usajili, Hivyo ile confusion iliyofanywa na polisi wakitumwa na wahuni wanaoitwa "wasiojulikana" imeshakuwa cleared na waziri pamoja na mahakama kuwa kanisa la GCTC halihusiki na amri ile ya msajili wa civil societies ya kufuta usajili bali wahusika ni kanisa lenye jina la GCC...

Kwa hiyo, tunawaasa polisi kutoa tepe zao kuzunguka kwenye majengo yetu ya ibada ya makanisa ya GCTC yote Tanganyika na badala yake waisome vizuri barua ya ufutaji kanisa, kisha walitafute kanisa husika la GCC lililpo na kuhamishia tepe zao huko...!
 
Back
Top Bottom