Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Hatari..
Vip kijana odemba
Mitano tena kwa mama anaupiga mwingiAskofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa
"Nafasi ya kujitetea hatujapewa, kwahiyo tuna-confirm wazi kwamba Kanisa letu halijafungwa na kwasabau hiyo kwa kuwa halijafungwa Jumapili tunaendelea na Ibada kama kawaida"
==
Wakati kesi iliyofunguliwa na kanisa la Glory of Christ Tanzania Church ikiendelea katika Mahakama Kuu Masjala ya Dodoma, uongozi wa kanisa hilo umesema kanisa lililotajwa kufungiwa na Msajili wa Jumuiya za Kiraia sio lao, bali ni Glory of Christ Church.
Juni 2 Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kwa kile alichoeleza limekiuka Sheria ya Jumuiya Sura ya 337, kwa kutoa mahubiri yenye mwelekeo wa kisiasa na nia ya kuichonganisha Serikali na wananchi.
Hata hivyo, Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari leo jijini Dodoma baada ya kesio hiyo, Naibu Katibu wa kanisa hilo, Askofu Maximilian Machumu maarufu Mwanamapinduzi amesema tangazo hilo la Msajili haliwahusu kwani kanisa linalozungumziwa sio lao, hivyo aamewataka waumini wao wafike kanisani Jumapili kuendelea na ibada kama kawaida.
Waende tu wakasali wakutane na virungu
Mi yangu macho tu.Waende tu wakasali wakutane na virungu
Hata maaskofu wa Gwajima wanakiburi kama cha boss wao, wanataka kushindana na dola ngoja tuoneMi yangu macho tu.
Ngumi ngumi mkuu - Kama daudi alivyomuangusha Goliath.Hata maaskofu wa Gwajima wanakiburi kama cha boss wao, wanataka kushindana na dola ngoja tuone
Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa
"Nafasi ya kujitetea hatujapewa, kwahiyo tuna-confirm wazi kwamba Kanisa letu halijafungwa na kwasabau hiyo kwa kuwa halijafungwa Jumapili tunaendelea na Ibada kama kawaida"
==
Wakati kesi iliyofunguliwa na kanisa la Glory of Christ Tanzania Church ikiendelea katika Mahakama Kuu Masjala ya Dodoma, uongozi wa kanisa hilo umesema kanisa lililotajwa kufungiwa na Msajili wa Jumuiya za Kiraia sio lao, bali ni Glory of Christ Church.
Juni 2 Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kwa kile alichoeleza limekiuka Sheria ya Jumuiya Sura ya 337, kwa kutoa mahubiri yenye mwelekeo wa kisiasa na nia ya kuichonganisha Serikali na wananchi.
Hata hivyo, Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari leo jijini Dodoma baada ya kesio hiyo, Naibu Katibu wa kanisa hilo, Askofu Maximilian Machumu maarufu Mwanamapinduzi amesema tangazo hilo la Msajili haliwahusu kwani kanisa linalozungumziwa sio lao, hivyo aamewataka waumini wao wafike kanisani Jumapili kuendelea na ibada kama kawaida.
Yupo hewani Anthony Lusekelo?Mzee wa Upako aliongea vizuri sana, unafunga Kanisa Kwani Watoto wadogo Wana kosa gani? Wana kwaya Wana Shida Gani? Stupid
Kanisa ni huduma na sio biashara thus halilipi kodiKANISA NI LA GWAJIMA NA NI BIASHARA YAKE.
Amen!Sema amina
Title ya thread yako inakoleza mambo bila sababu..Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa