Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nimeona askari wakiwa na mitutu kwenye maeneo ya kanisa la KKKT hapa Mwanza, nimeshtuka sana kwamba watumishi wa umma wametoka na mfumo wa serikali ofisini na sasa wanataka waendeshe na makanisa.
Pamoja na kuona dalili hizi na nikikumbuka uchaguzi uliofanyika Arusha kumchagua Malasusa; lakini pia nikikumbuka kauli zake wakati wa JPM sidhani kuna Askofu. Naona kama dola inapanga nani awe askofu na anapaswa kumtumikia aliyemweka na siyo Mungu.
Kwa utandawazi uliopo sasa naamini waumini watapungua na miradi ya kanisa itakufa wakati akisherehekea kuwa karibu na dola kanisa linateketea.
Tubuni la sivyo Mungu siyo binadamu; waumini wakipiga magoti kuhoji uhalali sidhani kama kuna kupona. Natambua soon mtaanza kupekekana mahakamani.
Mzee wangu Bagonza tafakari kustaafu kabla ujachafuka.