Askofu Malasusa anavuruga KKKT; namwona kama anaingiza dola kwenye kanisa badala ya kuingiza dini

Askofu Malasusa anavuruga KKKT; namwona kama anaingiza dola kwenye kanisa badala ya kuingiza dini

Naam , Mara nyingi serikali ya Tanzania inapanga safu KKKT , Wakatoliki wamenusurika kwa vile viongozi wake wanatoka VATICAN , ni wachache sana huwa wanakengeuka , mfano ni pollycap Pengo
Kwanini anaitwa pengo? Ana pengo sehemu nadhani.

Majina mengine yanaenda na tabia.
 
Back
Top Bottom