masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,207 Reaction score 13,839 Apr 15, 2024 #41 DUBULIHASA said: Dayosisi ya konde,,, Dayosisi ya ngumi bila shaka Tukuyu moja hiyo.... Click to expand... Bado nilimdharau sana Bagonza kwa kuside na the bad lot!
DUBULIHASA said: Dayosisi ya konde,,, Dayosisi ya ngumi bila shaka Tukuyu moja hiyo.... Click to expand... Bado nilimdharau sana Bagonza kwa kuside na the bad lot!
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,207 Reaction score 13,839 Apr 15, 2024 #42 cj21125 said: Kuna vitu unachanganya hapa. Kumbuka aliunga mkono hoja zake na sio vimada na ushirikina wake Click to expand... Vimada, ushirikina na mtumwenyewe ndiyo kitu Bagonza alivishabikia!
cj21125 said: Kuna vitu unachanganya hapa. Kumbuka aliunga mkono hoja zake na sio vimada na ushirikina wake Click to expand... Vimada, ushirikina na mtumwenyewe ndiyo kitu Bagonza alivishabikia!
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,652 Reaction score 5,242 Apr 15, 2024 #43 Erythrocyte said: Naam , Mara nyingi serikali ya Tanzania inapanga safu KKKT , Wakatoliki wamenusurika kwa vile viongozi wake wanatoka VATICAN , ni wachache sana huwa wanakengeuka , mfano ni pollycap Pengo Click to expand... Kwanini anaitwa pengo? Ana pengo sehemu nadhani. Majina mengine yanaenda na tabia.
Erythrocyte said: Naam , Mara nyingi serikali ya Tanzania inapanga safu KKKT , Wakatoliki wamenusurika kwa vile viongozi wake wanatoka VATICAN , ni wachache sana huwa wanakengeuka , mfano ni pollycap Pengo Click to expand... Kwanini anaitwa pengo? Ana pengo sehemu nadhani. Majina mengine yanaenda na tabia.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Apr 15, 2024 #44 Hapana Kanisa Na Bunduki Tena