Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Huyo ni wa kwenu.Hilo zee mashavu kama linapuliza puto halijawahi kuwa na akili
nonsense 🐒
Soma vizuri biblia, kanisa katoliki limejengwa juu ya mwamba, litapitia misukosuko ila halitatikisika mileleKauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
Lipigwa mitinonsense 🐒
Sheikh watoka Micheweni!nonsense 🐒
Siafiki mimbari kutumika kisiasa.Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
chochezi huuKauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
Ungeweka hicho alichosema, sasa hapa tunajadili nini?.Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
Lini na kipi kibaya katoliki wamesema kuhusu serikali?1. Kuna sehemu yoyote alitaja katholiki?
2. Okay, katholiki kuisema vibaya serikali na ccm ni ruksa, lakn katholiki kuguswa hapana eti? Huu nao ni ujuha
3. Kwani katholiki wanayomamlaka ya kuipangia kkkt ifanye nini? Kila kanisa lina taratibu zake na sera yake ya kimahusiano na utawala wa nchi.
NYIE ENDELEENI NA UTECDEMA WENU HUKO, acheni kupangia taratibu makanisa mengine!
Anafikiri wote mlikuwepo huko kanisani.Ungeweka hicho alichosema, sasa hapa tunajadili nini?.
Tutamfurahisha we subiri.Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
Gentlemannonsense 🐒