Kasemaje?Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
Atasalimiwa Wanajisahau Wananchi Wanawa~ZoomTutamfurahisha we subiri.
Gentleman,Gentleman
Nchi Hii Ni Yetu Sote Tena Tunapaswa Kusema Bila Kujari
Muhimu Maslahi Ya Tanzania Yawe Mbele
Sasa kama aliwekwa na hao hao CCM atafanya niniKauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
Ukitoka kunywa pombe subiri itulie kwanza kisha uje uandike.1. Kuna sehemu yoyote alitaja katholiki?
2. Okay, katholiki kuisema vibaya serikali na ccm ni ruksa, lakn katholiki kuguswa hapana eti? Huu nao ni ujuha
3. Kwani katholiki wanayomamlaka ya kuipangia kkkt ifanye nini? Kila kanisa lina taratibu zake na sera yake ya kimahusiano na utawala wa nchi.
NYIE ENDELEENI NA UTECDEMA WENU HUKO, acheni kupangia taratibu makanisa mengine!
Ustadhi nina ubwabwa sinia mbili ndugu yangu. Na tende piaKKKT wanajielewa vizuri sana
Lkn
Lile Kanisa linaongozwa na Msingida Chadema nayo Msingida
Tutegemee nini apo kama sio kuzika Watoto wetu🫎😭😭😭😭