Askofu Malasusa kwanini anataka tena Uaskofu Mkuu KKKT?

Askofu Malasusa kwanini anataka tena Uaskofu Mkuu KKKT?

20230823_102430.jpg
 
Ni vigumu kuwaamini hawa wanaojiita kanisa. Huyu malasusa alikuwa na tuhuma za kumchukua mke wa kondoo wake kingono na katika utawala wa mwendazake alilihujumu kanisa na alikuwa akihudumiwa na serikali hata kwa kupewa ulinzi magari ya umma na ulinzi binafsi.
Halafu katika miradi ya kanisa ndiye aliyeiua hospitali ya KCMC kwa kumuweka swahiba wake ambae hata hakuwa Dr kuwa mkuu wa hospitali. Huyu mkuu wa KCMC alikuwa fisadi linaloishi Dar na kufanya kazi Moshi kwa gharama kubwa sana . Alikuwa akihudhuria kazini kwa kutumia usafiri wa ndege huku land cruiser V8 ikimfuata kwa barabara kwenda kumhudumia kwenye kula bata.
Sasa chuo kikuu Tumaini na hospitali ya KCMC wajiandae kisaikolojia kuporomoka kama wakati ule wa kipindi chake.
Ajabu kuu kwa uchaguzi wa kkkt ni rushwa na propaganda za maji taka kutawala kiasi cha kuwapa watu wasi wasi kama hili ni kanisa au mojawapo ya jumuiya za kisiri mfano wa ma-freemason, Illuminati nk.
Muda ndio utakuwa hakimu sahihi wa kutambua uhalisia wa huu uongozi wa kanisa la KKKT.

Sio rahisi, kama sikosei kcmc ni Mali ya dayosisi ya moshi, malasusa hawezi kuwaingilia
 
Back
Top Bottom