Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hii dayosisi yetu ya Mashariki na Pwani kuna upigaji mwingi sanaNi ajabu kabisa, huku DMP anajichotea tu mihela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii dayosisi yetu ya Mashariki na Pwani kuna upigaji mwingi sanaNi ajabu kabisa, huku DMP anajichotea tu mihela
Alhadi aliondoka kwa aibu Tena ya kuingialia mambo ya chumbani kwa watu, halafu ujua jamaa alikaa pale more than 20yearsKwenye uislam huwezi kukuta upuuzi huu, eti Alhad Musa awe tena sheikh mkuu wa mkoa wa dar.
Ni malijaliIvii KKKT maaskofu wanaoa?
Hafai kabisaMimi nawashangaa hao wajumbe kwa kweli
Sisi ndiyo waumini hivyo tuna haki ya kulalamikaEbu tujuzeni, waliomchagua wanatoka madhehebu gani Hadi nyie wa KKKT mnampinga?
🤣🤣Haya majunguNi vigumu kuwaamini hawa wanaojiita kanisa. Huyu malasusa alikuwa na tuhuma za kumchukua mke wa kondoo wake kingono na katika utawala wa mwendazake alilihujumu kanisa na alikuwa akihudumiwa na serikali hata kwa kupewa ulinzi magari ya umma na ulinzi binafsi.
Halafu katika miradi ya kanisa ndiye aliyeiua hospitali ya KCMC kwa kumuweka swahiba wake ambae hata hakuwa Dr kuwa mkuu wa hospitali. Huyu mkuu wa KCMC alikuwa fisadi linaloishi Dar na kufanya kazi Moshi kwa gharama kubwa sana . Alikuwa akihudhuria kazini kwa kutumia usafiri wa ndege huku land cruiser V8 ikimfuata kwa barabara kwenda kumhudumia kwenye kula bata.
Sasa chuo kikuu Tumaini na hospitali ya KCMC wajiandae kisaikolojia kuporomoka kama wakati ule wa kipindi chake.
Ajabu kuu kwa uchaguzi wa kkkt ni rushwa na propaganda za maji taka kutawala kiasi cha kuwapa watu wasi wasi kama hili ni kanisa au mojawapo ya jumuiya za kisiri mfano wa ma-freemason, Illuminati nk.
Muda ndio utakuwa hakimu sahihi wa kutambua uhalisia wa huu uongozi wa kanisa la KKKT.
Mbona CCM wamemteua Sheik wa mkoa wa Dar kuwa sijui mkuu wa elimu?Mkuu acha kuchanganya siasa na dini
Ongezea na Mbowe hapo. Mi Chadema lakini kung'atuka mapema ni jambo naloliheshimu sanaKwenye suala la kupenda madaraka Askofu Alex Malalusa na Robert Mugabe hawana tofauti kubwa.
🤣🤣🤣Wakupe wewe sasaMungu alinisuru kanisa, Malasusa alichafuka toka siku nyingi hata alipokuwa mkuu wa KKKT mambo yalikuwa hovyo.
Kuna siku nimeswitch upendo TV nilipokutana nae tu akihubiri nikabadilisha. Malasusa yuko kisiasa zaidi kuliko kiroho na siasa ndiyo iliyomrudisha hapo.
We mtu anaitwa kesho mshahara?🤣Tulikuwa tunamtegemea Dr. Abednego Keshomshahara ndio awe mkuu
Mlungula umetembezwaNa waliomchagua nao Tiss?
NdioIvii KKKT maaskofu wanaoa?
🤣🤣🤣🤣 inabidi sasa ushangaeKKKT wakimpitisha Malalasusa nitawashangaa.
Wamefanana kabisa kitabia,huyu ni chawa wa Serikali muda si mrefu migogoro itaanza KKKT.
Kura zimepigwa na wanadamu weziye (maaskofu weziye), Mungu hakuusika kwenye upigaji kuraSiku Zote kanisa linaongozwa na Roho Mt sio mtu.Ikiwa kuchaguliwa kwake kunatokana na Mungu,tusinug'unuke tusiyetukaonekana tunapingana na Mungu.(matendi ya mitume 5:38)