kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Humuelewi huyo au wale wote wanaong'ang'ania madaraka bila kikomo cha uongozi!Huyu Mzee bado simuelewi, sijui alisahau nini kwa miaka 8 ameshika hicho cheo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humuelewi huyo au wale wote wanaong'ang'ania madaraka bila kikomo cha uongozi!Huyu Mzee bado simuelewi, sijui alisahau nini kwa miaka 8 ameshika hicho cheo
Kama ndio hivyo, Ccm wamepata mshirika.Malasusa alishamaliza two terms za uaskofu Mkuu, baada ya mabadiliko ya katiba amegombea tena uaskofu Mkuu; je ana jambo jipya kwa taasisi hii yenye watu zaidi ya milioni nane NCHINI?
Endapo atapata, hakuna uwezekano akaikabidhi taasisi hii kwenye dola kama alivyofanya DSM akiwa mjumbe wa kamati ya amani? Kwanini asikubali kustaafu? Kama katika regime yake aliweza kumpa likizo mchungaji Kimaro, nini tutegemee kwa wachungaji walokole akirejea kwenye nafasi ya juu?
Je, akina Bagonza watabaki salama ndani ya kanisa? Hakuna uwezekano akashirikiana na Askofu wa Tanga ambaye kwa urgument na perception ni mwanamfumo kulifanya kanisa liondoke kwenye malengo yake liwe na mrengo wa kutetea dola?
Hapa ndipo maombi yanahitajika zaidi kuone kesho kabla haijafika
Shangaa sasa...KKKT wakimpitisha Malalasusa nitawashangaa.
Inasikitisha sana,jasusi kuongoza KKKTTumekwisha
Kwani maaskofu wenzake wanaonaje ?Anaitwa Alex GEHAZ Malalusa yani hapa ndio shida inapoanzia kwenye hii GEHAZ. Ktk biblia huyu bwana alikuwa chawa wa nabii Elisha na mwenye tamaa nyingi kiasi cha kufanya utapeli kwenye kazi ya kinabii ya Elisha. Alipata ukoma na kupotea vibaya.
nasikia najua kuroga sanaKKKT wakimpitisha Malalasusa nitawashangaa.
Pia, wakati mwendazake akitenda mambo ya kikatili na uongozi usio wa kidemokrasia huyu Malasusa aliamua kuwa rafiki yake binafsi kwa mgongo wa Kanisa akiitumia Dayosisi ya mashariki na pwani.
Deal done kazi kwako!KKKT wakimpitisha Malalasusa nitawashangaa.
Usichanganye dini na siasaNi nguvu ya System ili imtumie Okay?
Wewe Mwislamu, yanakuhusu nini?Malasusa alishamaliza two terms za uaskofu Mkuu, baada ya mabadiliko ya katiba amegombea tena uaskofu Mkuu; je ana jambo jipya kwa taasisi hii yenye watu zaidi ya milioni nane NCHINI?
Endapo atapata, hakuna uwezekano akaikabidhi taasisi hii kwenye dola kama alivyofanya DSM akiwa mjumbe wa kamati ya amani? Kwanini asikubali kustaafu? Kama katika regime yake aliweza kumpa likizo mchungaji Kimaro, nini tutegemee kwa wachungaji walokole akirejea kwenye nafasi ya juu?
Je, akina Bagonza watabaki salama ndani ya kanisa? Hakuna uwezekano akashirikiana na Askofu wa Tanga ambaye kwa urgument na perception ni mwanamfumo kulifanya kanisa liondoke kwenye malengo yake liwe na mrengo wa kutetea dola?
Hapa ndipo maombi yanahitajika zaidi kuone kesho kabla haijafika
Mimi nilisema toka mwanzo kwamba selikali haiwezi kuruhusu Bagonza awe mkuu wa KKKT ndio sababu ya kupita kwa Malasusa!Huyu huwa anafikaga bei na Serikali,nahisi Idara ilikuwa kazini kuhakikisha anashinda hiyo nafasi.
Hafuati mshaharaMshahara wa askofu ni laki ngapi wapendwa kuna kitu nataka kujua?
Mkuu acha kuchanganya siasa na diniTayari kanisa limeshakuwa kama BAKWATA ni tawi la CCM
Nakubaliana na wewe, na tatizo linaanzia hapo. Huwa anapokea maagizo kutoka juu, tofauti sana na Askofu Dr. Shoo.Malasusa ni TISS. Muambiwaje ndio muelewe?
Uzuri kwa katiba ya KKKT, Mkuu wa KKKT hana mamlaka yoyote au uwezo wowote wa kumwambia au kumfukuza kazi Askofu Mkuu wa Dayosisi...., Labda Malasusa aingie abadilishe katiba na kujipa Mamlaka.Wamefanana kabisa kitabia,huyu ni chawa wa Serikali muda si mrefu migogoro itaanza KKKT.
Na waliomchagua nao Tiss?Malasusa ni TISS. Muambiwaje ndio muelewe?