Nadhani umejenga msingi fulani unaochochea udadisi...Yawezekana kuna kikundi kisichoitakia mema nchi, kinataka kuamsha hisia kali na chuki za kidini nchini.
Lakini pamoja na hayo, bado rais anapaswa apingwe kwa namna yoyote ile mpaka aamue kuachana na mawazo ya kuuza nchi kwa waarabu. Asifikiri kuwa sisi tumekubali kuuza urithi wetu milele kama alivyofanya Essau.
Sisi tumeamua kusimama na urithi wetu mpaka tone la mwisho la damu. Akitaka amani basi aelekee visiwani akaviuze atakavyo kwa wanayemtaka.
Acha watiwe adabu kkenge haoAskofu Maximilian Machumu akiwa miongoni mwa aliyeshiriki mkutano wa Temeke kupingwa uuzwaji wa bandari za nchi kwa waarabu maisha yake yapo hatarini
Baada ya mkutano wa juzi watu wasiojulikana walimfuata kwake Kibaha hawakumkuta, Walipomkosa walienda ofisini kwake kuvunja mipango na madirisha ila hawakumkuta
....
Dr.slaa
My take
Watanganyika tuamke, kama hadi viongozi wa dini wanatishiwa maisha vipi kwa sisi wananchi wa kawaida?
Maisha ya askofu kuwa hatarini kwasababu ya kupinga bandari kuuzwa sio inshara nzuri
Taifa litaanguka
Serikali isianze kuharibu amani ya nchi ilyojengwa na Nyerere
Majitu km haya yanatafuta promo tu. Nani ashughulike kumdhuru huyu mjinga mmoja asie na elimu?Askofu Maximilian Machumu akiwa miongoni mwa aliyeshiriki mkutano wa Temeke kupingwa uuzwaji wa bandari za nchi kwa waarabu maisha yake yapo hatarini
Baada ya mkutano wa juzi watu wasiojulikana walimfuata kwake Kibaha hawakumkuta, Walipomkosa walienda ofisini kwake kuvunja mipango na madirisha ila hawakumkuta
....
Dr.slaa
My take
Watanganyika tuamke, kama hadi viongozi wa dini wanatishiwa maisha vipi kwa sisi wananchi wa kawaida?
Maisha ya askofu kuwa hatarini kwasababu ya kupinga bandari kuuzwa sio inshara nzuri
Taifa litaanguka
Serikali isianze kuharibu amani ya nchi ilyojengwa na Nyerere
Hizo fikra zinatoka kwa Wagalatia tu.mwarabu amekuja Tanzania kutugawa na kutusambaratisha kabisa. hiii ndio ishara kuwa hatumtaki kabisa.
Umekuja kujitetea hapa uliitwa upinge bandari au shetaniAskofu Maximilian Machumu akiwa miongoni mwa aliyeshiriki mkutano wa Temeke kupingwa uuzwaji wa bandari za nchi kwa waarabu maisha yake yapo hatarini
Baada ya mkutano wa juzi watu wasiojulikana walimfuata kwake Kibaha hawakumkuta, Walipomkosa walienda ofisini kwake kuvunja mipango na madirisha ila hawakumkuta
....
Dr.slaa
My take
Watanganyika tuamke, kama hadi viongozi wa dini wanatishiwa maisha vipi kwa sisi wananchi wa kawaida?
Maisha ya askofu kuwa hatarini kwasababu ya kupinga bandari kuuzwa sio inshara nzuri
Taifa litaanguka
Serikali isianze kuharibu amani ya nchi ilyojengwa na Nyerere
Hawa hawataki uwekezaji lakini ukiwauliza tunatokaje sasa hapa poa hawana majibu.Model.gani tuende nayo tukiachana na DP World?Hizi sarakasi mie sizielew mara kupinga bandari kuuzwa kwa muarabu mara mwarabu sio mbaya vipengele vya mkataba virekebishwe Jamani kwani tatizo ni mkataba urekebishwe au mwarabu hatakiwi
nchi gani ya kigalatia iliwahi kuwekeza tanzania kwa mkataba wa ajabu kama huu wa dp world? taja moja tu. na hata zile zilizowekeza kiwiziwizi kuna watu wagalatia talipiga kelele hadi wakakimbia nchi hii na wengine walipigwa risasi.Hizo fikra zinatoka kwa Wagalatia tu.
Wakati nchi za kigalatia inawekeza hapa for the last 100 yrs hujawahi kusikia muislamu yyt kapinga manake waislamu tunaangalia maslahi ya nchi nzima.
Ila KANISA siku zote zinaangalia maslahi yao binafsi tu hata km watakufa nchi nzima
Mfano mzuri ni Mauwaji ya RWANDA na BURUNDI.
Wachungaji wote walisalimika. Wanakondoo walichinjwa vibaya sana tena chini ya mamlaka ya hao hao wachungaji na makanisa yao.
Hapa ndipo walipokosea badala wajibu hoja wakaanza kuvizia watuAskofu Maximilian Machumu akiwa miongoni mwa aliyeshiriki mkutano wa Temeke kupingwa uuzwaji wa bandari za nchi kwa waarabu maisha yake yapo hatarini
Baada ya mkutano wa juzi watu wasiojulikana walimfuata kwake Kibaha hawakumkuta, Walipomkosa walienda ofisini kwake kuvunja mipango na madirisha ila hawakumkuta
....
Dr.slaa
My take
Watanganyika tuamke, kama hadi viongozi wa dini wanatishiwa maisha vipi kwa sisi wananchi wa kawaida?
Maisha ya askofu kuwa hatarini kwasababu ya kupinga bandari kuuzwa sio inshara nzuri
Taifa litaanguka
Serikali isianze kuharibu amani ya nchi ilyojengwa na Nyerere
Haya sasa mnaopandikiza ukanda na udini pambaneni sasa.Hawa hawataki uwekezaji lakini ukiwauliza tunatokaje sasa hapa poa hawana majibu.Model.gani tuende nayo tukiachana na DP World?
Hakuna atakayekupa majibu.Suala la Bandari yanajafiliwa kwa maslahi ya Siasa na kumuonea huyu Mama.sababu ni mwanamke na ni Mzanzibari.Hakuna kingine.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Imeanza kuthibitikaShetani hajawahi kumshinda Mungu
Kiko wapi sasaMwambieni huyo “askofu” ajiripue ubelgiji kama mwenzake🤣🤣
Wazalendo wakitahadharisha mapema sana watu wakakaza Fuvu.Askofu Maximilian Machumu akiwa miongoni mwa aliyeshiriki mkutano wa Temeke kupingwa uuzwaji wa bandari za nchi kwa waarabu maisha yake yapo hatarini
Baada ya mkutano wa juzi watu wasiojulikana walimfuata kwake Kibaha hawakumkuta, Walipomkosa walienda ofisini kwake kuvunja mipango na madirisha ila hawakumkuta
....
Dr.slaa
My take
Watanganyika tuamke, kama hadi viongozi wa dini wanatishiwa maisha vipi kwa sisi wananchi wa kawaida?
Maisha ya askofu kuwa hatarini kwasababu ya kupinga bandari kuuzwa sio inshara nzuri
Taifa litaanguka
Serikali isianze kuharibu amani ya nchi ilyojengwa na Nyerere
Well. Baada ya wao kushindwa kujibu hoja wakaanza kuibua hisia za udini.Yawezekana kuna kikundi kisichoitakia mema nchi, kinataka kuamsha hisia kali na chuki za kidini nchini.
Lakini pamoja na hayo, bado rais anapaswa apingwe kwa namna yoyote ile mpaka aamue kuachana na mawazo ya kuuza nchi kwa waarabu. Asifikiri kuwa sisi tumekubali kuuza urithi wetu milele kama alivyofanya Essau.
Sisi tumeamua kusimama na urithi wetu mpaka tone la mwisho la damu. Akitaka amani basi aelekee visiwani akaviuze atakavyo kwa wanayemtaka.
Wala usiende mbali. Turudi hapo hapo bandarinchi gani ya kigalatia iliwahi kuwekeza tanzania kwa mkataba wa ajabu kama huu wa dp world? taja moja tu. na hata zile zilizowekeza kiwiziwizi kuna watu wagalatia talipiga kelele hadi wakakimbia nchi hii na wengine walipigwa risasi.
TICTS ni ya Karamagi, ni Muislam swala tano kama hujui. ongea lingine.Wala usiende mbali. Turudi hapo hapo bandari
Bandari upande wa Container handling cargo berths ilikuwa chini ya TICTS kwa miaka mingi sana na hakuna faida yyt ilioingizia taifa . Wamepiga hela mpk kipande hicho cha bandari wamepewa APSEZ
Hio TICKS ya waislamu?
Na Hio APSEZ pia ya WAISLAMU au?
Wacha kubwabwaja ovyo.
Km hujui uliza kabla ya kuanza kashfa.
Utaangukiwa na laana
Hizo bangi siku zote nasema zivuteni mkishakula.TICTS ni ya Karamagi, ni Muislam swala tano kama hujui. ongea lingine.
tutajie wewe basi unayemjua. uonyesha mgalatia gani anamiliki ile ticts na karamagi anafanya nini pale.Hizo bangi siku zote nasema zivuteni mkishakula.
Mmiliki wa TICKS anaitwa Karamagi?
Na Chairman wa TICKS anaitwa nani?
Au chairman na mmiliki ni huyo huyo au.?
🤣🤣🤣
Kukosa kujua ni Hatari sana kwa afya.
Mavi ya mbuzi. 🤣🤣Yawezekana kuna kikundi kisichoitakia mema nchi, kinataka kuamsha hisia kali na chuki za kidini nchini.
Lakini pamoja na hayo, bado rais anapaswa apingwe kwa namna yoyote ile mpaka aamue kuachana na mawazo ya kuuza nchi kwa waarabu. Asifikiri kuwa sisi tumekubali kuuza urithi wetu milele kama alivyofanya Essau.
Sisi tumeamua kusimama na urithi wetu mpaka tone la mwisho la damu. Akitaka amani basi aelekee visiwani akaviuze atakavyo kwa wanayemtaka.
Hili si ni kanisa la Mh. Gwajima, kwahio saivi anajifanya yupo bize kuhubiri, kumbe katuma vijana wapambane na DP world, ye yuko mbaaaliUfufuo na Uzima kama sijakosea