Tetesi: Askofu Maximilian Machumu anatishiwa maisha kutokana na kupinga bandari kuuzwa kwa Waarabu

Yawezekana kuna kikundi kisichoitakia mema nchi, kinataka kuamsha hisia kali na chuki za kidini nchini.

Lakini pamoja na hayo, bado rais anapaswa apingwe kwa namna yoyote ile mpaka aamue kuachana na mawazo ya kuuza nchi kwa waarabu. Asifikiri kuwa sisi tumekubali kuuza urithi wetu milele kama alivyofanya Essau.

Sisi tumeamua kusimama na urithi wetu mpaka tone la mwisho la damu. Akitaka amani basi aelekee visiwani akaviuze atakavyo kwa wanayemtaka.
Nadhani umejenga msingi fulani unaochochea udadisi...
 
Askofu Maximilian Machumu akiwa miongoni mwa aliyeshiriki mkutano wa Temeke kupingwa uuzwaji wa bandari za nchi kwa waarabu maisha yake yapo hatarini

Baada ya mkutano wa juzi watu wasiojulikana walimfuata kwake Kibaha hawakumkuta, Walipomkosa walienda ofisini kwake kuvunja mipango na madirisha ila hawakumkuta
....
Dr.slaa

My take

Watanganyika tuamke, kama hadi viongozi wa dini wanatishiwa maisha vipi kwa sisi wananchi wa kawaida?

Maisha ya askofu kuwa hatarini kwasababu ya kupinga bandari kuuzwa sio inshara nzuri
Taifa litaanguka

Serikali isianze kuharibu amani ya nchi ilyojengwa na Nyerere
Acha watiwe adabu kkenge hao
 
Majitu km haya yanatafuta promo tu. Nani ashughulike kumdhuru huyu mjinga mmoja asie na elimu?
Hata likifa kesho halina faida yyt kwa jamii.
Sasa nani apoteze muda wake na ahatarishe kuvunja sheria za nchi kwa kutaka kumdhuru mpuuzi huyu mmoja ?

Huyu anatafuta kujionyesha kwa watu wasio na elimu kuwa na yeye ni muhimu kumbe mavi tu.
Bata Ana thamani kwangu kuliko huyu kiumbe.

Ovyoo kabisa.
 
mwarabu amekuja Tanzania kutugawa na kutusambaratisha kabisa. hiii ndio ishara kuwa hatumtaki kabisa.
Hizo fikra zinatoka kwa Wagalatia tu.
Wakati nchi za kigalatia inawekeza hapa for the last 100 yrs hujawahi kusikia muislamu yyt kapinga manake waislamu tunaangalia maslahi ya nchi nzima.
Ila KANISA siku zote zinaangalia maslahi yao binafsi tu hata km watakufa nchi nzima
Mfano mzuri ni Mauwaji ya RWANDA na BURUNDI.

Wachungaji wote walisalimika. Wanakondoo walichinjwa vibaya sana tena chini ya mamlaka ya hao hao wachungaji na makanisa yao.
 
Askofu Maximilian Machumu akiwa miongoni mwa aliyeshiriki mkutano wa Temeke kupingwa uuzwaji wa bandari za nchi kwa waarabu maisha yake yapo hatarini

Baada ya mkutano wa juzi watu wasiojulikana walimfuata kwake Kibaha hawakumkuta, Walipomkosa walienda ofisini kwake kuvunja mipango na madirisha ila hawakumkuta
....
Dr.slaa

My take

Watanganyika tuamke, kama hadi viongozi wa dini wanatishiwa maisha vipi kwa sisi wananchi wa kawaida?

Maisha ya askofu kuwa hatarini kwasababu ya kupinga bandari kuuzwa sio inshara nzuri
Taifa litaanguka

Serikali isianze kuharibu amani ya nchi ilyojengwa na Nyerere
Umekuja kujitetea hapa uliitwa upinge bandari au shetani

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Hizi sarakasi mie sizielew mara kupinga bandari kuuzwa kwa muarabu mara mwarabu sio mbaya vipengele vya mkataba virekebishwe Jamani kwani tatizo ni mkataba urekebishwe au mwarabu hatakiwi
Hawa hawataki uwekezaji lakini ukiwauliza tunatokaje sasa hapa poa hawana majibu.Model.gani tuende nayo tukiachana na DP World?

Hakuna atakayekupa majibu.Suala la Bandari yanajafiliwa kwa maslahi ya Siasa na kumuonea huyu Mama.sababu ni mwanamke na ni Mzanzibari.Hakuna kingine.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Hizo fikra zinatoka kwa Wagalatia tu.
Wakati nchi za kigalatia inawekeza hapa for the last 100 yrs hujawahi kusikia muislamu yyt kapinga manake waislamu tunaangalia maslahi ya nchi nzima.
Ila KANISA siku zote zinaangalia maslahi yao binafsi tu hata km watakufa nchi nzima
Mfano mzuri ni Mauwaji ya RWANDA na BURUNDI.

Wachungaji wote walisalimika. Wanakondoo walichinjwa vibaya sana tena chini ya mamlaka ya hao hao wachungaji na makanisa yao.
nchi gani ya kigalatia iliwahi kuwekeza tanzania kwa mkataba wa ajabu kama huu wa dp world? taja moja tu. na hata zile zilizowekeza kiwiziwizi kuna watu wagalatia talipiga kelele hadi wakakimbia nchi hii na wengine walipigwa risasi.
 
Askofu Maximilian Machumu akiwa miongoni mwa aliyeshiriki mkutano wa Temeke kupingwa uuzwaji wa bandari za nchi kwa waarabu maisha yake yapo hatarini

Baada ya mkutano wa juzi watu wasiojulikana walimfuata kwake Kibaha hawakumkuta, Walipomkosa walienda ofisini kwake kuvunja mipango na madirisha ila hawakumkuta
....
Dr.slaa

My take

Watanganyika tuamke, kama hadi viongozi wa dini wanatishiwa maisha vipi kwa sisi wananchi wa kawaida?

Maisha ya askofu kuwa hatarini kwasababu ya kupinga bandari kuuzwa sio inshara nzuri
Taifa litaanguka

Serikali isianze kuharibu amani ya nchi ilyojengwa na Nyerere
Hapa ndipo walipokosea badala wajibu hoja wakaanza kuvizia watu
 
Hawa hawataki uwekezaji lakini ukiwauliza tunatokaje sasa hapa poa hawana majibu.Model.gani tuende nayo tukiachana na DP World?

Hakuna atakayekupa majibu.Suala la Bandari yanajafiliwa kwa maslahi ya Siasa na kumuonea huyu Mama.sababu ni mwanamke na ni Mzanzibari.Hakuna kingine.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Haya sasa mnaopandikiza ukanda na udini pambaneni sasa.

Yaani unaulizwa mkatana ni wa miaka mingapi anatokea mtu hajielewi anajibu eti mnamwonea Mama kwa kuwa ni Mwanamke na mzanzibar?? Kuna akili kweli hapa?
 
Askofu Maximilian Machumu akiwa miongoni mwa aliyeshiriki mkutano wa Temeke kupingwa uuzwaji wa bandari za nchi kwa waarabu maisha yake yapo hatarini

Baada ya mkutano wa juzi watu wasiojulikana walimfuata kwake Kibaha hawakumkuta, Walipomkosa walienda ofisini kwake kuvunja mipango na madirisha ila hawakumkuta
....
Dr.slaa

My take

Watanganyika tuamke, kama hadi viongozi wa dini wanatishiwa maisha vipi kwa sisi wananchi wa kawaida?

Maisha ya askofu kuwa hatarini kwasababu ya kupinga bandari kuuzwa sio inshara nzuri
Taifa litaanguka

Serikali isianze kuharibu amani ya nchi ilyojengwa na Nyerere
Wazalendo wakitahadharisha mapema sana watu wakakaza Fuvu.

Kiko wapi sasa?
 
Yawezekana kuna kikundi kisichoitakia mema nchi, kinataka kuamsha hisia kali na chuki za kidini nchini.

Lakini pamoja na hayo, bado rais anapaswa apingwe kwa namna yoyote ile mpaka aamue kuachana na mawazo ya kuuza nchi kwa waarabu. Asifikiri kuwa sisi tumekubali kuuza urithi wetu milele kama alivyofanya Essau.

Sisi tumeamua kusimama na urithi wetu mpaka tone la mwisho la damu. Akitaka amani basi aelekee visiwani akaviuze atakavyo kwa wanayemtaka.
Well. Baada ya wao kushindwa kujibu hoja wakaanza kuibua hisia za udini.
 
nchi gani ya kigalatia iliwahi kuwekeza tanzania kwa mkataba wa ajabu kama huu wa dp world? taja moja tu. na hata zile zilizowekeza kiwiziwizi kuna watu wagalatia talipiga kelele hadi wakakimbia nchi hii na wengine walipigwa risasi.
Wala usiende mbali. Turudi hapo hapo bandari
Bandari upande wa Container handling cargo berths ilikuwa chini ya TICTS kwa miaka mingi sana na hakuna faida yyt ilioingizia taifa . Wamepiga hela mpk kipande hicho cha bandari wamepewa APSEZ

Hio TICKS ya waislamu?
Na Hio APSEZ pia ya WAISLAMU au?

Wacha kubwabwaja ovyo.
Km hujui uliza kabla ya kuanza kashfa.
Utaangukiwa na laana
 
TICTS ni ya Karamagi, ni Muislam swala tano kama hujui. ongea lingine.
 
Hizo bangi siku zote nasema zivuteni mkishakula.
Mmiliki wa TICKS anaitwa Karamagi?
Na Chairman wa TICKS anaitwa nani?
Au chairman na mmiliki ni huyo huyo au.?
🤣🤣🤣

Kukosa kujua ni Hatari sana kwa afya.
 
tutajie wewe basi unayemjua. uonyesha mgalatia gani anamiliki ile ticts na karamagi anafanya nini pale.
 
Yawezekana kuna kikundi kisichoitakia mema nchi, kinataka kuamsha hisia kali na chuki za kidini nchini.

Lakini pamoja na hayo, bado rais anapaswa apingwe kwa namna yoyote ile mpaka aamue kuachana na mawazo ya kuuza nchi kwa waarabu. Asifikiri kuwa sisi tumekubali kuuza urithi wetu milele kama alivyofanya Essau.

Sisi tumeamua kusimama na urithi wetu mpaka tone la mwisho la damu. Akitaka amani basi aelekee visiwani akaviuze atakavyo kwa wanayemtaka.
Mavi ya mbuzi. 🤣🤣
Ati "tuko tayari kufa"
We kweli muimba mchiriku unaweza kusimama mbele ya wanamme waliokuwa tayari kupambana ukatamka hivi?
Nani amekuachia urithi wa bandari mmakonde km wewe? Na nani amekudanganya kuwa Bandarini inauzwa!
Andiko linasema " watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Soma nini umeandika kabla ya kugonga "post "
 
Back
Top Bottom