4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sina mengi ya kusema sikiliza hiyo video ya mwanamapinduzi ndio mjue wale wauza bandari za watu walivyoyakanyaga, maskini wee mwafaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna namba uunge bandoTumekubaliana humu, ukiweka video toa na maelezo ya kile kilichomo au kinachoongelewa kwa muhtasari.
NakaziaTumekubaliana humu, ukiweka video toa na maelezo ya kile kilichomo au kinachoongelewa kwa muhtasari.
TutamnyooshaSamia kosa ulilolifanya litakugharimu sana..
Umekaribishwa TANGANYIKA unashiriki kuuza nchi
Tumia MB au nikue PSSWD ya free WiFi pale JNCC? 🤣 🤣Tumekubaliana humu, ukiweka video toa na maelezo ya kile kilichomo au kinachoongelewa kwa muhtasari.
Mshono unafumuliwaHuyu mwamba amepiga mulemule
Acha ufukara wa akili, ametaja kushirikishwa imani zote.Kumbe tupinge kwasababu ya udini!!
Hata Sirro leo yuko uhamishoniKingai kaongezewa kazi.....