Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

Tumekubaliana humu, ukiweka video toa na maelezo ya kile kilichomo au kinachoongelewa kwa muhtasari.
OK sawa ila icho kikao tulikaa lini? Isiwe shida ,
Mwanamapinduzi ni askofu na ameamua toa msimamo wake kwenye swala la bandari, kwa kusema hapana, na ni baada yakuwarejea watu mhimu katika taifa , akiwemo na dr Slaa, Mbowe, askofu mkuu wa kkt, katibu mkuu wa baraza la maaskofu, Mzee Wariba , wanasheria nguli ndani ya nchi, wakisema mkataba huu hapana
Video yajieleza ,

Mwisho anasema hayupo tiyari mali za wajukuu zake na vitukuu chezewa
 
Sina mengi ya kusema sikiliza iyo vedio ya mwanamapinduzi ndo mjue wale wauza bandari za watu walivyo yakanyaga , maskini wee mwafaa
Watanzania wengi, mara nyingi, hata wanapokuwa sawa, wanakuwa sawa kwa sababu zisizo sawa.

Nimesikiliza naona anatoa argument from authority tupu, that is a logical fallacy.

Ni tatizo la uwezo mdogo wa kufikiri.

By the way, siungi mkono mkataba wa bandari, ila pia siungi mkono hoja za logical fallacy ya argument from authority.
 
Sina mengi ya kusema sikiliza iyo vedio ya mwanamapinduzi ndo mjue wale wauza bandari za watu walivyo yakanyaga , maskini wee mwafaa

Si waseme wenyewe, kiherehere cha kusemea watu sio kizuri,

Ila hapana kwa uuzwaji wa bandari
 
Watanzania wengi, mara nyingi, hata wanapokuwa sawa, wanakuwa sawa kwa sababu zisizo sawa.

Nimesikiliza naona anatoa argument from authority tupu, that is a logical fallacy.

Ni tatizo la uwezo mdogo wa kufikiri.

By the way, siungi mkono mkataba wa bandari, ila pia siungi mkono hoja za logical fallacy ya argument from authority.
Ngoja ndawa ikae sawa kwa Tanganyika then hao watajua hawajui , mwafaa
 
punguza ujinga bhana Tanzania kuna mwanamapinduzi hapa
Ndo uyo na mamilioni kama yeye yako tiyari we jitie wendawazu, kama ni moja ya wasaliti ipo siku utakimbia kwako ukiwa Uchi ngoma nzito sana hii
 
chadema hapo yanakenua mbaya kabisa
.
20230316_002327.jpg
 
Kumbe tupinge kwasababu ya udini!!
Nani kasema hivyo? Video inataja dini tatu ambazo zinahusisha si chini ya asilimia themanini ya Watanzania wote. Kama ingekuwa udini, angetaja dini moja tu anayoipendelea. Ni dini ipi sasa hiyo unayoisema kwa kuwa zimetajwa dini tatu? Video imezitaja dini hizo tatu kwa kuashiria tu idadi ya Watanzania ambao inabidi kuwasikiliza. Msemaji akaenda mbali zaidi na kumtaja Mbowe, mwanasiasa mwenye wafuasi wengi; akamtaja Warioba, kiongozi kwenye masuala ya Katiba, msomi, mwanasheria aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo ya uwaziri mkuu; akamtaja Shivji msomi, mwanasheria, na mfuasi wa Mwalimu Nyerere; na akamtaja Slaa, aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki na Katibu Mkuu wa CHADEMA. Mifano yote hiyo ni kuonyesha tu upeo wa watu ambao inabidi kusikilizwa. Hiyo kauli ya udini inatoka wapi kama siyo wewe tu unayetaka kupoteza lengo kwa kuwaaminisha watu tofauti na mtoa mada kwenye video alivyodhamiria?
 
Back
Top Bottom