Wananchi UKWELI NA UWAJIBIKAJIMapadri HAKI
Mashekh AMANI
Serikali BUNDUKI
Poor me!
Wanajisumbua tu na agenda za Padre Kitima. Yaani Kitima amewateka nyara maaskofu wengi, wameacha kazi ya kuhubiri neno la Mungu wamejikita kwenye siasa.Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa.
Askofu Mihali alitoa wito huo wakati wa homilia ya Misa ya Sikukuu ya Krismasi (Noeli) iliyoadhimishwa katika Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Kihesa, jimboni Iringa.
Akizungumza na waumini, Askofu Mihali alisema Mkristo Mkatoliki amepewa dhamana ya kusimamia taratibu za uchaguzi kwa haki na kwa kuzingatia dhamiri safi, bila kuyumbishwa na shinikizo au maelekezo yanayokiuka misingi ya haki.
“Wewe Mkristo Mkatoliki umepewa wajibu wa kusimamia uchaguzi. Je, unasimamia uchaguzi vizuri? Ukielekezwa kufanya kinyume cha haki, unapaswa kusimama imara kama Mkristo na kusema hili si la haki, sitafanya,” alisema Askofu Mihali.
Aliongeza kuwa Mkristo anayeshiriki au kunyamazia vitendo vya udhalilishaji wa haki anapaswa kutambua kuwa anafanya dhambi, akisisitiza kuwa kuchezea dhamiri za watu bila kutubu ni kosa kubwa mbele ya Mungu.
Katika ujumbe wake wa Krismasi, Askofu Mihali aliwakumbusha waumini kuwa maadhimisho ya Noeli yanapaswa kwenda sambamba na kuishi maisha ya haki, unyenyekevu na amani, kama kielelezo cha kuzaliwa kwa Yesu Kristo.
“Tukiwa tunaadhimisha sikukuu ya Noeli, tunapaswa kuwa watu wa haki, watu wa unyenyekevu na watu wa amani,” alisisitiza Askofu Mihali.
Aliwahimiza waumini kuishi mafundisho ya imani yao kwa vitendo, wakichangia kujenga jamii yenye misingi ya haki, ukweli na upendo, hususan katika kipindi hiki cha sikukuu.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
😁Jamaa wanakabia juu Sana!😂😂😂
Kimbesa,Luca,Stunex karibuni kwa tafakuri wakaribisheni na washirika wenu wote kwenye timu yenu ya wimbo wa amani bila haki.Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa.
Askofu Mihali alitoa wito huo wakati wa homilia ya Misa ya Sikukuu ya Krismasi (Noeli) iliyoadhimishwa katika Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Kihesa, jimboni Iringa.
Akizungumza na waumini, Askofu Mihali alisema Mkristo Mkatoliki amepewa dhamana ya kusimamia taratibu za uchaguzi kwa haki na kwa kuzingatia dhamiri safi, bila kuyumbishwa na shinikizo au maelekezo yanayokiuka misingi ya haki.
“Wewe Mkristo Mkatoliki umepewa wajibu wa kusimamia uchaguzi. Je, unasimamia uchaguzi vizuri? Ukielekezwa kufanya kinyume cha haki, unapaswa kusimama imara kama Mkristo na kusema hili si la haki, sitafanya,” alisema Askofu Mihali.
Aliongeza kuwa Mkristo anayeshiriki au kunyamazia vitendo vya udhalilishaji wa haki anapaswa kutambua kuwa anafanya dhambi, akisisitiza kuwa kuchezea dhamiri za watu bila kutubu ni kosa kubwa mbele ya Mungu.
Katika ujumbe wake wa Krismasi, Askofu Mihali aliwakumbusha waumini kuwa maadhimisho ya Noeli yanapaswa kwenda sambamba na kuishi maisha ya haki, unyenyekevu na amani, kama kielelezo cha kuzaliwa kwa Yesu Kristo.
“Tukiwa tunaadhimisha sikukuu ya Noeli, tunapaswa kuwa watu wa haki, watu wa unyenyekevu na watu wa amani,” alisisitiza Askofu Mihali.
Aliwahimiza waumini kuishi mafundisho ya imani yao kwa vitendo, wakichangia kujenga jamii yenye misingi ya haki, ukweli na upendo, hususan katika kipindi hiki cha sikukuu.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Umezipata za ndani kuwa Fr.Kitima kawateka ili wamfuate?Wanajisumbua tu na agenda za Padre Kitima. Yaani Kitima amewateka nyara maaskofu wengi, wameacha kazi ya kuhubiri neno la Mungu wamejikita kwenye siasa.
Mashekhe ubwabwa wao wanahubiri nini?Wanajisumbua tu na agenda za Padre Kitima. Yaani Kitima amewateka nyara maaskofu wengi, wameacha kazi ya kuhubiri neno la Mungu wamejikita kwenye siasa.
Yap!! Kabla ya Fr Kitima kuwa Katibu wa TEC, unamkumbuka nani alikuwa kwenye hiyo desk? Na je alikuwa ana trend kwenye mitandao kama huyu Kitima?Umezipata za ndani kuwa Fr.Kitima kawateka ili wamfuate?
Maana Maaskofu ndio wenye Baraza lao Kwahiyo Fr.Kitima ni mtendaji na kuna wakubwa wake.
Ye mwenyewe ameshatubu kukaa kwake kimya kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 kisa aliyekuwa anapigiwa kura ni mkatoliki?!!!! Atubu unafiki wao kwanza Kisha ndo aje na mahubiri yake.Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa.