Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Lete ushahidi kamili sio maneno ya kuagizwa na bwana wenu lema. Namaanisha tutajuaje kama unachokisema hapo ni Cha kweli?!!! Mlilalamika hivi hivi wakati bwana wenu na mkatoliki mwenzenu JPM?!!" Mimi kwa mfano kwenye kituo changu mpaka kufikia saa nane mchana ni wapiga kura 30 pekee ndiyo walijitokeza (na hapa ni kijijini eti!!) kati ya wapiga kura 450 waliojiandikisha! Msimamizi alipofika kukagua akaniachia maagizo ya kuhakikisha kitabu chote kinajaa! Yaani niache nafasi mbili tu! Hivyo mpaka wakati wa kufunga, mgombea wa chama tawala alikuwa amepata kuru 420!" Mwisho wa kunukuu.
Huu ujinga hauvimiliki. Karibia maeneo yote ya nchi kulifanyika uhuni.