Shallow kwenye nn? Afrika Mashariki hakuna chuo bora kwa philosophy kama Salvatorian Institute sasa Jordan. Makasisi ndio hupikwa hapoBroo umesoma Jordan mbna umesoma chuo shaloow sanaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi kulingana na angle uliyosimamaConfirmed wewe nikichaa tayari.
Kweli mkuu, stori imekosa kichwa na miguu!Muandishi amekosa info za kuweka hadi inambidi atumie soga za waumini kubalance story
Katholiki [emoji119][emoji119][emoji16]
Nani amezungumzia ukongwe wa vyuo? Hata baba yako aliyekuzaa unaweza kuwa quality kuliko yeye nini cha ajabu hapo?unaongea vitu gani wewe afrika mashariki?labda uongelle Tanzania. kwanza nina uhakika hujui vyuo vinanavyotoa degree ya philosophy kwa East Africa, vyuo vya mwanzo kabisa kutoa degree ya philosophy East Africa ni : Consolata Institute of Philosophy hiki toka 1970, kiko affliated na Pontifical urbaniana Rome. chuo kingine ni Catholic university of East Africa. asilimia kubwa ya hao mapadre wanaofundisha Jordan university college wamepitia vyuo hivyo viwilli. hapa nimeongelea specific kwa mapadre lakini degree ya philosophy inatolewa pia na university of Nairobi, Kenyatta university miaka mingi kabla ya hiyo Jordan university. philosophy kwenye chuo kikuu kishiriki imeanza miaka ya karibuni kama sikosei ni mwaka 2002 au 2007.
Utoto Ni raha mnooo πππBroo umesoma Jordan mbna umesoma chuo shaloow sanaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimependa majibu yako, nimeamini kweli umesoma philosophy..Uko sahihi kulingana na angle uliyosimama
Halafu majibu ya Mapadre sasa, ngachoka kabisa!... yaani amechokonoa kila idara ila kabaki kizani mazima! Ha ha ha!
Kunguru wa Manzese - Jazia Nyama kidogo......Maana inasemekana huyo Padiri ali-hudumu pia hapo katika Parokia ya Manzese. Alikuwa anakula "Kondoo" za Bwana?Mbususu zinawaponza sana
Kweli?huku mmoja wa hao akisikika akisema ameshikwa na butwaa
Kama yule mwenzie aliyekutwa kwenye tank la majiKunguru wa Manzese - Jazia Nyama kidogo......Maana inasemekana huyo Padiri ali-hudumu pia hapo katika Parokia ya Manzese. Alikuwa anakula "Kondoo" za Bwana?
Kuna nini Naigeria?HABARI HIZI SIO ZA KWELI KWANZA NIGERIA HAKUNA MAPADRE
Tena Mwambie mmoja alikuwa anapewa nafasi ya kuwa Pope wa kwanza MweusiKabisa la Nigeria ni kubwa kuliko la Tanzania. Kuna mapadre wengi, maaskofu wengi na makardinali watatu.
Aisee,free thinking.Huu ni mtizamo wako sisi tunauheshimu.Ukifuatia mazungumzi ya wale waumini waliokuwa wanaongeongea utagundua huyu padri ana mafunuo makubwa sana lakini kwa namna ya mfumo wa rc ni ngumu kuya reveal, ndiyo maana walikuwa hawamwelewi na kubaki kusema anajitenga tenga. Mtu yeyote aliyejaa rohoni kuna vitu vingi mtakua mnapishana naye coz vipaumbe vyako unaweza kuta kwake si kipaumbele then ukamuona kama anajisikia au la
Lete majina yaoNajaribu kuwa kwa sauti tu. Vile vifo vya wale mapadre dar na Mbeya. Hivi wote walikuwa ni watanzania?
Pamoja na usiri wao ila wanauana kizembe sana, mara kwenye tanki la maji. Halafu mbona wameshindwa kuficha habari za vifo vya mapadri mfululizo?Muandishi amekosa info za kuweka hadi inambidi atumie soga za waumini kubalance story
Katholiki πππ