unaongea vitu gani wewe afrika mashariki?labda uongelle Tanzania. kwanza nina uhakika hujui vyuo vinanavyotoa degree ya philosophy kwa East Africa, vyuo vya mwanzo kabisa kutoa degree ya philosophy East Africa ni : Consolata Institute of Philosophy hiki toka 1970, kiko affliated na Pontifical urbaniana Rome. chuo kingine ni Catholic university of East Africa. asilimia kubwa ya hao mapadre wanaofundisha Jordan university college wamepitia vyuo hivyo viwilli. hapa nimeongelea specific kwa mapadre lakini degree ya philosophy inatolewa pia na university of Nairobi, Kenyatta university miaka mingi kabla ya hiyo Jordan university. philosophy kwenye chuo kikuu kishiriki imeanza miaka ya karibuni kama sikosei ni mwaka 2002 au 2007.