Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

Unajua shida ya mtu kama wewe ni kujaribu kulipaka matope kanisa katoliki kwa hila.
Unafikiri limefikisha zaidi ya miaka 2000 kwa bahati mbaya?
Kalagabaho! Unajidanganya sina namna ya kukusaidia
Basi hata Google inakushinda kuangalia? Vijana wa Sasa ndio matunda ya Padri Nyerere haya
 
Hii chuki uliyonayo dhidi ya kanisa ni kubwa sana,pole sana utakufa na utaliacha kanisa likistawi kila uchwao. Mana hakuna wa kuangusha nguvu ya kanisa katika ulimwengu huu.
 
Kwani mwenye chuki ni Mimi au kanisa lako ndio Lina chuki dhidi ya dini nyengine?
 
Basi hata Google inakushinda kuangalia? Vijana wa Sasa ndio matunda ya Padri Nyerere haya

Kuna watu mmechoka sana kiakili. Mna hangover ya Nyerere na uongozi wake.
Kumsingizia Nyerere wakati mnaenda shule kusoma, mnaishia kupata vyeti bila kuelimika. Maisha yakiwagonga mnafikiri kumsema Nyerere kutawapa ahueni.
Na kusoma Google news ndio achievements kubwa kwenye maisha.
Hakuna namna...hakuna mtu wa kuwasaidia. Mshazama pambaneni na hali zenu
 
Basi hata vitabu wanavyowaandikia Mapadri wenu hamtaki kuvisoma? Uvivu umewatawala?
Haya nyinyi msiochoka akili endeleeni kuwasikiliza Hao matapeli wa kiroma
 
Back
Top Bottom