mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Mpendwa utakuja kuandika Biblia yako sasa hivi, kasome vizuri yale maandiko Mungu anasema mamlaka zote chini ya jua anazitambua na tumeamuliwa kuzitii basi ajaongeza. Maana yake hata ile serikali ya Talibani utaitii, Israel utaitii, Uganda na zote unazozijua ikiwemo chifudom na kingdom. Najua ukiisoma itakuumiza lakini tatizo tuliletewa Biblia ikiwa hivyo.Bali haikuandikwa tiini mamlaka ya Shetani