akilinene
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 516
- 436
Hivi mtu akienda kumtembelea mdogo wake, nayo ni habari.?View attachment 1913448
Hii ndiyo taarifa ambayo pengine ulikuwa huifahamu , imeelezwa kwamba Baba Askofu Shoo amefika kwenye gereza la Ukonga kumtembelea Gwiji la siasa za Tanzania , Ustaadhi Aboubakar Mbowe , pamoja na kumuona mfungwa huyo wa kisiasa , Askofu Shoo ametumia nafasi hiyo kutoa neno la matumaini kwa wafungwa wengine walio ndani ya gereza hilo.
Mungu ibariki KKKT