kuna siku wewe ndio utakuwa kizimbani ndipo utajua huwa unakuwepo ushahidi au la. kama serikali huwa haina ushahidi basi kusingekuwa na magereza, na hata yangekuwepo basi wasingekuwepo wafungwa, cha ajabu anayewafunga sio serikali, ni mahakama, basi ilaumuni mahakama kwamba imejaza magereza wafungwa ambao hapakuwepo ushahidi dhidi yao. mahakama zinafanya nini sasa, na je, ina maana tz hakuna wakosaji, na wakosaji hao hawezi kuwe boss wenu dj? yeye ni malaika?
hivi kweli kichwani kwenu kuna ubongo kabisa hata mkamuamini huyo jamaa kuwa ni nabii wa kweli? mmelogwa na nini aisee?
angembariki pia kama angekuwa ameenda kumwona sugu na mdude, au mnataka abarikiwe kwa kwenda kumwona dj tu?