Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Kabla hujapata Uhuru wa bendera hawa ndio walikua wanatuongoza Kwa taasisi zao Imara na uchumi wetu ulikua juu kuliko miaka hii 50, baadae mkapewa Uhuru mmeharibu kila kitu!!...Huyo hajawahi kuwa askofu wa KKKT, siku zote ni askofu wa CHADEMA na wachaga ni mkabila na hajawahi kuwa nutral kwenye hivi vyama. Hata ukija na ushahidi gani dhidi ya wanachama wake, siku zote muelekeo wake ndio huo. Ajue kuwa serikali ndio yenye siri nzito na upelelezi, anaaminije kama kweli ameonewa, na ameruhusiwaje kwanza. Wanaohubiri wahubiri na wanasiasa wawe wanasiasa, ukichanganya hayo ukipigwa za uso usitulaumu.