Askofu Mkuu wa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo amtembelea Freeman Mbowe gereza la Ukonga

Denmark wameamua kufunga ubalozi wao hapa nchini kutokana na siasa za kidhalimu
Mama Samia anaendelea kujichafua mwenyewe kwa kuagiza Ustaadhi Aboubakar Mbowe kutundikiwa mashtaka ya uongo na kumfanya mfungwa wa kisiasa.

Taswira ya nchi imeanza kuchafuka kama enzi za baba wa uovu, shujaa, jiwe mwendazake.
 
Ndio maana Denmark wameona ni ufala kufadhili mbuzi wa Tz
 
huyo hajawahi kuwa askofu wa kkkt, siku zote ni askofu wa chadema na wachaga. ni mkabila na hajawahi kuwa nutral kwenye hivi vyama. hata ukija na ushahidi gani dhidi ya wanachama wake, siku zote muelekeo wake ndio huo. ajue kuwa serikali ndio yenye siri nzito na upelelezi, anaaminije kama kweli ameonewa, na ameruhusiwaje kwanza. wanaohubiri wahubiri na wanasiasa wawe wanasiasa, ukichanganya hayo ukipigwa za uso usitulaumu.
Haaa haaaa nakumbuka baada ya kutoa waraka alidundwa za uso mpaka akawa mpole
 
Nimejikuta nakumbuka ile hadithi ya Nyerere JK na mgiriki. " Nikatiwa msukosuko hapawee lakini nikasema simuachii hata kidogo, simuachii hataa!"
 
Wamaçhame hao AKA wapalestina

USSR
Mpumbavu sana wewe kilaza,sijui hata umekulia wapi,na una malezi ya kishenzi sana wewe Boya.
Haya sasa Denmark wanavunja kabisa majusiano na Tanzania na wengine wanakuja,kuvunja kwa sababu ya upumbavu wa CCM, halafu manzige Kama wewe ukila ukashiba na kwenda chooni kufanya masturbation unajiona mjanja eti na wewe una akili sasa.
Kumbe kichwani mwako ni takataka tupu
 
Nimejikuta nakumbuka ile hadithi ya Nyerere JK na mgiriki. " Nikatiwa msukosuko hapawee lakini nikasema simuachii hata kidogo, simuachii hataa!"
hahaha,
Mzee wetu alitisha sana pale aisee,

Azidi kupumzika kwa Amani Raisi wetu wakwanza Tanzania, Jk Nyerere
 
Atavuna anachopanda
Tayari Mkuu. Ukishaona Balozi zinaanza kutupiga notice ya kuzifunga ofisi zao hasa Kwa Wale ambao hawajawahi kutuchoka tangu tupate Uhuru ni hatari Sana na pia linasikitisha. Kwanini haya yatokee sasa Kwa Mama Tozo??
 
huyo hajawahi kuwa askofu wa kkkt, siku zote ni askofu wa chadema na wachaga. ni mkabila na hajawahi kuwa nutral kwenye hivi vyama. hata ukija na ushahidi gani dhidi ya wanachama wake, siku zote muelekeo wake ndio huo. ajue kuwa serikali ndio yenye siri nzito na upelelezi, anaaminije kama kweli ameonewa, na ameruhusiwaje kwanza. wanaohubiri wahubiri na wanasiasa wawe wanasiasa, ukichanganya hayo ukipigwa za uso usitulaumu.
Mkuu huyo ni namba nyingine. Chezeni na kina gwajiboy ndio size yenu. Mark my word wiki ya kesho Mama Tozo atabadili upepo wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom