Askofu Mkuu wa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo amtembelea Freeman Mbowe gereza la Ukonga

Bali haikuandikwa tiini mamlaka ya Shetani
Mpendwa utakuja kuandika Biblia yako sasa hivi, kasome vizuri yale maandiko Mungu anasema mamlaka zote chini ya jua anazitambua na tumeamuliwa kuzitii basi ajaongeza. Maana yake hata ile serikali ya Talibani utaitii, Israel utaitii, Uganda na zote unazozijua ikiwemo chifudom na kingdom. Najua ukiisoma itakuumiza lakini tatizo tuliletewa Biblia ikiwa hivyo.
 
Usitoe sana povu nilikuwa nikiona live huku kwetu anayetoa sadaka sana ndiyo baba alikuwa anampenda sana, na alikuwa anafanyiwa maombi spesho, tia mzigo mkubwa ndugu hata ukifungwa na wewe wanakuja lwako.
kwahiyo anaenda kutazamwa gerezani kwasababu ni mtoa sadaka kubwa, masikini hawezi kuwafuata, kama mnamfuata huyo askofu na mnamwita askofu wenu, mmepotea. ukristo halisi haupo hivyo. aache kuchanganya siasa na dini, halazimishwi ila akilazimisha kuja kwenye siasa akitukanwa asilalamike kwasababu kwenye siasa zipo hadi siasa chafu. maaskofu hao wahuni tu, wazinzi na wanaenda hadi kwa waganga. tunawajua.
 
Kabla hujapata Uhuru wa bendera hawa ndio walikua wanatuongoza Kwa taasisi zao Imara na uchumi wetu ulikua juu kuliko miaka hii 50, baadae mkapewa Uhuru mmeharibu kila kitu!!...
lutheran wameongoza nini? sijakuelewa.
 
Safi kabisa huu ndiyo utumishi wa MUNGU
 
Asante sana Baba Askofu, neno lako moja tu ulilolitoa ni faraja si kwa Mbowe tu bali kwa watanzania wote - ni kweli nchi yetu ipo katika mapito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…