BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
ASKOFU AFIKISHA SAUTI YA HAKI KILIMANJARO
Tarehe 19 Oktoba 2020. Nikiwa na Mheshimiwa Freeman Mbowe (Mwenyekiti CHADEMA), Mheshimiwa Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA), na Mheshimiwa Seif Sharif Hamad (Mgombea Urais Zanzibar kupitia ACT Wazalendo).
Ninaendelea na 'Missio Dei' yaani utume wa Mungu kwa Ulimwengu! Hapa ni Moshi Mjini katika Mkutano wa Tundu Lissu. Niliendelea kuvitaka vyombo vya dola na kwa ujumla kuwa upande wa wananchi kwa kulinda maamuzi halali ya watu kupitia kura. Kwamba Kanisa litamkemea ye yote na mamlaka ye yote itakayohusika na uporaji wa haki ya wananchi kwa kumtangaza na kumlinda ambaye hatashinda kihalali!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
++Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki