Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Magufuli naye anafaa unyapsla zaidiMimi naona huyu anko alifaa kwenye Ubunge Urais haweziView attachment 1605283
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Magufuli naye anafaa unyapsla zaidiMimi naona huyu anko alifaa kwenye Ubunge Urais haweziView attachment 1605283
Deep StateLile group la Maaskofu pale Dodoma walikuwa wanahubiria waumini ambayo ndio kazi Yao au walikuwa wanampamba Dicteta uchwara?
Siyo wale vaa kanzu, eti wanajiita mashehe.
Mnataka Lisu afanye mikutano bila ya kuombewa? Maana bila kuzunguka na hao viongozi wa dini wawili [askofu Mwamakula na shekehe fulani hivi jina limenitoka (ukiachia Shekhe Ponda] Kuna maeneo viongozi wa dini wanatishwa na serikali. Wasingehudhuria.Hualikwa kusoma dua tu hasa kwenye shughuli za Serikali na wala hajawahi kuzunguka kwenye kampeni kama huyo anaejiita askofu mwamakula.
Huo ushauri wape CCM wao ndio walimfukuza Ubunge hehehe CCM wajinga sanaMimi naona huyu anko alifaa kwenye Ubunge Urais haweziView attachment 1605283
Kwani kuna mtu kamkataza asiombewe, sisi tuna toa maoni yetu kwamba kitendo anachofanya mwamakula and co sio cha kiungwana na wala hafati maadili wala sheria yao chini ya wizara ya mambo ya ndani.Mnataka Lisu afanye mikutano bila ya kuombewa? Maana bila kuzunguka na hao viongozi wa dini wawili [askofu Mwamakula na shekehe fulani hivi jina limenitoka (ukiachia Shekhe Ponda] Kuna maeneo viongozi wa dini wanatishwa na serikali. Wasingehudhuria.
What dictator and criminal record you are talking about zaidi ya yule msaliti wa nchi...You are the one who deserve to be there for supporting a dictator with criminal record
Kumbe unatishwa na vazi tu? Hata akivaa majani bado atabakia kuwa askofu. Lumumba bwana!!Mwamakula hakatazwi kuwa na upande katika siasa Bali awe na upande akiwa nje ya vazi la uaskofu au ushekh.
Siyo kweli. Askofu Mwamakula anatetea na kusimamia haki.Ewe Muumba Mbingu na Ardhi na vilivyomo mrudishe Askofu Mwamakula kwenye mstari maana anazidi kupotea,anaangamia yeye na anaangamiza wengine kwa tamaa za Dunia,na kuacha Utukufu wako wewe BABA Muumba.
Huelewi kitu vaazi sio maana ya nguo bali utendaji nazungumzia...Kumbe unatishwa na vazi tu? Hata akivaa majani bado atabakia kuwa askofu. Lumumba bwana!!
What dictator and criminal record you are talking about zaidi ya yule msaliti wa nchi...
Walianza wenyeweeee ... na Al-Hadi wao na BAKWATA yaoKampeni za kidini?
Weka ushahidi mezani otherwise blahblah hasa hilo la lissu.2.7 trillions stolen from treasury coffers as per CAGs Assad and kichere. He spent trillions of taxpayers’ money without the permission of members of parliament. He is involved in other criminal activities including Lissu’s attack and many others Tanzanians.
Mengine unaona Kama stiglers gorge, ndege, mererani, airports mpya nk.
Tulieni sindano iwaingie fresh mkileta ubishi itakatikia ndani
Vipi akina Alhadi Musa Salum?