J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Mar 19, 2023 #101 Uzima Tele said: Ndo umesikia hilo tu..? Well, tuashumu ndiyo umesikia hilo tu.. Je, unajua kuwa wewe johnthebaptist ukipepelekwa selo za poliCCM kwa nusu saa, utatoka umejinyea..!??? Click to expand... Wewe ulijinyea?!
Uzima Tele said: Ndo umesikia hilo tu..? Well, tuashumu ndiyo umesikia hilo tu.. Je, unajua kuwa wewe johnthebaptist ukipepelekwa selo za poliCCM kwa nusu saa, utatoka umejinyea..!??? Click to expand... Wewe ulijinyea?!
U Uzima Tele JF-Expert Member Joined Jan 20, 2023 Posts 1,270 Reaction score 2,822 Mar 19, 2023 #102 johnthebaptist said: Wewe ulijinyea?! Click to expand... Unataka kujua? Wewe elewa tu, ukiingia wewe johnthebaptist huko kwenye selo zenu CCM, utajinyea...!!!
johnthebaptist said: Wewe ulijinyea?! Click to expand... Unataka kujua? Wewe elewa tu, ukiingia wewe johnthebaptist huko kwenye selo zenu CCM, utajinyea...!!!
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Mar 19, 2023 #103 Uzima Tele said: Unataka kujua? Wewe elewa tu, ukiingia wewe johnthebaptist huko kwenye selo zenu CCM, utajinyea...!!! Click to expand... Aisifuye mvua imemnyea! CCM na kukaa selo wapi na wapi bwashee? Ndio sababu tunatembea na Kadi ya Chama
Uzima Tele said: Unataka kujua? Wewe elewa tu, ukiingia wewe johnthebaptist huko kwenye selo zenu CCM, utajinyea...!!! Click to expand... Aisifuye mvua imemnyea! CCM na kukaa selo wapi na wapi bwashee? Ndio sababu tunatembea na Kadi ya Chama
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Mar 20, 2023 #104 Mwamakula= Desmond Tutu. Aliandamana kudai KATIBA mpya wakati vyama vya siasa vikiwa vimeufyata enzi ya Magu. Mzee huyu, haamini kama Katiba mpya inaweza patikana Kwa maridhiano. Namuunga mkono.
Mwamakula= Desmond Tutu. Aliandamana kudai KATIBA mpya wakati vyama vya siasa vikiwa vimeufyata enzi ya Magu. Mzee huyu, haamini kama Katiba mpya inaweza patikana Kwa maridhiano. Namuunga mkono.