Askofu Mwamakula Asimulia mazito akiwa Jukwaa la Tangayika Law Society

Askofu Mwamakula Asimulia mazito akiwa Jukwaa la Tangayika Law Society

Mtu asiyesimama kwenye Haki na Demokrasia hana utu. Maana utu uko humo. Utamsikia kwa maneno ya nje akijifanya mtu lakini mafichoni sio kabisa
Ndio mana mkewe kama mnakumbuka hakutaka kabisa huyu marehemu awe rais, sababu anajua utawala wake wa home, basi tu wakamlazimisha awe anaonekana kwenye kampeni zake.
 
Ndio maana ya mungu kuachiwa mungu na kaizari apewe kaizari.

Dunia hii ya leo informations zinazopatikana kirahisi hawa watu wawe makini sana na wanachoongea, sio kwa sababu kuna malimbukeni wachache na wavivu wa kujiongeza huwa wanashangilia kinachosemwa kwa sababu kinaendana na agenda zao.

Aina maana hizo hoja sio bunkum na zenye lengo la kuvuruga amani ya nchi kwa tafsiri ya serikali; halafu mtu wa aina hiyo achekewe.

Akiitisha maandamano hata leo atoachwa, tena hawa wa awamu hii ndio hatari kabisa awaulize Ponda alishapigwa risasi hadharani akapona, amekaa jela sana enzi za JK, Uhamsho na funguo JK akazitupa tena aliwafuata Zanzibar kitemi, ndugu wa marehemu Dr Mvungi, Mwangosi, Ulimboka na wengineo.

Hao wa Magufuli wengi ni wakutungwa tu na mazingira yao ya kupotea tatanishi; lakini wa JK sio kwamba awaongelewi ila wajaribu kumzingua waone jamaa wakibadilika.

Uliza Arusha maandamano ya CDM polisi waliuwa na kujeruhi wangapi mchana kweupe enzi za JK. Day light seuse huyo Akwilina accident.

Halafu akajifunze katiba ni kitu ‘Cyrus Cylinder’ sio katiba inaelezea haki za sehemu wanazochukua kinguvu; sasa ebu atuelezee na hizo nguvu na unyama uliokuwa unatumika zama hizo kuyachukua hayo maeneo.

Ni watu wanaochekewa chekewa
 
Magu aliwahi kulala masaa hata matano ili tujue sio jambo kubwa?
EeenHeeee!

Yeye kama yeye, bila ya mitutu ya bunduki iliyomzunguka na vyombo vyote vya dola kuvitumia apendavyo; kwa nafsi yake mwenyewe alikuwa ni mtu mwoga sana huyo.
 
"Kama unataka kuishi uache hayo mambo ya katiba, maandamano, nini..."
 
00FCDF88-FE4E-425C-B85C-9E7167E4B53E.jpeg




Lema anakumbuka hiyo walivyotolewa kwenye mkutano wa madiwani kinguvu enzi za JK.

Alibaki analia tu hamruhusiwi kuingia kwenye kikao huku akitolewa juu
 
Haya unayosema ukiitwa utayatolea ushahidi?
Mbona video zipo YouTube unataka nikuletee moja moja.

Angalia kwanza hiyo ya CDM walivyotolewa kwenye kikao cha madiwani kitemi na polisi; anavyolia amruhusiwi.
 


Huyo hapo Sheikh Ponda chali baada ya ku survive assassination attempt Morogoro.

It must be said JK alikuwa mpole mno wakawa wanamjaribu kupitiliza, ila vyombo vya ulinzi vili deal nao hasa.

Sawa bwana mayor. Hayo yameshapitwa na Wakati chini ya Rais Dr Samia.

Ujio wa Magufuli umekuwa funzo kwa Watanzania wote hata vyombo vyenyewe vya usalama
 
Wanapiga tu kelele sasa hivi tofauti ya JK alikuwa mpole, vyombo vya ulinzi vilikuwa wakiona wamezidi wanaingia wenyewe.

Afadhali huyo Magufuli alikuwa anawapiga biti kuondoa shari na polisi.
 
Ndio mana mkewe kama mnakumbuka hakutaka kabisa huyu marehemu awe rais, sababu anajua utawala wake wa home, basi tu wakamlazimisha awe anaonekana kwenye kampeni zake.
Nasikia wakati wako pale oyster bay alimwambia mama usiku mzima abebe mchanga jirani aliniambia sikuamini lakini walivyokuja kumuuliza kama wanataka mumewe awe raisi aliwauliza hivi huyu mtu mnanfahamu nyinyi hili ni swali gumu sana kutoka kwa mke kuuliza kuhusu mumewe lakini hakuna alietafakari na matokeo ndio majuto ni mjukuu
 
Wanapiga tu kelele sasa hivi tofauti ya JK alikuwa mpole, vyombo vya ulinzi vilikuwa wakiona wamezidi wanaingia wenyewe.

Afadhali huyo Magufuli alikuwa anawapiga biti kuondoa shari na polisi.
We jamaa muongo sana. Unataka kuwafanya wana JF ni wajinga? Kapumzike kama umechoka.
 
Back
Top Bottom