- Thread starter
- #21
Kutamka haki tu ilikuwa ni hukumu. Sasa angesemea wapi?Mtu ambae hajasema mda ule Sasa hivi tunamuita mzushi tu afu tunasonga mbele.
Hakuna badiliko lolote zaidi ya kulamba asali tu. Ambayo waliikosa sana enzi zile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutamka haki tu ilikuwa ni hukumu. Sasa angesemea wapi?Mtu ambae hajasema mda ule Sasa hivi tunamuita mzushi tu afu tunasonga mbele.
Hakuna badiliko lolote zaidi ya kulamba asali tu. Ambayo waliikosa sana enzi zile.
Kaitwa lama kiongozi wa dini.Viongozi wa dini hawana mipaka kwenye mambo yanayohusu Raia na waamini wao.Huyu mzee ni moja kati ya viongozi wa kidini wapumbavu,na ameitwa pale huku wakijua atakwenda kuropoka nn,na kwa taarifa yako,watu kama hao ndio wanatakiwa na utawala wa awamu ya sita,
Wewe jiuluze,ameitwa pale kama wakili au kama askofu?,je ni mwanachama wa TLS?, ili kujua kuwa ni mpumbavu,yeye ni kiongozi wa kidini,lkn anayoongea ni ya kisiasa tupu!, huo ni upumbavu,lkn pia waumini wake wanamisimamo tofauti ya kisiasa,wapo wanaccm,wanachadema,na wasio na chama,lkn yeye anawalisha tu upumbavu wake na chuki zake na jpm.
Kwahiyo ukiwa mwanasiasa kufanya mauaji mmehalalisha kabisa?Huyu mzee ni moja kati ya viongozi wa kidini wapumbavu,na ameitwa pale huku wakijua atakwenda kuropoka nn,na kwa taarifa yako,watu kama hao ndio wanatakiwa na utawala wa awamu ya sita,
Wewe jiuluze,ameitwa pale kama wakili au kama askofu?,je ni mwanachama wa TLS?, ili kujua kuwa ni mpumbavu,yeye ni kiongozi wa kidini,lkn anayoongea ni ya kisiasa tupu!, huo ni upumbavu,lkn pia waumini wake wanamisimamo tofauti ya kisiasa,wapo wanaccm,wanachadema,na wasio na chama,lkn yeye anawalisha tu upumbavu wake na chuki zake na jpm.
Askofu Desmond TutuHuyu mzee ni moja kati ya viongozi wa kidini wapumbavu,na ameitwa pale huku wakijua atakwenda kuropoka nn,na kwa taarifa yako,watu kama hao ndio wanatakiwa na utawala wa awamu ya sita,
Wewe jiuluze,ameitwa pale kama wakili au kama askofu?,je ni mwanachama wa TLS?, ili kujua kuwa ni mpumbavu,yeye ni kiongozi wa kidini,lkn anayoongea ni ya kisiasa tupu!, huo ni upumbavu,lkn pia waumini wake wanamisimamo tofauti ya kisiasa,wapo wanaccm,wanachadema,na wasio na chama,lkn yeye anawalisha tu upumbavu wake na chuki zake na jpm.
Huyo mchungaji wenu hasipokuja kuangalia atakuja kupitiwa na upinde wa mvua,kama hali ilikuwa ya kutisha mbona yeye hakukimbilia nchi za nje kama wenzake Lema na Lissu?.Aisee Kumbe baada ya uchaguzi tu hali ilikuwa inatisha sana.
Kosa la Mwamakula ni nini mbona una hasira sana.Huyo mchungaji wenu hasipokuja kuangalia atakuja kupitiwa na upinde wa mvua,kama hali ilikuwa ya kutisha mbona yeye hakukimbilia nchi za nje kama wenzake Lema na Lissu?.
Huyu na Zumaridi uchungaji wao unantia mashaka,Mwamakula namwona tu kama Mchungaji kibwetele aliyefunga kanisa na kuchoma waumini wake ndani zaidi ya 1000 ,kazee hakana Aibu wa huruma kusema uhongo ili kuvuruga Amani ya nchi.
Wazeee kwani nyie mlikuwa mnaishi Tanzania hipi ambayo JPM alikuwa anawafata huko na kuwatia vyupa,Mbona sisi hatujawai kuona hizo tuhuma zenu JPM anakufa watu wanamlilia kumuaga mpka WANAVUNJA UZIO WA UWANJA WA NDEGE?Halafu wanatokea kima humu eti wanamlilia mtu aliyetaka kuua kwa kutamka tu neno haki!!
Mwamakula kosa lake ni msomi,anajiita mwanaharakati na pia anajitambulisha kama mtu wa Mungu ila kazee kana roho chafu sana.....Mchungaji yeyote ata ukimkosea anasamehe na kuanza upya mana maandiko ya bibilia ndivyo yanavyosema na kutaka.Kosa la Mwamakula ni nini mbona una hasira sana.
Kwani amekwambia hajasamehe? Kama mtumishi wa Mungu anahubiri machafu ya waumini wake. Wayaache waombe toba😅Mwamakula kosa lake ni msomi,anajiita mwanaharakati na pia anajitambulisha kama mtu wa Mungu ila kazee kana roho chafu sana.....Mchungaji yeyote ata ukimkosea anasamehe na kuanza upya mana maandiko ya bibilia ndivyo yanavyosema na kutaka.
kenyewe kwanini kanaeneza chuki,na je kanatumia Bibilia Gani kufundisha habari za ufalme wa Mungu?
Ndio wanafanywaje??Wanakuwa wanaharakati.
Kanisa lenye waumini ni la Moravian alilojitenga nalo akaanzisha kikanisa anachozunguka nacho kwenye mfuko wa kanzu. Waumini alionao labda mkewe na watoto wao.lkn pia waumini wake wanamisimamo tofauti ya kisiasa,wapo wanaccm,wanachadema,na wasio na chama,lkn yeye anawalisha tu upumbavu wake na chuki zake na jpm.
Askofu Gwajima, Lwakatare na Shekh Alhadi sio viongozi wa dini?Huyu Askofu wa CHADEMA angeacha kabisa uchungaji na kuhamia kabisa kwenye siasa. Kupanda kwenye majukwaa ya kisiasa ukiwa kofia ya kiongozi wa kidini ni upuuzi mtupu. Anaweza kuwa na hoja ila analeta tu confusion. Ukimbana anajitetea yeye ni askofu.
Kosa la Mwamakula ni nini hasa? Mbona mnaruka hoja yake mnahamia kwingine?Kanisa lenye waumini ni la Moravian alilojitenga nalo akaanzisha kikanisa anachozunguka nacho kwenye mfuko wa kanzu. Waumini alionao labda mkewe na watoto wao.
Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka.
Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa wanachana wa chama cha Mawakili Tanganyika yaani TLS.
Sikiliza mwenyewe hapa.

Seen!! and then....Seen
Wewe ni mnafiki.Mtanisamehe sana I must confess
Kipindi cha nyuma hadi kufikia awamu ya tano nilikuwa namuona huyu askofu ni nuksi mbaya.
Niliongozwa na propaganda za kinazi na zilizokosa utu za CCM.
Lakini nilipoanza kumfuatilia anachokisimamia nimegundua aksofu ana upeo mkubwa sana na anaona mbali sana ndo maana walimfanyia figisu kumtenga na kanisa lake.
Mazungumzo aliyoongea hapo yameuchoma sana moyo wangu