Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilichotaka kumcost ni tabia yake ya kupenda kuongelea Haki, uhuru, Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi.
NI maoni yakoWewe ni mnafiki.
Ni hatari sanaUkiona hivyo watawala ni mashetani.
Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka.
Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa wanachana wa chama cha Mawakili Tanganyika yaani TLS.
Sikiliza mwenyewe hapa.
Mkuu mimi sikupata usingizi kwa mud wa masaa kadhaa baada ya kusikiliza hii hotuba.Mazungumzo aliyoongea hapo yameuchoma sana moyo wangu
Magu aliwahi kulala masaa hata matano ili tujue sio jambo kubwa?Kulala selo saa 30 ndio zito?
Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka.
Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa wanachana wa chama cha Mawakili Tanganyika yaani TLS.
Sikiliza mwenyewe hapa.
Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka.
Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa wanachana wa chama cha Mawakili Tanganyika yaani TLS.
Sikiliza mwenyewe hapa.
Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka.
Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa wanachana wa chama cha Mawakili Tanganyika yaani TLS.
Sikiliza mwenyewe hapa.
Bahati nzuri JF huwa hawafuti nyuzi. Fuatikia nyuzi zangu miaka kuanzia 2020 kurudi 2014 utathibitisha nisemayo.Mkuu mimi sikupata usingizi kwa mud wa masaa kadhaa baada ya kusikiliza hii hotuba.
Kumbe mkuu na wewe ulikuwa mnazi?
Mtu asiyesimama kwenye Haki na Demokrasia hana utu. Maana utu uko humo. Utamsikia kwa maneno ya nje akijifanya mtu lakini mafichoni sio kabisaBahati nzuri JF huwa hawafuti nyuzi. Fuatikia nyuzi zangu miaka kuanzia 2020 kurudi 2014 utathibitisha nisemayo.
Nimechukia sana kuona kuwa kumbe CCM ni zaidi ya wahuni. Tulilishwa upuuzi mwingi sana. Ndo maana nasema kuwa pamoja na kutetea utu wa JPM lakini eneo la haki za binadamu na demokrasia nampa alama sifuri.
Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka.
Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa wanachana wa chama cha Mawakili Tanganyika yaani TLS.
Sikiliza mwenyewe hapa.
Ni Freelancer😅😅Kanisa analohudumu huyo Askofu lipo wapi na linaitwaje nikasali pale?
Nimejifunza upendo katikati ya chuki.Mtu asiyesimama kwenye Haki na Demokrasia hana utu. Maana utu uko humo. Utamsikia kwa maneno ya nje akijifanya mtu lakini mafichoni sio kabisa
Wale wanaotumwa wamefundishwa hivyo na wameshabadilishwa mind set zao.Nimejifunza upendo katikati ya chuki.
Ninamaanisha kuwa anayefanya unyama hastahili unyama.kama.malipo.
Najiuliza wale wanaotumwa kuua watu wasio na hatia. Huwa wanawaza kuwa wao wataishi milele?
Wanalala watuhumiwa wa Uhalifu!Magu aliwahi kulala masaa hata matano ili tujue sio jambo kubwa?
Asante sana kwa mrejesho huu...sikiliza hotuba ya Sheikh Ponda mbele ya TLS.
..unaweza kulia kutokana na aliyoyaeleza.
..kuna mpaka matukio ya askari kuzuia mawakili wa mtuhumiwa kuingia mahakamani.
..Halafu Hakimu akaendelea kusikiliza kesi huku akijua mawakili wa mtuhumiwa wamezuiliwa kumuwakilisha mteja.
Umejichanganya kwa majibu yako.Mwamakula kosa lake ni msomi,anajiita mwanaharakati na pia anajitambulisha kama mtu wa Mungu ila kazee kana roho chafu sana.....Mchungaji yeyote ata ukimkosea anasamehe na kuanza upya mana maandiko ya bibilia ndivyo yanavyosema na kutaka.
kenyewe kwanini kanaeneza chuki,na je kanatumia Bibilia Gani kufundisha habari za ufalme wa Mungu?