Itafika wakati kile kilichofanyika India mwaka 1947 itabidi kifanyike hapa Tanganyika. Wakristu na Waislam wagawane tu hii nchi kelele ziisheUchafu wao umedhihirika kote walipoenda, Rwanda DP WORLD wanabandari kavu je umesikia migogoro?
Afrika tusipozitumia akili zetu tutazid kupotea. Mpaka sas sina upande wowote sio serikal sio wapinzani, serikali inajing'ata upinzani unapotosha.
Tatizo hili swala linatumia kidini na kisiasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kauli ya kishujaa wanayoitumia wajinga.Wewe ni kipofu wa macho na akili sikusaidii chochote, baki na ujinga wako.
Sidhani hata kama umewahi kusoma zile terms za hovyo kwenye ule mkataba, wewe endelea kushangilia tu unajengewa msikiti, huku ukiamini Djibouti ndio nchi pekee yeye mgogoro na hao waarabu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kauli ya kishujaa wanayoitumia wajinga.
Nafaham Djibouti ni moja ya nchi zilizowahi kuingia kweny mgogoro na DP WORLD. Akili iliyosalama haiwezi kuacha kushirikian na DP WORLD eti kisa kuna migogoro flani flani instead itajikita kuangalia Why migogoro ilitokea na How migogoro itaepushwa.
Hili jambo ni wazalendo tu ndo wataweza kuliamua na sio wew mweny wivu wakidini.Badala muombe kujengewa makinisa eti mnaomba waislam wasijengewe misikiti,akili zetu waafrika bana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sas kama ni in advance mnaunguruma nini. Kuna shilingi yoyote ya Tanzania hapo.Anarudisha au anatoa in advance?
Huyu askofu akumbuke pia kuelezea namna wazungu wanavyojenga makanisa na kufadhili mataasisi ya dini ya wakiristu ambayo yameenea kila kona.Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.
Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani, wawakilishi wa DP World walitembelea Mbeya ambako waliahidi kujenga Msikiti wa Masjid Al Jumaa na misaada mbalimbali. Baada ya hapo walisema wanakwenda Zanzibar ambako nako pia watafanya hayo hayo.
Video:
Video hii imerekodiwa kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili na ilichukuliwa Mkoani Mbeya! Je, ulijua kuwa Kampuni ya DP ina malengo pia ya kukuza Uislamu mahali popote pale inapokuwa duniani? Je, ulijua kuwa DP World ina malengo ya kidini? Je, unafikiri hii ndiyo sababu Sheikh Mwaipopo alitoa kauli kali ya kutisha na kuonya Waislamu wasihudhurie Mkutano wa Temeke wa 23 Julai 2023 uliolenga kujadili na kuhoji Mkataba wa Bandari unaolalamikiwa sana?
Je, unafikiri kwa nini wawakilishi wa DP World walipofika hawakutembelea Makanisa, viwanja vya michezo, vyuo vikuu badala yake waliamua kutembelea Misikiti na kuahidi kutoa misaada huko? Je, faida watakayopata DP World katika kuendesha Bandari zetu itatokana na Kodi za Waislamu pekee?
Je, unafikiri moja ya sababu za Spika Dkt. Tulia kuutetea Mkataba wa Bandari na kufikia hatua ya kuwaita wanaoupinga kuwa ni 'wapumbavu wasiosha upumbavu wao' ni pamoja na hao DP World kutembelea Mbeya na kuwasidia wapiga kura wake Waislamu kwa kuaahidi kuwajengea Msikiti wa Masjid Al Jumaa?
Usimkarikie Askofu Mwamakula kwa kuandika haya na kuweka video hii hapa, wakasikirikie DP World kwa kuweka malengo yao wazi kuwa wanasaidia misikiti na sio dini nyingine. Pia, walaumu waliovujisha video hii hadi ikamfikia Askofu. Je, ni nani sasa anayeleta udini katika mjadala huu wa Mkataba wa Bandari? Je, ni DP World au wanaoupinga Mkataba wa Bandari?
Je, kuweka hadharani habari hizi ni uchochezi, uhalisia au uzalendo? Je, ni kwa nini viongozi wa Serikali na CCM hawaweki wazi wananchi katika mikutano yao ya hadhara kuwa faida mojawapo ya DP World ni pamoja na kujenga misikiti na kusaidia Uislamu? Je, ni kwa nini hili linafichwa wakati liko wazi hata katika malengo ya DP World? Kama Serikali haikujua malengo hayo, Waarabu hao wangesafiri hadi Mbeya kwa kificho na kuahidi kujenga misikiti nchini?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 26 Julai 2023; 07:55 am.
Kama ni kweli DP World wamesema kuwa sehemu ya faida watakayoipata kwenye bandari za Tanzania itatumika kujenga misikiti na kueneza uislam, basi hiyo kampuni itakuwa na watu wengi wajinga sana. Kama una akili huwezi kufanya kosa kama hilo.Nilishasema mwanzo hili suala limeingia udini ndani yake, wakristo hawaitaki DP World kwa sababu ya uislam.
Wagalatia wana roho mbaya sana.
Ukienda Mang'ora barazani (Karatu Arusha), hii ipo vijijini kabisa ndani.Nilishasema mwanzo hili suala limeingia udini ndani yake, wakristo hawaitaki DP World kwa sababu ya uislam.
Wagalatia wana roho mbaya sana.
Sipendi kusema mtu ni mjinga but kwako WEW NI MJINGA REGARDLESS UMRI WAKO.Sidhani hata kama umewahi kusoma zile terms za hovyo kwenye ule mkataba, wewe endelea kushangilia tu unajengewa msikiti, huku ukiamini Djibouti ndio nchi pekee yeye mgogoro na hao waarabu.
Ni jambo jema
Ni vema nyumba za ibada zijengwe nyingi vijana wamjue Mungu
Kuna kampuni ya Iran uliwahi kujenga Misikiti kandi kando ya barabara ya Dar hadi Iringa ikiitwa Nurdhein Sijui
Binafsi niliona ni jambo jema kwa sababu hapo Mbeya kwenyewe Nabii na Mtume Mwamposa anajenga Hotel
Acha Uongo; umeisha sikia wapi ati shirika la UK, USA (USAID), shirika la Canada limeleta msaada au kuingia mkataba kwa ahadi ya kujenga makanisa.Nilikwambia Toka Mwanzo kinachopingwa hapa na waliojificha kwenye sijui mkataba mbovu ni mambo ya Kidini.
Kwamba ni sawa Wazungu kutoa pesa za kusaidia Wakristo ikiwemo kuwajengea makanisa nk ila ni haramu hao hao DP World kutoa pesa za kusaidia Waislamu ππππ
Charity Organisations za Wazungu ziko kama zote,hao unaowataja wanatoa misaada kiserikali sio misaada ha kibinafsi.Acha Uongo; umeisha sikia wapi ati shirika la UK, USA (USAID), shirika la Canada limeleta msaada au kuingia mkataba kwa ahadi ya kujenga makanisa.
Hujaona hilo neno " Sijui" Bwashee πDhi nureyn si kampuni ni wakfu au foundation kwa lugha nyingine na si kweli kwamba yatoka Iran πDhi Nureyn Islamic Foundation
Ajabu yoyote hata Kule Tabora samota Alipata tender ya Ujenzi wa ma barabara na aliamua kurejesha kwa Umma kwa njia ya Ujenzi wa Misikiti, huyu DP World hata ajaanza kujenga mwamsema au kwasababu yeye ni mwarabu wa DUBAI? Acheni Roho mbaya, mlikataa OIC, mlikataa chuo kikuu, mlikataa Mahakama ya Kadhi na mengineyo lakini chuki haipoiKampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.
Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani, wawakilishi wa DP World walitembelea Mbeya ambako waliahidi kujenga Msikiti wa Masjid Al Jumaa na misaada mbalimbali. Baada ya hapo walisema wanakwenda Zanzibar ambako nako pia watafanya hayo hayo.
Video:
Video hii imerekodiwa kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili na ilichukuliwa Mkoani Mbeya! Je, ulijua kuwa Kampuni ya DP ina malengo pia ya kukuza Uislamu mahali popote pale inapokuwa duniani? Je, ulijua kuwa DP World ina malengo ya kidini? Je, unafikiri hii ndiyo sababu Sheikh Mwaipopo alitoa kauli kali ya kutisha na kuonya Waislamu wasihudhurie Mkutano wa Temeke wa 23 Julai 2023 uliolenga kujadili na kuhoji Mkataba wa Bandari unaolalamikiwa sana?
Je, unafikiri kwa nini wawakilishi wa DP World walipofika hawakutembelea Makanisa, viwanja vya michezo, vyuo vikuu badala yake waliamua kutembelea Misikiti na kuahidi kutoa misaada huko? Je, faida watakayopata DP World katika kuendesha Bandari zetu itatokana na Kodi za Waislamu pekee?
Je, unafikiri moja ya sababu za Spika Dkt. Tulia kuutetea Mkataba wa Bandari na kufikia hatua ya kuwaita wanaoupinga kuwa ni 'wapumbavu wasiosha upumbavu wao' ni pamoja na hao DP World kutembelea Mbeya na kuwasidia wapiga kura wake Waislamu kwa kuaahidi kuwajengea Msikiti wa Masjid Al Jumaa?
Usimkarikie Askofu Mwamakula kwa kuandika haya na kuweka video hii hapa, wakasikirikie DP World kwa kuweka malengo yao wazi kuwa wanasaidia misikiti na sio dini nyingine. Pia, walaumu waliovujisha video hii hadi ikamfikia Askofu. Je, ni nani sasa anayeleta udini katika mjadala huu wa Mkataba wa Bandari? Je, ni DP World au wanaoupinga Mkataba wa Bandari?
Je, kuweka hadharani habari hizi ni uchochezi, uhalisia au uzalendo? Je, ni kwa nini viongozi wa Serikali na CCM hawaweki wazi wananchi katika mikutano yao ya hadhara kuwa faida mojawapo ya DP World ni pamoja na kujenga misikiti na kusaidia Uislamu? Je, ni kwa nini hili linafichwa wakati liko wazi hata katika malengo ya DP World? Kama Serikali haikujua malengo hayo, Waarabu hao wangesafiri hadi Mbeya kwa kificho na kuahidi kujenga misikiti nchini?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 26 Julai 2023; 07:55 am.
Zingatia neno wameombwa,mnaweza kuomba pia.Wewe ndio unaunguruma
Kule Bar wasiojua kutongoza hutanguliza Bia hata kwa Bar maid
Akiipokea kinachofuata ni kuilipa Chumba cha kulala Wageni!
Naona unapiga kelele kwa herufi kubwa.Sipendi kusema mtu ni mjinga but kwako WEW NI MJINGA REGARDLESS UMRI WAKO.
01.NIMESEMA SINA UPANDE SABABU SIO SERIKAL WALA SIO UPINZANI WENYE HOJA ZINAZOINGIA AKILI,HUYU ANAPOTOSHA HUYU ANAJING'ATA.
02.DP WORLD KUJENGA MISIKITI SIO KIBALI CHA KUTETEWA. KAMA MKATABA MBOVU TUTASEMA MKATABA NI MBOVU HUMO HUMO KWENYE MISIKITI WALIYOJENGA NA KAMA MKATABA NI MZURI TUTASEMA MKATABA NI MZURI HATA WAKIWAJENGEA MAKANISA.
03.KUWA MUELEWA NIMESEMA DJIBOUTI NI MOJA YA NCHI NA SIO NCHI PEKEE, ELEWA SENTENSI NI MOJA YA NCHI.
HII NCHI TUNAHITAJI UHURU KAMILI. BADO TUNATAWALIWA NA IMANI, SIASA NK
Misikiti ipo na vijana hawaendi kuswali hivyo tatizo sio misikiti, sehemu kama ilala(Dar) kuna misikiti kama 9 yani unaamua tu uswali msikiti gani ila bado vijana hawaendi kuswali.Ni jambo jema