Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Kumbe hii dini ni ya Waarab bora umetushtua mapema chaliimnaumia sana kuona mwarabu anaendeleza dini yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hii dini ni ya Waarab bora umetushtua mapema chaliimnaumia sana kuona mwarabu anaendeleza dini yake
Kwanini mlijaza makanisa Kila Kona badala ya shule na ma hospital na mnawachukia wanaojaza misikiti kwani wanatofauti gani na nyie mnaojaza makanisa Kila Kona?Hatuwezi kumsqpoti akijenga kanisa coz yamejaa kila kona.
Watanzania wote tunahitaji shule na Hospital.
Zwazwa ni wewe unayedhani muarabu ni ndugu yako wakati anawaonaga nyie waislamu weusi ni takataka tu
Waislam kataeni kutumiwa na CCM kuhalalisha uharamia waoKampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.
Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani, wawakilishi wa DP World walitembelea Mbeya ambako waliahidi kujenga Msikiti wa Masjid Al Jumaa na misaada mbalimbali. Baada ya hapo walisema wanakwenda Zanzibar ambako nako pia watafanya hayo hayo.
Video:
Video hii imerekodiwa kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili na ilichukuliwa Mkoani Mbeya! Je, ulijua kuwa Kampuni ya DP ina malengo pia ya kukuza Uislamu mahali popote pale inapokuwa duniani? Je, ulijua kuwa DP World ina malengo ya kidini? Je, unafikiri hii ndiyo sababu Sheikh Mwaipopo alitoa kauli kali ya kutisha na kuonya Waislamu wasihudhurie Mkutano wa Temeke wa 23 Julai 2023 uliolenga kujadili na kuhoji Mkataba wa Bandari unaolalamikiwa sana?
Je, unafikiri kwa nini wawakilishi wa DP World walipofika hawakutembelea Makanisa, viwanja vya michezo, vyuo vikuu badala yake waliamua kutembelea Misikiti na kuahidi kutoa misaada huko? Je, faida watakayopata DP World katika kuendesha Bandari zetu itatokana na Kodi za Waislamu pekee?
Je, unafikiri moja ya sababu za Spika Dkt. Tulia kuutetea Mkataba wa Bandari na kufikia hatua ya kuwaita wanaoupinga kuwa ni 'wapumbavu wasiosha upumbavu wao' ni pamoja na hao DP World kutembelea Mbeya na kuwasidia wapiga kura wake Waislamu kwa kuaahidi kuwajengea Msikiti wa Masjid Al Jumaa?
Usimkarikie Askofu Mwamakula kwa kuandika haya na kuweka video hii hapa, wakasikirikie DP World kwa kuweka malengo yao wazi kuwa wanasaidia misikiti na sio dini nyingine. Pia, walaumu waliovujisha video hii hadi ikamfikia Askofu. Je, ni nani sasa anayeleta udini katika mjadala huu wa Mkataba wa Bandari? Je, ni DP World au wanaoupinga Mkataba wa Bandari?
Je, kuweka hadharani habari hizi ni uchochezi, uhalisia au uzalendo? Je, ni kwa nini viongozi wa Serikali na CCM hawaweki wazi wananchi katika mikutano yao ya hadhara kuwa faida mojawapo ya DP World ni pamoja na kujenga misikiti na kusaidia Uislamu? Je, ni kwa nini hili linafichwa wakati liko wazi hata katika malengo ya DP World? Kama Serikali haikujua malengo hayo, Waarabu hao wangesafiri hadi Mbeya kwa kificho na kuahidi kujenga misikiti nchini?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 26 Julai 2023; 07:55 am.
za bandari zetu kwa malipo ya miskiti!?Hili ni jambo jema kabosa. Ndo maana wanabodi huwa mi nawaambia kuwa hawa DP WORLD ni watu wa kheri kabisa. Bado namlaumu sana madam President kwa nini anachelewesha kuwapa bandari hawa ndugu zetu ili walete neema?
Ungezaji wa misikiti uende sambamba na elimu ya kujua jinsi ya kuswali pamoja na mambo mengine ya dini.Kwa sababu misikiti kule ni michache, lazima watu wapate huduma za kiroho kule
Si chuo kikuu tu, wewe uliisha sikia wapi Serikali ya Tanzania inaenda negotiate kuhusu nchi wafadhili kutusaidia halafu ikawaambia pia wawasaidie wakiristo!!?? Lakini Serikali ili waruhusu Libya na Morocco kuwasaidia Waislam (Misikiti na misaada mingine (msikiti kinondoni na msikiti wa Gadafi Dodoma).
Tatizo la Hawa Waarabu kila Agenda ya Maendeleo wanayoipeleka hasa hasa katika nchi maskini wanaichanganya na kueneza DINI ya kiislam.
Kwa sasa ni Mwanamfalme wa Saudia tu, na sijui YESU ameamua kuingilia kati kumbafili thinking yake? huyo ameamua kufunga taasisi zote walizoanzisha nje ya Saudia. Ona hii video
Mimi na wewe nani kaanza kumkwoti mwenzie?Duh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilimrad uniqoute. Okay tunamaswali ya kijinga.
Wingi unaanzia ngapi dada mweny akili?
Thread hii siyo Mkataba, bali DP WORLD kuhusisha uwekezaji wao na ufadhili wa dini ya Uislam; hilo halipatani na akili kwa sababu linagombanisha watanzania kwa Udini na kumtia doa Rais wetu. Kumbuka yeye ni Muislam je watu wa dini nyingine watamfikiriaje. Na kama Kuna Muislam anaunga mkono hilo, upeo wake hauko sawa sawaKwani hilo unalosema limo kwenye huo Mkataba?
Hapo Kuna shida Gani!!? Those are church-run hospitals kwa maslahi ya Watanzania wote; na Wala hamna eneo la MOU inakataza Serikali kuingia MOU na Dini nyingine. Nambie hamna ndugu Yako aliisha faidika na matibabu ya BUGANDO, KCMC au Peramiho hospitals? Nyinyi mmepewa chuo kikuu na kukifanya Islamic university; Serikali imewaombea msaada mkajengewa Misikiti. Sema kama hiyo MoU inasema Serikali itaziomba Serikali za nje zijenge makanisaNdugu: Labda huelewi tu.
Katika MoU ya serikali ya Tanzania na Taasisi za makanisa ya miaka ya 1990's kuna kipengele katika hiyo MoU kinachosema kuwa serikali ikifanya Mazungumzo na Mataifa mengine huko nje Itayaombea fedha makanisa fedha kwa ajili ya huduma zao za kijamii. Msisitizo ukiwa ni nchi ya Ujerumani na Nyinginezo.
Waislamu wakipiga kelele kwenye hii kitu cha serikali kufanya kazi ya Kanisa mnaweka pamba masikioni. Laiti serikali ya Tanzania ingekuwa na makubaliano RASMI kama haya na Taasisi za Kiislamu nchi isingekalika hii
Hebu angalia kifungu hiki nakuwekea, kipo katika MoU ya serikali ya Tanzania na Kanisa
View attachment 2700550
Hapo Kuna shida Gani!!? Those are church-run hospitals kwa maslahi ya Watanzania wote; na Wala hamna eneo la MOU inakataza Serikali kuingia MOU na Dini nyingine. Nambie hamna ndugu Yako aliisha faidika na matibabu ya BUGANDO, KCMC au Peramiho hospitals? Nyinyi mmepewa chuo kikuu na kukifanya Islamic university; Serikali imewaombea msaada mkajengewa Misikiti. Sema kama hiyo MoU inasema Serikali itaziomba Serikali za nje zijenge makanisa
Kwan hapo Islamic university hawasomi wakristo. Kama shida ni jina mbona BUGANDO CATHOLIC UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE.Hapo Kuna shida Gani!!? Those are church-run hospitals kwa maslahi ya Watanzania wote; na Wala hamna eneo la MOU inakataza Serikali kuingia MOU na Dini nyingine. Nambie hamna ndugu Yako aliisha faidika na matibabu ya BUGANDO, KCMC au Peramiho hospitals? Nyinyi mmepewa chuo kikuu na kukifanya Islamic university; Serikali imewaombea msaada mkajengewa Misikiti. Sema kama hiyo MoU inasema Serikali itaziomba Serikali za nje zijenge makanisa
Mara mia. Ingesaidia kuongeza ajira kwa watu na kuinua vipato. Wanazidiwa na Mwamposa aliyejenga Hotel.Mwamakula alikuwa na hao Waarabu kwenye vikao wakamwabia wanajenga msikiti, wewe unasema Waarabu hovyo.
Ulitaka wajenge night club?
Mimi nataka kujuwa kesi ya wapinzani wa IGA huko Mbeya imefikia wapi leo?
Erythrocyte
Mdude_Nyagali
Hiyo faida inatokana na bandari ya watanganyika ambao hawana dini (watu wote)Sasa kwanini mnawapangia jinsi ya kutumia faida yao?
Kwanza Tanganyika haipo, pili unaonekana mdini sana, tatu bandari zote zipo maeneo ya waislamu hivi nyie inawahusu nini?, halafu hivi ni maendeleo gani waliyonayo bara huko kwenye makanisa ya kuwapiku miji yenye bandari? Kama tanga, zanzibar na hata mtwara?,Hiyo faida inatokana na bandari ya watanganyika ambao hawana dini (watu wote)
Walitakiwa wajenge msikiti Zanzibari huko ndiyo kuna udini na siyo Tanganyika.
Walitakiwa wajenge Hospital au shule.
Wanataka wajenge misikiti mingi halafu waanze kufadhili vikundi vya kigaidi vya kiislamu ili waanzishe dola la kiislamu (vita).
Tunahitaji maendeleo na siyo misikiti na visima vya kujitawazia. Ukienda sehemu ambapo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo kwasababu maendeleo yao ni kujenga misikiti na visima vya kujitawazia. Ukishajitawaza nini kinafuata?
Zanzibar ingekuwa haina dini, ingekuwa ina maendeleo sana km Dar na Mwanza. Ila huko misikiti kila kona na visima vya kujitawazia
Nchi itakuwa km Zanzibar hakuna maendeleo. Kutakuwa na misikiti mingi na visima vya kujitawazia kuliko hospitali, shule n.kUnaonaje hao waislamu wakisaidia kuongoza serikali?
tatizo liko kwenye Agenda zenu za siri za kutaka to Islamize the world and for this matter Watanzania.Kwan hapo Islamic university hawasomi wakristo. Kama shida ni jina mbona BUGANDO CATHOLIC UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE.
Kuna mambo ni ujinga kuyajadili.
Wew nimeshakupuuza labda nikwambie tu [emoji23][emoji23][emoji23].Sababu unajifanya mshauri kumbe unachuki, ungejikita kweny ushauri ningekupa kongole ila kwa hio chuki nayoiona kweny maandish yako acha DP waendelee kujenga misikitiUkienda Tabora, Ndala utakuta kanisa kubwa la Roman Catholic na hospital ya Ndala Mission.
Kwa pembeni km kilomita 1 kuna msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Unafikiri nani ni mbaguzi hapo?
Unaenda kanisani unasali na ukiumwa unaenda hospitali.
Ukiswali na kujitawaza, ukiumwa utaenda kuchota maji ujitawaze upone?
Amkeni
Kama ipo maeneo ya waislamu ni bandari zenu? Tanganyika hatuna udini.Kwanza Tanganyika haipo, pili unaonekana mdini sana, tatu bandari zote zipo maeneo ya waislamu hivi nyie inawahusu nini?, halafu hivi ni maendeleo gani waliyonayo bara huko kwenye makanisa ya kuwapiku miji yenye bandari? Kama tanga, zanzibar na hata mtwara?,
Hivi kwako maendeleo ni nini ? Au labda ni wanaume kwa wanaume kuoana?
Ni bora tuwe na magaidi kuliko kuwa na mapapai