Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Hatuwezi kumsqpoti akijenga kanisa coz yamejaa kila kona.
Watanzania wote tunahitaji shule na Hospital.
Zwazwa ni wewe unayedhani muarabu ni ndugu yako wakati anawaonaga nyie waislamu weusi ni takataka tu
Kwanini mlijaza makanisa Kila Kona badala ya shule na ma hospital na mnawachukia wanaojaza misikiti kwani wanatofauti gani na nyie mnaojaza makanisa Kila Kona?
 
Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.

Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani, wawakilishi wa DP World walitembelea Mbeya ambako waliahidi kujenga Msikiti wa Masjid Al Jumaa na misaada mbalimbali. Baada ya hapo walisema wanakwenda Zanzibar ambako nako pia watafanya hayo hayo.

Video:
Video hii imerekodiwa kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili na ilichukuliwa Mkoani Mbeya! Je, ulijua kuwa Kampuni ya DP ina malengo pia ya kukuza Uislamu mahali popote pale inapokuwa duniani? Je, ulijua kuwa DP World ina malengo ya kidini? Je, unafikiri hii ndiyo sababu Sheikh Mwaipopo alitoa kauli kali ya kutisha na kuonya Waislamu wasihudhurie Mkutano wa Temeke wa 23 Julai 2023 uliolenga kujadili na kuhoji Mkataba wa Bandari unaolalamikiwa sana?

Je, unafikiri kwa nini wawakilishi wa DP World walipofika hawakutembelea Makanisa, viwanja vya michezo, vyuo vikuu badala yake waliamua kutembelea Misikiti na kuahidi kutoa misaada huko? Je, faida watakayopata DP World katika kuendesha Bandari zetu itatokana na Kodi za Waislamu pekee?

Je, unafikiri moja ya sababu za Spika Dkt. Tulia kuutetea Mkataba wa Bandari na kufikia hatua ya kuwaita wanaoupinga kuwa ni 'wapumbavu wasiosha upumbavu wao' ni pamoja na hao DP World kutembelea Mbeya na kuwasidia wapiga kura wake Waislamu kwa kuaahidi kuwajengea Msikiti wa Masjid Al Jumaa?

Usimkarikie Askofu Mwamakula kwa kuandika haya na kuweka video hii hapa, wakasikirikie DP World kwa kuweka malengo yao wazi kuwa wanasaidia misikiti na sio dini nyingine. Pia, walaumu waliovujisha video hii hadi ikamfikia Askofu. Je, ni nani sasa anayeleta udini katika mjadala huu wa Mkataba wa Bandari? Je, ni DP World au wanaoupinga Mkataba wa Bandari?

Je, kuweka hadharani habari hizi ni uchochezi, uhalisia au uzalendo? Je, ni kwa nini viongozi wa Serikali na CCM hawaweki wazi wananchi katika mikutano yao ya hadhara kuwa faida mojawapo ya DP World ni pamoja na kujenga misikiti na kusaidia Uislamu? Je, ni kwa nini hili linafichwa wakati liko wazi hata katika malengo ya DP World? Kama Serikali haikujua malengo hayo, Waarabu hao wangesafiri hadi Mbeya kwa kificho na kuahidi kujenga misikiti nchini?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 26 Julai 2023; 07:55 am.
Waislam kataeni kutumiwa na CCM kuhalalisha uharamia wao
 
Tunau
Hili ni jambo jema kabosa. Ndo maana wanabodi huwa mi nawaambia kuwa hawa DP WORLD ni watu wa kheri kabisa. Bado namlaumu sana madam President kwa nini anachelewesha kuwapa bandari hawa ndugu zetu ili walete neema?
za bandari zetu kwa malipo ya miskiti!?
 
Si chuo kikuu tu, wewe uliisha sikia wapi Serikali ya Tanzania inaenda negotiate kuhusu nchi wafadhili kutusaidia halafu ikawaambia pia wawasaidie wakiristo!!?? Lakini Serikali ili waruhusu Libya na Morocco kuwasaidia Waislam (Misikiti na misaada mingine (msikiti kinondoni na msikiti wa Gadafi Dodoma).
Tatizo la Hawa Waarabu kila Agenda ya Maendeleo wanayoipeleka hasa hasa katika nchi maskini wanaichanganya na kueneza DINI ya kiislam.
Kwa sasa ni Mwanamfalme wa Saudia tu, na sijui YESU ameamua kuingilia kati kumbafili thinking yake? huyo ameamua kufunga taasisi zote walizoanzisha nje ya Saudia. Ona hii video

Ndugu: Labda huelewi tu.

Katika MoU ya serikali ya Tanzania na Taasisi za makanisa ya miaka ya 1990's kuna kipengele katika hiyo MoU kinachosema kuwa serikali ikifanya Mazungumzo na Mataifa mengine huko nje Itayaombea fedha makanisa fedha kwa ajili ya huduma zao za kijamii. Msisitizo ukiwa ni nchi ya Ujerumani na Nyinginezo.

Waislamu wakipiga kelele kwenye hii kitu cha serikali kufanya kazi ya Kanisa mnaweka pamba masikioni. Laiti serikali ya Tanzania ingekuwa na makubaliano RASMI kama haya na Taasisi za Kiislamu nchi isingekalika hii

Hebu angalia kifungu hiki nakuwekea, kipo katika MoU ya serikali ya Tanzania na Kanisa

1690458504069.png
 
Duh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilimrad uniqoute. Okay tunamaswali ya kijinga.

Wingi unaanzia ngapi dada mweny akili?
Mimi na wewe nani kaanza kumkwoti mwenzie?
 
Kwani hilo unalosema limo kwenye huo Mkataba?
Thread hii siyo Mkataba, bali DP WORLD kuhusisha uwekezaji wao na ufadhili wa dini ya Uislam; hilo halipatani na akili kwa sababu linagombanisha watanzania kwa Udini na kumtia doa Rais wetu. Kumbuka yeye ni Muislam je watu wa dini nyingine watamfikiriaje. Na kama Kuna Muislam anaunga mkono hilo, upeo wake hauko sawa sawa
 
Ndugu: Labda huelewi tu.

Katika MoU ya serikali ya Tanzania na Taasisi za makanisa ya miaka ya 1990's kuna kipengele katika hiyo MoU kinachosema kuwa serikali ikifanya Mazungumzo na Mataifa mengine huko nje Itayaombea fedha makanisa fedha kwa ajili ya huduma zao za kijamii. Msisitizo ukiwa ni nchi ya Ujerumani na Nyinginezo.

Waislamu wakipiga kelele kwenye hii kitu cha serikali kufanya kazi ya Kanisa mnaweka pamba masikioni. Laiti serikali ya Tanzania ingekuwa na makubaliano RASMI kama haya na Taasisi za Kiislamu nchi isingekalika hii

Hebu angalia kifungu hiki nakuwekea, kipo katika MoU ya serikali ya Tanzania na Kanisa

View attachment 2700550
Hapo Kuna shida Gani!!? Those are church-run hospitals kwa maslahi ya Watanzania wote; na Wala hamna eneo la MOU inakataza Serikali kuingia MOU na Dini nyingine. Nambie hamna ndugu Yako aliisha faidika na matibabu ya BUGANDO, KCMC au Peramiho hospitals? Nyinyi mmepewa chuo kikuu na kukifanya Islamic university; Serikali imewaombea msaada mkajengewa Misikiti. Sema kama hiyo MoU inasema Serikali itaziomba Serikali za nje zijenge makanisa
 
Huwezi kuona Shida kwa sababu unangalia kwa jicho la huduma.

Lakini ni beyond huduma. Ni biashara, ni ajira, ni kuipa advantage taasisi moja advantage katika ushindani dhidi ya nyingine zinazofanya biashara kama hizo.

Je serikali ina kauli juu ya nani anaajiriwa hapo ili usiwepo ubaguzi wa kidini?.

Kwa nini serikali isiombe hizo hela na kutafuta mikopo ili ijenge hayo mashule na kutoa huduma zake yenyewe?.

Huwezi kujificha kwenye kichaka cha hizo huduma eti zinahudumia wote. Hata huduma za Taasisi nyingine nazo zinahudumia wote pia!.
 
Hapo Kuna shida Gani!!? Those are church-run hospitals kwa maslahi ya Watanzania wote; na Wala hamna eneo la MOU inakataza Serikali kuingia MOU na Dini nyingine. Nambie hamna ndugu Yako aliisha faidika na matibabu ya BUGANDO, KCMC au Peramiho hospitals? Nyinyi mmepewa chuo kikuu na kukifanya Islamic university; Serikali imewaombea msaada mkajengewa Misikiti. Sema kama hiyo MoU inasema Serikali itaziomba Serikali za nje zijenge makanisa
Kwan hapo Islamic university hawasomi wakristo. Kama shida ni jina mbona BUGANDO CATHOLIC UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE.

Kuna mambo ni ujinga kuyajadili.
 
Mwamakula alikuwa na hao Waarabu kwenye vikao wakamwabia wanajenga msikiti, wewe unasema Waarabu hovyo.

Ulitaka wajenge night club?

Mimi nataka kujuwa kesi ya wapinzani wa IGA huko Mbeya imefikia wapi leo?

Erythrocyte
Mdude_Nyagali
Mara mia. Ingesaidia kuongeza ajira kwa watu na kuinua vipato. Wanazidiwa na Mwamposa aliyejenga Hotel.
Ukisha swali na kujitawaza. Nini kinafuata?
Ukienda Mang'ora kijijini (Arusha) au ndala (Tabora) kuna kanisa kubwa la Roman Catholic na hospital. Hatua kadhaa kuna msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia. Hapo unafikiri nani aliyesomea ujinga?
Sikatai ni jambo zuri ila jengeni misikiti na hospital au shule ili kuwezesha maendeleo.
Kukiwa na misikiti mingi au makanisa mengi ndiyo maendeleo?
Walichofanya DP hata Mzungu asingefanya hivyo angejenga kanisa, hospital au shule.
Gadhafi alikuja akajenga msikiti na kisima cha kujitawazia akaondoka. Yaani ukishajitawaza na kuswali, ukiugua uende kilometa 200 kutafuta huduma za afya?
Ukienda Singida kuna misikiti mingi sana na mizuri na visima vya kujitawazia hadi huko kijijini ila hakuna hata hospital au shule waliojenga waislamu.
Sehemu ambapo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo angalia Tanga, Singida, Lindi, Mtwara, Morogoro, Pwani, Zanzibar, utakuta misikiti mingi na visima vya kujitawazia.
Jengeni shule na hospital ndugu zangu.
Hapo ushajiona na wewe ni mwarabu tayari.
 
Kama Kuna hila na uovu wowote kwenye huo mkataba Mwenyezi Mungu awadhalilishe na kuwaabisha wote wenye hila na nia ovu kwenye huo mkataba.

Na wote tuseme Amina.

[emoji120]

Mwisho wa ubaya huwa ni aibu.

Na Wakose amani na Furaha mpaka waupige chini mazima!
 
Sasa kwanini mnawapangia jinsi ya kutumia faida yao?
Hiyo faida inatokana na bandari ya watanganyika ambao hawana dini (watu wote)
Walitakiwa wajenge msikiti Zanzibari huko ndiyo kuna udini na siyo Tanganyika.
Walitakiwa wajenge Hospital au shule.
Wanataka wajenge misikiti mingi halafu waanze kufadhili vikundi vya kigaidi vya kiislamu ili waanzishe dola la kiislamu (vita).
Tunahitaji maendeleo na siyo misikiti na visima vya kujitawazia. Ukienda sehemu ambapo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo kwasababu maendeleo yao ni kujenga misikiti na visima vya kujitawazia. Ukishajitawaza nini kinafuata?
Zanzibar ingekuwa haina dini, ingekuwa ina maendeleo sana km Dar na Mwanza. Ila huko misikiti kila kona na visima vya kujitawazia
 
Hivi kujenga misikiti ni ushirikiano wa kijamii au wa kidini? Maana kwenye mkataba kuna kipengele cha kushirikiana kijamii
 
Hiyo faida inatokana na bandari ya watanganyika ambao hawana dini (watu wote)
Walitakiwa wajenge msikiti Zanzibari huko ndiyo kuna udini na siyo Tanganyika.
Walitakiwa wajenge Hospital au shule.
Wanataka wajenge misikiti mingi halafu waanze kufadhili vikundi vya kigaidi vya kiislamu ili waanzishe dola la kiislamu (vita).
Tunahitaji maendeleo na siyo misikiti na visima vya kujitawazia. Ukienda sehemu ambapo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo kwasababu maendeleo yao ni kujenga misikiti na visima vya kujitawazia. Ukishajitawaza nini kinafuata?
Zanzibar ingekuwa haina dini, ingekuwa ina maendeleo sana km Dar na Mwanza. Ila huko misikiti kila kona na visima vya kujitawazia
Kwanza Tanganyika haipo, pili unaonekana mdini sana, tatu bandari zote zipo maeneo ya waislamu hivi nyie inawahusu nini?, halafu hivi ni maendeleo gani waliyonayo bara huko kwenye makanisa ya kuwapiku miji yenye bandari? Kama tanga, zanzibar na hata mtwara?,
Hivi kwako maendeleo ni nini ? Au labda ni wanaume kwa wanaume kuoana?
Ni bora tuwe na magaidi kuliko kuwa na mapapai
 
Unaonaje hao waislamu wakisaidia kuongoza serikali?
Nchi itakuwa km Zanzibar hakuna maendeleo. Kutakuwa na misikiti mingi na visima vya kujitawazia kuliko hospitali, shule n.k
Mtu ukikutwa unakula hadharani kipindi cha Ramadhani unachapwa viboko kwasababu umemtamanisha mwarabu chakula.
Sehemu ambazo Mwaarabu alipata kuishi hakuna maendeleo Zanzibar, Tanga, Lindi, Mtwara, Pwani, Shinyanga mjini, Singida na Morogoro
 
Kwan hapo Islamic university hawasomi wakristo. Kama shida ni jina mbona BUGANDO CATHOLIC UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE.

Kuna mambo ni ujinga kuyajadili.
tatizo liko kwenye Agenda zenu za siri za kutaka to Islamize the world and for this matter Watanzania.
angalia hizi clips hapa chini kuhusu VISION, CORE VALUES & OBJECTIVES ZA HIZI UNIVERSITY MBILI
BUGANDO UNIVERSITY:
-Non discrimination based on Race, Gender Religion and Political affiliation
Objectives
-The promotion of public charity interest in the field of higher education for the benefit of mankind in general and the Tanzanian society in particular.
MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO
To be a higher education centre of excellence with cutting edge programmes... under the guidance of Islamic moral values
Objectives
... to advance education through a variety of patterns... for the benefit of the community... especially the MUSLIM COMMUNITY IN THE URT
Sasa angalia pia staff wao
BUGANDO
Namuona hapo Dr. Haruna tena ni Dean
MUSLIM UNIVERSITY
Wameongozana waislamu wenyewe
Sasa agenda hizi za udini kwenye Taasisi zenu ndiyo zinawapa shida. Hata ukienda kwenye Balozi za Hapa Tanzania za nchi za Kiislam kazi yao ni kuajiri waislam
Screenshot (15).png
Screenshot (22).png
Screenshot (20).png
Screenshot (23).png
Screenshot (18).png
Screenshot (18).png
 
Ukienda Tabora, Ndala utakuta kanisa kubwa la Roman Catholic na hospital ya Ndala Mission.
Kwa pembeni km kilomita 1 kuna msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Unafikiri nani ni mbaguzi hapo?
Unaenda kanisani unasali na ukiumwa unaenda hospitali.
Ukiswali na kujitawaza, ukiumwa utaenda kuchota maji ujitawaze upone?
Amkeni
Wew nimeshakupuuza labda nikwambie tu [emoji23][emoji23][emoji23].Sababu unajifanya mshauri kumbe unachuki, ungejikita kweny ushauri ningekupa kongole ila kwa hio chuki nayoiona kweny maandish yako acha DP waendelee kujenga misikiti
 
Kwanza Tanganyika haipo, pili unaonekana mdini sana, tatu bandari zote zipo maeneo ya waislamu hivi nyie inawahusu nini?, halafu hivi ni maendeleo gani waliyonayo bara huko kwenye makanisa ya kuwapiku miji yenye bandari? Kama tanga, zanzibar na hata mtwara?,
Hivi kwako maendeleo ni nini ? Au labda ni wanaume kwa wanaume kuoana?
Ni bora tuwe na magaidi kuliko kuwa na mapapai
Kama ipo maeneo ya waislamu ni bandari zenu? Tanganyika hatuna udini.
Nyie shule zinawasumbua sana ndiyo maana mnajenga misikiti na visima vya kujitawazia.
Upapai ulianza kwa waislamu, binti wa kiislamu ili aolewe lazima awe bikra kwahiyo ili aonekane ni bikra alikuwa anagongwa nyuma na wakaibariki wakaita mwanamke kuingiliwa nyuma ni suna. Kwa kipindi kile mwanamke akikutwa hana bikra alikuwa anapigwa mawe mpaka anakufa.
Hii ili ilienda mpka kwa wanaume, mashoga wengi wapo Tanga, Zanzibar na Dar.
 
Back
Top Bottom