GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Dini zenyewe hatuzijui kwa kina kwa asilimia kubwa ya wa Tz lkn kutwa kucha kuchambana kwa misingi ya kidini hata kwenye mambo ambayo ni ya msingi kwa nchi.Askofu Mwamakula kakosea timing ya tamko lake. Maoni yake haya alipaswa akae nayo kifuani ili kuondoa propaganda za wanaotaka kutumia dini kuua umoja wa kitaifa kwenye kuukataa mkataba huu.
Sasa amewapa ammunition akina Mwaipopo waliyokuwa wanaitafuta.
Njia ya kudeal na akina Mwaipopo ni kuwaignore ili ujinga wao ujionyeshe wenyewe. uachie umma udeal nao kwenye tit for tat, ila Askofu wewe inabidi uconcentrate ktk hoja za mkataba ulivyo.
Ukishaanza kuhoji misikiti, unaibua hisia za waislamu kuwa kumbe wewe ugomvi wako siyo mkataba bali una ugomvi na waislamu kitu ambacho pengine si kweli.
Maendeleo kwenye hii nchi tukiendelea hivi tusahau kabisa.
Na uzuri wanasiasa wengi washajua sisi ni wa jinga wa dini na mpira wa miguu kwa hiyo wana tutumia wapendavyo wao