Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Askofu Mwamakula kakosea timing ya tamko lake. Maoni yake haya alipaswa akae nayo kifuani ili kuondoa propaganda za wanaotaka kutumia dini kuua umoja wa kitaifa kwenye kuukataa mkataba huu.

Sasa amewapa ammunition akina Mwaipopo waliyokuwa wanaitafuta.

Njia ya kudeal na akina Mwaipopo ni kuwaignore ili ujinga wao ujionyeshe wenyewe. uachie umma udeal nao kwenye tit for tat, ila Askofu wewe inabidi uconcentrate ktk hoja za mkataba ulivyo.

Ukishaanza kuhoji misikiti, unaibua hisia za waislamu kuwa kumbe wewe ugomvi wako siyo mkataba bali una ugomvi na waislamu kitu ambacho pengine si kweli.
Dini zenyewe hatuzijui kwa kina kwa asilimia kubwa ya wa Tz lkn kutwa kucha kuchambana kwa misingi ya kidini hata kwenye mambo ambayo ni ya msingi kwa nchi.
Maendeleo kwenye hii nchi tukiendelea hivi tusahau kabisa.
Na uzuri wanasiasa wengi washajua sisi ni wa jinga wa dini na mpira wa miguu kwa hiyo wana tutumia wapendavyo wao
 
Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.

Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani, wawakilishi wa DP World walitembelea Mbeya ambako waliahidi kujenga Msikiti wa Masjid Al Jumaa na misaada mbalimbali. Baada ya hapo walisema wanakwenda Zanzibar ambako nako pia watafanya hayo hayo.

Video:
Video hii imerekodiwa kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili na ilichukuliwa Mkoani Mbeya! Je, ulijua kuwa Kampuni ya DP ina malengo pia ya kukuza Uislamu mahali popote pale inapokuwa duniani? Je, ulijua kuwa DP World ina malengo ya kidini? Je, unafikiri hii ndiyo sababu Sheikh Mwaipopo alitoa kauli kali ya kutisha na kuonya Waislamu wasihudhurie Mkutano wa Temeke wa 23 Julai 2023 uliolenga kujadili na kuhoji Mkataba wa Bandari unaolalamikiwa sana?

Je, unafikiri kwa nini wawakilishi wa DP World walipofika hawakutembelea Makanisa, viwanja vya michezo, vyuo vikuu badala yake waliamua kutembelea Misikiti na kuahidi kutoa misaada huko? Je, faida watakayopata DP World katika kuendesha Bandari zetu itatokana na Kodi za Waislamu pekee?

Je, unafikiri moja ya sababu za Spika Dkt. Tulia kuutetea Mkataba wa Bandari na kufikia hatua ya kuwaita wanaoupinga kuwa ni 'wapumbavu wasiosha upumbavu wao' ni pamoja na hao DP World kutembelea Mbeya na kuwasidia wapiga kura wake Waislamu kwa kuaahidi kuwajengea Msikiti wa Masjid Al Jumaa?

Usimkarikie Askofu Mwamakula kwa kuandika haya na kuweka video hii hapa, wakasikirikie DP World kwa kuweka malengo yao wazi kuwa wanasaidia misikiti na sio dini nyingine. Pia, walaumu waliovujisha video hii hadi ikamfikia Askofu. Je, ni nani sasa anayeleta udini katika mjadala huu wa Mkataba wa Bandari? Je, ni DP World au wanaoupinga Mkataba wa Bandari?

Je, kuweka hadharani habari hizi ni uchochezi, uhalisia au uzalendo? Je, ni kwa nini viongozi wa Serikali na CCM hawaweki wazi wananchi katika mikutano yao ya hadhara kuwa faida mojawapo ya DP World ni pamoja na kujenga misikiti na kusaidia Uislamu? Je, ni kwa nini hili linafichwa wakati liko wazi hata katika malengo ya DP World? Kama Serikali haikujua malengo hayo, Waarabu hao wangesafiri hadi Mbeya kwa kificho na kuahidi kujenga misikiti nchini?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 26 Julai 2023; 07:55 am.
Sijui lengo la MWANDISHI WA MAKALA haya ila nahisi ANA UONI hafifu na ametawaliwa na chuki kuliko UADILIFU!!!

Nadhani naweza kuwakumbusha kidogo; Aliyekuwa kiongozi wa LIBYA Muammar Gaddafi amejenga misikiti kwenye maeneo mengi ikiwemo Tanzania [DODOMA], Uganda, taasisi za kiserikali za nchi nyingi za KIISLAM zimejenga misikiti na nyumba za kuabudia [Misikiti] mingi maeneo mengi.... hata zile zaujenzi utakuta kwenye kambi zao na maeneo yanayozunguka wanajenga misikiti..

Achana na taasisi, leo ukienda kwenye petrol stations zinazomilikiwa na WAISLAM wanaojitambua utakuta wamejenga MISIKITI kwenye station hizo....

Ninachotaka kusema ni nini; IFIKE WAKATI TUJADILI MKATABA WA DP WORLD kama ulivyomkataba bila KUAMSHA VITU AMBAVYO HAVINA MSINGI. Vinginevyo ASEME BILA SHAKA KUWA HILI LA KUJENGA MISIKITI NI SEHEMU YA MKATABA/MAKUBALIANO.

Kuanza kuzungumzia masuala ya kujenga misikiti ambayo hayapo kwenye Mikataba ni UPUUZI UNAOONGOZWA NA CHUKI NA UPOFU WA KIFIKRA!!! Leo tuna TAASISI BINAFSI kama FEZA kila EID ya KUCHINJA wanachinja ng'ombe wengi na kugawia wanajamii, sasa hilo litazuia FEZA kufanya biashara na SERIKALI kama kuna FURSA hiyo!???

Mbona viongozi wa DINI MNAONGOZWA NA CHUKI NA UPOFU WA KIDINI BADALA YA KUJADILI KWA KINA NA HOJA suala la MKATABA????

Ulianza UZANZIBARI wa Rais na Waziri, udini ukaingilia kati na leo linaibuka hili la misikiti ambao kwa HAKIKA SIYO SEHEMU YA MKATABA WA DP WORLD na TANZANIA, Kibaya zaidi anaandika kiongozi wa dini!!!

Ninasikitishwa na kuwa na viongozi wa DINI ambao kwa UHALISIA HAWAENDANI NA MAJOHO WALIOJIVIKA.....
 
Ndugu: Labda huelewi tu.

Katika MoU ya serikali ya Tanzania na Taasisi za makanisa ya miaka ya 1990's kuna kipengele katika hiyo MoU kinachosema kuwa serikali ikifanya Mazungumzo na Mataifa mengine huko nje Itayaombea fedha makanisa fedha kwa ajili ya huduma zao za kijamii. Msisitizo ukiwa ni nchi ya Ujerumani na Nyinginezo.

Waislamu wakipiga kelele kwenye hii kitu cha serikali kufanya kazi ya Kanisa mnaweka pamba masikioni. Laiti serikali ya Tanzania ingekuwa na makubaliano RASMI kama haya na Taasisi za Kiislamu nchi isingekalika hii

Hebu angalia kifungu hiki nakuwekea, kipo katika MoU ya serikali ya Tanzania na Kanisa

View attachment 2700550
Umeelewa kinyume, hospitali na shule zote za kanisa, misikiti au taasisi zozote za kidini kama Agha Khan n.k zinafanya kazi ambayo ilipaswa kufanywa na serikali. Kilichotokea kwa serikali kuingia kutoa support kwa baadhi ya hospitali za makanisa ni ili raia wake wengi zaidi watibwe katika huduma bora sehemu ambapo hospital za serikali hakuna au zina uwezo mdogo.
Usiniulize kwa nini serikali haijengi au haipanui hospitali zake maeneo hayo.
 
Ukiona hivi ujue case closed ! Watu wameishiwa na hoja zenye nguvu Imebaki blah blah tu !

Na sasa wameletewa mmaliziaji, Mzee K. Anawakusanya kikombe kimoja halafu taratiiibu anayatenga mafuta na maji.

Kinachoumiza ni huu ujinga kuwakokota watanzania wamegeuka mashabiki wa hizi team maslahi.

Struggle for Power.
 
Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.

Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani, wawakilishi wa DP World walitembelea Mbeya ambako waliahidi kujenga Msikiti wa Masjid Al Jumaa na misaada mbalimbali. Baada ya hapo walisema wanakwenda Zanzibar ambako nako pia watafanya hayo hayo.

Video:
Video hii imerekodiwa kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili na ilichukuliwa Mkoani Mbeya! Je, ulijua kuwa Kampuni ya DP ina malengo pia ya kukuza Uislamu mahali popote pale inapokuwa duniani? Je, ulijua kuwa DP World ina malengo ya kidini? Je, unafikiri hii ndiyo sababu Sheikh Mwaipopo alitoa kauli kali ya kutisha na kuonya Waislamu wasihudhurie Mkutano wa Temeke wa 23 Julai 2023 uliolenga kujadili na kuhoji Mkataba wa Bandari unaolalamikiwa sana?

Je, unafikiri kwa nini wawakilishi wa DP World walipofika hawakutembelea Makanisa, viwanja vya michezo, vyuo vikuu badala yake waliamua kutembelea Misikiti na kuahidi kutoa misaada huko? Je, faida watakayopata DP World katika kuendesha Bandari zetu itatokana na Kodi za Waislamu pekee?

Je, unafikiri moja ya sababu za Spika Dkt. Tulia kuutetea Mkataba wa Bandari na kufikia hatua ya kuwaita wanaoupinga kuwa ni 'wapumbavu wasiosha upumbavu wao' ni pamoja na hao DP World kutembelea Mbeya na kuwasidia wapiga kura wake Waislamu kwa kuaahidi kuwajengea Msikiti wa Masjid Al Jumaa?

Usimkarikie Askofu Mwamakula kwa kuandika haya na kuweka video hii hapa, wakasikirikie DP World kwa kuweka malengo yao wazi kuwa wanasaidia misikiti na sio dini nyingine. Pia, walaumu waliovujisha video hii hadi ikamfikia Askofu. Je, ni nani sasa anayeleta udini katika mjadala huu wa Mkataba wa Bandari? Je, ni DP World au wanaoupinga Mkataba wa Bandari?

Je, kuweka hadharani habari hizi ni uchochezi, uhalisia au uzalendo? Je, ni kwa nini viongozi wa Serikali na CCM hawaweki wazi wananchi katika mikutano yao ya hadhara kuwa faida mojawapo ya DP World ni pamoja na kujenga misikiti na kusaidia Uislamu? Je, ni kwa nini hili linafichwa wakati liko wazi hata katika malengo ya DP World? Kama Serikali haikujua malengo hayo, Waarabu hao wangesafiri hadi Mbeya kwa kificho na kuahidi kujenga misikiti nchini?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 26 Julai 2023; 07:55 am.

Hapa umesema kuna Video, lakini kwangu huku siioni. Ni Mimi tu sijaona ama haipo?

Tafadhali iweke tena Kama hutojali maana ni hatari mjadala Kama huu kukosa video ama picha ama documentations za aina yoyote kufanya uwe mjadala wa haki na huru zaidi.

I’m very sure kuna wengine wanaogopa kuweka maoni yao hapa kwa vile tu hakuna uthibitisho. Ahsante
 
tatizo liko kwenye Agenda zenu za siri za kutaka to Islamize the world and for this matter Watanzania.
angalia hizi clips hapa chini kuhusu VISION, CORE VALUES & OBJECTIVES ZA HIZI UNIVERSITY MBILI
BUGANDO UNIVERSITY:
-Non discrimination based on Race, Gender Religion and Political affiliation
Objectives
-The promotion of public charity interest in the field of higher education for the benefit of mankind in general and the Tanzanian society in particular.
MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO
To be a higher education centre of excellence with cutting edge programmes... under the guidance of Islamic moral values
Objectives
... to advance education through a variety of patterns... for the benefit of the community... especially the MUSLIM COMMUNITY IN THE URT
Sasa angalia pia staff wao
BUGANDO
Namuona hapo Dr. Haruna tena ni Dean
MUSLIM UNIVERSITY
Wameongozana waislamu wenyewe
Sasa agenda hizi za udini kwenye Taasisi zenu ndiyo zinawapa shida. Hata ukienda kwenye Balozi za Hapa Tanzania za nchi za Kiislam kazi yao ni kuajiri waislam
View attachment 2700656View attachment 2700657View attachment 2700658View attachment 2700659View attachment 2700660View attachment 2700660
Huduma za elimu na afya kwa kanisa ni biashara, waislam wao hawafanyi biashara za elimu na afya
 
Acha uongo Hivyo vyuo vikuu na secondary schools hazipati faida?
Lengo ni kutoa huduma na si biashara,ndiyo maana hakuna mchujo,kila mtu apate elimu,wale wengine Wana mchujo ili wawe wa kwanza kitaiga,wapate wateja wengi na kuweka ada kubwa
 
Duuh [emoji23][emoji23][emoji23]

Okay waislam ndo waliwaomba baada ya kutembelea huko
Waislamu gani waliwaomba?
Waislamu hao walitembelea huko wapi?
Hao waislamu walitembelea huko kama nani?
Hao waislamu walitembelea huko kwa gharama za nani
 
Tanzania ina makampuni mengi mno ya kikiristo na kisabato, easy yaimbieni hayo makampuni nayo yajenge makanisa.
Alisikika mwanaccm mmoja hivi. Ukienda bar na ukamtaka bar meid. Unampa bia kwanza
Kinachotokea, yeye mwenyewe atatafuta chumba na utamlala.
Hapo mwali, anapewa bia atatafuta guest ili akagongwe
 
Agenda kubwa ya Waislam
 
Kumbe ndio agenda yao ya siri,washindwe wasifanikiwe kwa jina la Yesu.
 
Ok hameni nchi mana hamtozuia
Tukachozuia ni nyie kuanzisha mafundisho ya kigaidi kwenye hizo misikiti. Ukigundulika ni kifungo cha miaka mingi au maisha kama wale mashekh wa UAMSHO.
Ukishaswali na kujitawaza na ukiangalia msikiti unaona kuna maendeleo sana?
Ukienda kwa ndugu zako Singida, kuna misikiti na mizuri sana kila mtaa hadi vijijini huko lkn hakuna maendeleo yoyote.
Waliojenga nyumba ni watu kutoka mikoa mingine tena ni imani tofauti na uislamu.
Wengi wakienda kuswali na kujitawaza wanaona tayari wanamaendeleo.
 
Waislamu gani waliwaomba?
Waislamu hao walitembelea huko wapi?
Hao waislamu walitembelea huko kama nani?
Hao waislamu walitembelea huko kwa gharama za nani
Aya sawa

Waislam wa mbeya ndo waliomba.
Waislam wenzao walitembelea mbeya.
Walitembelea huko kama wawekezaji
Witembelea huko kwa garama zao.

Kuna swali lingine?
 
Miluzi mingi humpoteza mbwa...

Watu washapotezana toka kwenye hoja ya msingi ya mikataba aina kama ile ya chief Mangungo hadi malumbano ya imani za kidini...
 
Kwani kujengwa msikitin Kuna idhoofisha vipi nafasi ya askofu.???? Mbona gvt inatoa zuruku kwa WAkiristo tu bila waislamu kupata hata 100 na bado maisha Yana songa mbele.

Ubaya WA maaskofu ni roho mbaya zinawasumbua wanataka Kila kitu wapate wao Yan wakipata waislamu ni nongwa kubwa sana.

Hapo wanatamani kumuua mwafulani ili cheo kikuu wampe pengo
 
Mwekezaji yeyote awe Mkristo au Muislam anayeyekuja kwa kigezo cha kueneza dini ili apate favour ni wa kuogopa kama ukoma. Historia inaonyesha biashara ya utumwa ilianza kwa gia hiihii na babu zetu walipelekwa utumwani ambako walihasiwa na kutumikishwa kama wanyama na wale waliojitanabaisha kama waeneza dini. Ikafuatiwa na Wamisionari nao wakaja kwa gia hiihii babu zetu wakajikuta tena wanaangukia katika ukoloni uliokuwa ni utumwa ndani ya ardhi yao.

Yeyote anayekuja kwa gia ya dini ni wa kuogopwa na kuepukwa kama ukoma.
 
Huyu askofu akumbuke pia kuelezea namna wazungu wanavyojenga makanisa na kufadhili mataasisi ya dini ya wakiristu ambayo yameenea kila kona.
Miaka ya nyuma mpaka mitumba ilikuwa inaletwa makanisani kwa ajili ya kusaidia wasiojiweza, masista (bila shaka kwa maelekezo ya mapadri na maparoko), walikua wanaipiga bei.
Nishawahi kuuziwa "six njumu" na na jackets pale kabisa la PUMA
 
Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.

Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani, wawakilishi wa DP World walitembelea Mbeya ambako waliahidi kujenga Msikiti wa Masjid Al Jumaa na misaada mbalimbali. Baada ya hapo walisema wanakwenda Zanzibar ambako nako pia watafanya hayo hayo.

Video:
Video hii imerekodiwa kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili na ilichukuliwa Mkoani Mbeya! Je, ulijua kuwa Kampuni ya DP ina malengo pia ya kukuza Uislamu mahali popote pale inapokuwa duniani? Je, ulijua kuwa DP World ina malengo ya kidini? Je, unafikiri hii ndiyo sababu Sheikh Mwaipopo alitoa kauli kali ya kutisha na kuonya Waislamu wasihudhurie Mkutano wa Temeke wa 23 Julai 2023 uliolenga kujadili na kuhoji Mkataba wa Bandari unaolalamikiwa sana?

Je, unafikiri kwa nini wawakilishi wa DP World walipofika hawakutembelea Makanisa, viwanja vya michezo, vyuo vikuu badala yake waliamua kutembelea Misikiti na kuahidi kutoa misaada huko? Je, faida watakayopata DP World katika kuendesha Bandari zetu itatokana na Kodi za Waislamu pekee?

Je, unafikiri moja ya sababu za Spika Dkt. Tulia kuutetea Mkataba wa Bandari na kufikia hatua ya kuwaita wanaoupinga kuwa ni 'wapumbavu wasiosha upumbavu wao' ni pamoja na hao DP World kutembelea Mbeya na kuwasidia wapiga kura wake Waislamu kwa kuaahidi kuwajengea Msikiti wa Masjid Al Jumaa?

Usimkarikie Askofu Mwamakula kwa kuandika haya na kuweka video hii hapa, wakasikirikie DP World kwa kuweka malengo yao wazi kuwa wanasaidia misikiti na sio dini nyingine. Pia, walaumu waliovujisha video hii hadi ikamfikia Askofu. Je, ni nani sasa anayeleta udini katika mjadala huu wa Mkataba wa Bandari? Je, ni DP World au wanaoupinga Mkataba wa Bandari?

Je, kuweka hadharani habari hizi ni uchochezi, uhalisia au uzalendo? Je, ni kwa nini viongozi wa Serikali na CCM hawaweki wazi wananchi katika mikutano yao ya hadhara kuwa faida mojawapo ya DP World ni pamoja na kujenga misikiti na kusaidia Uislamu? Je, ni kwa nini hili linafichwa wakati liko wazi hata katika malengo ya DP World? Kama Serikali haikujua malengo hayo, Waarabu hao wangesafiri hadi Mbeya kwa kificho na kuahidi kujenga misikiti nchini?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 26 Julai 2023; 07:55 am.
Tuko wengi tuliosoma shule za Misheni mbona hatukulalamika?
 
Back
Top Bottom