Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

Wewe ndiye taahira namba moja usiyeelewa. Unashindwa kuelewa jambo dogo tu. Unamtetea Samia! Amekulipa shilingi ngapi fala wewe? Umekosa credibility fala wewe.
Matusi ya Nini boss. Kula mko kamili epuka sukari nyingi ila usisahau maji mengi itakusaidia kuepukana na sukari na presha.
 
1771915105175.png
Baba Askofu Mwamakula!

Jana, 22 Februari 2026, tukio la ajabu liltokea Kibaha Mkoani katika Mtaa wa Uhuru. Ilikuwa hivi: Ilipita pikipiki ya miguu mitatu na ilibeba viroba vyeusi vingi kama uchafu vikitoa harufu kali. Kuifuatilia ile Toyo, ikasimama katika eneo la Makaburi ya Msae. Na palikuwa na takribani makaburi ishirini yamechimbwa. Ghafla wale watu wachache wakaanza kuvirusha vifurushi kwenye makaburi hayo na kuanza kuvifukia.

Hakukuwa na Mwenyekiti wa Mtaa, mjumbe wala askari; bali waliokuwepo ni wachimbaji na gari suzuki yenye namba SM. Taharuki ilikuwa kubwa kwamba hizo maiti zilitoka wapi? Kama ni hospitali kwa nini zizikwe hivyo asubuhi? Na kama ni zilizokosa ndugu, utaratibu uko hivyo?

Kwa kweli fuatilieni mtagundua hayo makaburi bado ni mabichi na ufafanuzi sahihi upatikane kutoka kwa wahusika ili kuondoa sintofahamu. Nimetuma picha hizo hapo.

S. M.,
Mwananchi kutoka Kibaha, 23 Februari 2026.

Ndugu Watanzania!
Hii ni habari ya kutisha sana, ilihitaji ujasiri kwa mtoa taarifa hii kuifikisha. Lakini ilihitaji ujasiri wa hali ya juu kwetu kuiweka hapa. Kwa hiyo, hii inabaki kuwa tuhuma dhidi ya watu ambao hawajulikani kuwa walifanya mauaji ya watu hao ni kwenda kuwafukia kule Kibaha.

Kwa kuwa mtoa taarifa anaeleza kuwa 'mizigo' au miili iliyowekwa katika viroba vile ilikuwa pia inatoa harufu kali sana inawezekana kuwa miili hiyo ilikuwa imekaa muda mrefu huko ilikotoka.

Kwa kuwa eneo lililotajwa linajulikana, ushauri wetu ni huu: wanakijiji wote wafike mahali pale kesho au keshokutwa na kuudai uongozi wao wa Mtaa uite viongozi wa juu kujadili juu ya hilo tukio. Lakini pia hata vyombo vya habari vifike mahali pale kuona kama kweli kuna mazingira ya kuzika miili mahali pale.

Watu wema waanze kufuatilia nyendo za watu kuanzia usiku huu. Wapige picha kwa siri hata kurekodi video kuhusu jambo lolote linalotokea kuanzia sasa. Kama ni kweli hilo tukio lilitukia, wahusika watatafuta namna ya kufukua mahali pale ili kuiondoa kuipeleka sehemu nyingine!

Kwa maelezo ya mtoa taarifa hapo juu, huenda miili hiyo kuna mahali ilikuwa imewekwa kwa muda mrefu ndio maana pia ikawa imeharibika kiasi cha kutoa harufu kali sana. Je, wewe ni mwenyeji wa Kibaha? Je, kuna eneo linaloitwa Makaburi ya Msae? Je, umesikia taarifa hizo?
Je kuna makaburi au mashimo mengi mabichi?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 23 Februari 2026; Saa 5:45 usiku
 
Kweli nyie ni Matahira.
Miaka yote watu wasio na ndugu wanazikwa na serikali chini ya manispaa hampigi kelele.
Leo mnatafuta kiki.
Hamtaipata.

With all due respect.

Usiasa wako usikufanye uwe kipofu. Unatetea kitu bila hata kufikiria.

Kuzikwa na manispaa kuna utaratibu wake.
kunakuwa na mashahidi. Kuna kuwa na askari na wawakilishi wa serikali (mjumbe au mwenyekit wa mtaa).

Na miili inakuwa haijaoza.

Sasa shuhuda anasema wote hao wahakuwepo na pia miili ilikuwa imeoza. Na ni miili mingi.

sio jambo la kawaida.

Sasa hapa bila shaka ww ndio taahira.
 
Wewe ndiye taahira namba moja usiyeelewa. Unashindwa kuelewa jambo dogo tu. Unamtetea Samia! Amekulipa shilingi ngapi fala wewe? Umekosa credibility fala wewe.

Vp unataka wote tuwe nyumbu kumtetea haini maudenda?
Unataka tuwatetee vibaka wa kukinukisha
Unataka tuwatetee tecdema kwa maslahi ya wamagharibi?
 
Kweli nyie ni Matahira.
Miaka yote watu wasio na ndugu wanazikwa na serikali chini ya manispaa hampigi kelele.
Leo mnatafuta kiki.
Hamtaipata.

With all due respect.

Usiasa wako usikufanye uwe kipofu. Unatetea kitu bila hata kufikiria.

Kuzikwa na manispaa kuna utaratibu wake.
kunakuwa na mashahidi. Kuna kuwa na askari na wawakilishi wa serikali (mjumbe au mwenyekit wa mtaa).

Na miili inakuwa haijaoza.

Sasa shuhuda anasema wote hao wahakuwepo na pia miili ilikuwa imeoza. Na ni miili mingi.

Kwahiyo sio jambo la kawaida.
Ufafanuzo unahitajika.

Sasa hapa bila shaka ww ndio taahira.
 
With all due respect.

Usiasa wako usikufanye uwe kipofu. Unatetea kitu bila hata kufikiria.

Kuzikwa na manispaa kuna utaratibu wake.
kunakuwa na mashahidi. Kuna kuwa na askari na wawakilishi wa serikali (mjumbe au mwenyekit wa mtaa).

Na miili inakuwa haijaoza.

Sasa shuhuda anasema wote hao wahakuwepo na pia miili ilikuwa imeoza. Na ni miili mingi.

sio jambo la kawaida.

Sasa hapa bila shaka ww ndio taahira.
Unataka watu wote wawe kwenye mkumbo wa mambo yenu ya kutumga toka tecdema?

Ni mangapi mnazusha humu mitandaoni na kutaka watu waamini takataka zenu za mitandaoni?
 
Unataka watu wote wawe kwenye mkumbo wa mambo yenu ya kutumga toka tecdema?

Ni mangapi mnazusha humu mitandaoni na kutaka watu waamini takataka zenu za mitandaoni?

Ni tetesi.
Inaweza kuwa kweli au lah.
Usihukumu haraka.

Unajiabisha.

Mm nimemjibu huyo kuwa kama ni kweli. Manispaa hawaziki watu hivyo. Kuna utaratibu. Na sio kama yeye anavyodai.
 
Teeth at Work
Hivi hawa wapuuzi tangia waanze kuua wametokomeza wananchi kutoa maoni yao? Hauwezi kuzuia wananchi kutoa maoni ,utaua wangapi? USA yeneywe ni wababe wa dunia lakini waliona umuhimu wa UHURU WA MAONI.

Hawa Teeth wetu ukitoa mawazo mbadala basi wanakuteka na kukuua ,walianza na bensaane ,wakaja kina soka ,kina mdude lakin wakosoaji wanazidi kuongezeka ,waache watu waongee hauwezi kuwamaliza wakosoaji ,kadri unavyozidi kupambana nao ndivyo wanavyozidi kuongezeka.
 
Huyu askofu Bora avue Hilo Dera avae gwanda coz Kila kitu anakifanya siasa. Hivi ni kweli hajui au anajitoa fyuzi, mbona maiti zinazokosa ndg huzikwa hivyo huku kwetu huita cancel, km mtu asiposali kwenye makanisa Yao ni haramu kumzika je anaekosa ndg azikwe na nani?. Mpuuzi mkubwa huyu taahira.
 
Back
Top Bottom