Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

View attachment 3547871Baba Askofu Mwamakula!

Jana, 22 Februari 2026, tukio la ajabu liltokea Kibaha Mkoani katika Mtaa wa Uhuru. Ilikuwa hivi: Ilipita pikipiki ya miguu mitatu na ilibeba viroba vyeusi vingi kama uchafu vikitoa harufu kali. Kuifuatilia ile Toyo, ikasimama katika eneo la Makaburi ya Msae. Na palikuwa na takribani makaburi ishirini yamechimbwa. Ghafla wale watu wachache wakaanza kuvirusha vifurushi kwenye makaburi hayo na kuanza kuvifukia.

Hakukuwa na Mwenyekiti wa Mtaa, mjumbe wala askari; bali waliokuwepo ni wachimbaji na gari suzuki yenye namba SM. Taharuki ilikuwa kubwa kwamba hizo maiti zilitoka wapi? Kama ni hospitali kwa nini zizikwe hivyo asubuhi? Na kama ni zilizokosa ndugu, utaratibu uko hivyo?

Kwa kweli fuatilieni mtagundua hayo makaburi bado ni mabichi na ufafanuzi sahihi upatikane kutoka kwa wahusika ili kuondoa sintofahamu. Nimetuma picha hizo hapo.

S. M.,
Mwananchi kutoka Kibaha, 23 Februari 2026.

Ndugu Watanzania!
Hii ni habari ya kutisha sana, ilihitaji ujasiri kwa mtoa taarifa hii kuifikisha. Lakini ilihitaji ujasiri wa hali ya juu kwetu kuiweka hapa. Kwa hiyo, hii inabaki kuwa tuhuma dhidi ya watu ambao hawajulikani kuwa walifanya mauaji ya watu hao ni kwenda kuwafukia kule Kibaha.

Kwa kuwa mtoa taarifa anaeleza kuwa 'mizigo' au miili iliyowekwa katika viroba vile ilikuwa pia inatoa harufu kali sana inawezekana kuwa miili hiyo ilikuwa imekaa muda mrefu huko ilikotoka.

Kwa kuwa eneo lililotajwa linajulikana, ushauri wetu ni huu: wanakijiji wote wafike mahali pale kesho au keshokutwa na kuudai uongozi wao wa Mtaa uite viongozi wa juu kujadili juu ya hilo tukio. Lakini pia hata vyombo vya habari vifike mahali pale kuona kama kweli kuna mazingira ya kuzika miili mahali pale.

Watu wema waanze kufuatilia nyendo za watu kuanzia usiku huu. Wapige picha kwa siri hata kurekodi video kuhusu jambo lolote linalotokea kuanzia sasa. Kama ni kweli hilo tukio lilitukia, wahusika watatafuta namna ya kufukua mahali pale ili kuiondoa kuipeleka sehemu nyingine!

Kwa maelezo ya mtoa taarifa hapo juu, huenda miili hiyo kuna mahali ilikuwa imewekwa kwa muda mrefu ndio maana pia ikawa imeharibika kiasi cha kutoa harufu kali sana. Je, wewe ni mwenyeji wa Kibaha? Je, kuna eneo linaloitwa Makaburi ya Msae? Je, umesikia taarifa hizo?
Je kuna makaburi au mashimo mengi mabichi?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 23 Februari 2026; Saa 5:45 usiku
Huyo Askofu sijawahi kumuelewa.
 
TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA KUFUKIWA MSAE, KIBAHA Baba Askofu Mwamakula!Jana, 22 Februari 2026, tukio la ajabu liltokea Kibaha Mkoani katika Mtaa wa Uhuru. Ilikuwa hivi: Ilipita pikipiki ya miguu mitatu na ilibeba viroba vyeusi vingi kama uchafu vikitoa harufu kali. Kuifuatilia ile Toyo, ikasimama katika eneo la Makaburi ya Msae. Na palikuwa na takribani makaburi ishirini yamechimbwa. Ghafla wale watu wachache wakaanza kuvirusha vifurushi kwenye makaburi hayo na kuanza kuvifukia.Hakukuwa na Mwenyekiti wa Mtaa, mjumbe wala askari; bali waliokuwepo ni wachimbaji na gari suzuki yenye namba SM. Taharuki ilikuwa kubwa kwamba hizo maiti zilitoka wapi? Kama ni hospitali kwa nini zizikwe hivyo asubuhi? Na kama ni zilizokosa ndugu, utaratibu uko hivyo? Kwa kweli fuatilieni mtagundua hayo makaburi bado ni mabichi na ufafanuzi sahihi upatikane kutoka kwa wahusika ili kuondoa sintofahamu. Nimetuma picha hizo hapo.S. M.,Mwananchi kutoka Kibaha, 23 Februari 2026.Ndugu Watanzania!Hii ni habari ya kutisha sana, ilihitaji ujasiri kwa mtoa taarifa hii kuifikisha. Lakini ilihitaji ujasiri wa hali ya juu kwetu kuiweka hapa. Kwa hiyo, hii inabaki kuwa tuhuma dhidi ya watu ambao hawajulikani kuwa walifanya mauaji ya watu hao ni kwenda kuwafukia kule Kibaha.Kwa kuwa mtoa taarifa anaeleza kuwa 'mizigo' au miili iliyowekwa katika viroba vile ilikuwa pia inatoa harufu kali sana inawezekana kuwa miili hiyo ilikuwa imekaa muda mrefu huko ilikotoka.Kwa kuwa eneo lililotajwa linajulikana, ushauri wetu ni huu: wanakijiji wote wafike mahali pale kesho au keshokutwa na kuudai uongozi wao wa Mtaa uite viongozi wa juu kujadili juu ya hilo tukio. Lakini pia hata vyombo vya habari vifike mahali pale kuona kama kweli kuna mazingira ya kuzika miili mahali pale.Watu wema waanze kufuatilia nyendo za watu kuanzia usiku huu. Wapige picha kwa siri hata kurekodi video kuhusu jambo lolote linalotokea kuanzia sasa. Kama ni kweli hilo tukio lilitukia, wahusika watatafuta namna ya kufukua mahali pale ili kuiondoa kuipeleka sehemu nyingine!Kwa maelezo ya mtoa taarifa hapo juu, huenda miili hiyo kuna mahali ilikuwa imewekwa kwa muda mrefu ndio maana pia ikawa imeharibika kiasi cha kutoa harufu kali sana. Je, wewe ni mwenyeji wa Kibaha? Je, kuna eneo linaloitwa Makaburi ya Msae? Je, umesikia taarifa hizo?Je, kuna makaburi au majimbo mengi mabichi?Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula Itunge, Dar es Salaam; 23 Februari 2026; Saa 5:45 usiku

Image

9:51 AM · Feb 24, 2026
·
6,251
Views
 
​

Conversation​

Maria Sarungi Tsehai reposted

Kasimba Nolasco

@KasimbaNolasco1

6,281
Views
 
Hivi hawa wapuuzi tangia waanze kuua wametokomeza wananchi kutoa maoni yao? Hauwezi kuzuia wananchi kutoa maoni ,utaua wangapi? USA yeneywe ni wababe wa dunia lakini waliona umuhimu wa UHURU WA MAONI.

Hawa Teeth wetu ukitoa mawazo mbadala basi wanakuteka na kukuua ,walianza na bensaane ,wakaja kina soka ,kina mdude lakin wakosoaji wanazidi kuongezeka ,waache watu waongee hauwezi kuwamaliza wakosoaji ,kadri unavyozidi kupambana nao ndivyo wanavyozidi kuongezeka.

Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 1996 iliwaruhusu TISS kukusanya taarifa, kuzichakata na kutoa ushauri au mapendekezo kwa Serikali.

Lakini kwa Sheria Mpya ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 inawaruhusu TISS wote wenye wito wa Kazi Maalumu kufanya Jinai ya Uaminifu ikiwemo Kuteka, kuua, kulawiti, kuiba, n.k. pasipo kushitakiwa
.
Hivyobasi, ni vyema wananchi mkalijua hilo, kuwa TISS imepewa meno na nguvu ya kufanya Jinai ya Uaminifu ikiwemo Kuteka, kukuua na hata kukuzika kibabe pasipo Ndugu zako kujua au kufahamu kutokana na matishio ya kiusalama ambayo nchi kwa sasa inakabiriana nayo.

Naomba kuwasilisha
 
adult-mass-burial-february-1992-joel-sternfeld-courtesy-the-hart-island-project_custom-cf933e7...jpg
New York City, makaburi ya watu wasio na ndugu au ndugu wasiokuwa na uwezo.

Kuna njia nyingi za kupoteza maiti isionekane, siyo kila kinachozikwa basi mtu aliuwawa.

Uzushi nao si mzuri.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kanisa hata mfanyaje nchi hii haiwezi tena kupiga magoti kwa wavaa magauni
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom