Askofu Mwamakula mpigania haki wa CHADEMA kanisa lake liko wapi?

Askofu Mwamakula mpigania haki wa CHADEMA kanisa lake liko wapi?

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Sina maneno mengi wengi wanauliza kanisa la huyu askofu wa siasa lipo pande zipi waweze kwenda kupata msosi msosi wa kiroho na kisiasa!

20241016_055734.jpg
 
Kanisa" katika Biblia ya Kiingereza ni ekklesia. Neno hili ni maneno ya Kigiriki kaleo (kuita), yenye kiambishi awali ek (nje). Kwa hivyo, neno hilo linamaanisha " walioitwa ." Hata hivyo, neno la Kiingereza "kanisa" halitokani na ekklesia bali kutoka kwa neno kuriakon, ambalo linamaanisha "wakfu kwa Bwana."
 
Jibu swali kanisa la Askofu Mwamakula liko wapi? Acha porojo
 
Mnatamani hao Maaskofu na Wachungaji wote wawe kama Malasusa, Gwajima, Peter Msigwa, Mwamposa, nk. Jambo ambalo haliwezekani kabisa.
Msigwa anakanisa? Wanaabudu nani katika hilo kanisa? Kuku au bata? Maana binaadam si amini kama atakuwa anaabudu
 
Tafuta kujua kwanza ni Askofu wa Dhehebu lipi ndipo uulize Kanisa analohudumu li wapi.
 
Huwezi kuwa muadirifu ukashabikia ccm.mimi mwenyewe iwapo nitawashabikia CCM moyoni kwangu nitajua ni dhambi.haki huinua TAIFA.
 
Sina maneno mengi wengi wanauliza kanisa la huyu askofu wa siasa lipo pande zipi waweze kwenda kupata msosi msosi wa kiroho na kisiasa!

Mwamakula amepinda tu kama mateja yanayovuta unga. Yeye Hana kanisa wala waumini popote japo anaitwa Askofu wa Moravian Uamsho. Emmanuel Bandekile Mwamakula ni Tapeli tu kama tapeli yeyote unayomfahamu. Wenzie wa Moravian Mbeya walimtimua walipoona ni mdokozi wa sadaka
 
Back
Top Bottom