NABII MTARAJIWA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 425
- 609
Usiseme kanisa lake lipo wapi sema makanisa yake yanapatikana maeneo gani. Yeye ni Askofu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na ni Makamu Askofu wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Ulimwenguni. Kwa hiyo sio mtu mdogo huyo. Kwa Dar ana makanisa kadhaa na yeye alikuwa akisalisha ktk kanisa linalokutanika katika ukumbi pale Mlimani City sijajua kama amehama pale.