Askofu Mwamakula mpigania haki wa CHADEMA kanisa lake liko wapi?

Askofu Mwamakula mpigania haki wa CHADEMA kanisa lake liko wapi?

Mwamakula amepinda tu kama mateja yanayovuta unga. Yeye Hana kanisa wala waumini popote japo anaitwa Askofu wa Moravian Uamsho. Emmanuel Bandekile Mwamakula ni Tapeli tu kama tapeli yeyote unayomfahamu. Wenzie wa Moravian Mbeya walimtimua walipoona ni mdokozi wa sadaka
Duuuh kumbee arudishe majoho!
 
Mwamakula amepinda tu kama mateja yanayovuta unga. Yeye Hana kanisa wala waumini popote japo anaitwa Askofu wa Moravian Uamsho. Emmanuel Bandekile Mwamakula ni Tapeli tu kama tapeli yeyote unayomfahamu. Wenzie wa Moravian Mbeya walimtimua walipoona ni mdokozi wa sadaka

CHADEMA watapingana na wewe
 
Tuambie naona kama una kitu mkuu funguka........
Ninachokijua Mimi ni kuwa,

Mambo ya Awamu ya Tano yalikorogeka zaidi baada ya kuzuia maandamano ya Askofu huyo ya kudai Katiba na kupelekea kumuweka lock up!

Watumishi wa Mungu wa Kweli ni Mboni ya jicho la Mungu, kuwagusa ni kutafuta ugomvi na Mwenye mamlaka ya juu kuliko zote Mbinguni na duniani.

Ni hayo tu.
 
Hata mimi natamani kujua... au ni mchungaji deiwaka? Popote anakinukisha na upako... haha
 
Jibu swali kanisa la Askofu Mwamakula liko wapi? Acha porojo
Hata mimi nasubiri jibu lao,
Screenshot 2024-10-16 091827.png

Halafu kanisa la nabii tito nalo liko wapi?
Hawa ndio manbii pendwa wa chama
 
Sina maneno mengi wengi wanauliza kanisa la huyu askofu wa siasa lipo pande zipi waweze kwenda kupata msosi msosi wa kiroho na kisiasa!

Kanisa halina maana ya jengo la wakiristu kama tunavyodhani, ni mkusanyiko wa waumini hata kama ndani ya jengo la CCM!(ila humu sijui kama Mungu atawaacha salama) au chini ya mnazi.
 
Back
Top Bottom