Askofu Mwamakula mpigania haki wa CHADEMA kanisa lake liko wapi?

Duuuh kumbee arudishe majoho!
 

CHADEMA watapingana na wewe
 
Tuambie naona kama una kitu mkuu funguka........
Ninachokijua Mimi ni kuwa,

Mambo ya Awamu ya Tano yalikorogeka zaidi baada ya kuzuia maandamano ya Askofu huyo ya kudai Katiba na kupelekea kumuweka lock up!

Watumishi wa Mungu wa Kweli ni Mboni ya jicho la Mungu, kuwagusa ni kutafuta ugomvi na Mwenye mamlaka ya juu kuliko zote Mbinguni na duniani.

Ni hayo tu.
 
Hata mimi natamani kujua... au ni mchungaji deiwaka? Popote anakinukisha na upako... haha
 
Sina maneno mengi wengi wanauliza kanisa la huyu askofu wa siasa lipo pande zipi waweze kwenda kupata msosi msosi wa kiroho na kisiasa!



Kanisa halina maana ya jengo la wakiristu kama tunavyodhani, ni mkusanyiko wa waumini hata kama ndani ya jengo la CCM!(ila humu sijui kama Mungu atawaacha salama) au chini ya mnazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…