Askofu Mwamakula: Ole kwa Taifa lisilotenda HAKI kwa watu wake! Unamkamata mtu eti upelelezi haujakamilika karne hii?

Askofu Mwamakula: Ole kwa Taifa lisilotenda HAKI kwa watu wake! Unamkamata mtu eti upelelezi haujakamilika karne hii?

Ninavyojua mtuhumiwa akikaa je anaweza kuvuruga ushahidi....ndiyo maana huwa wakati mwingine huwa wanawekwa ndani...Pia wakati mwingine uwekwa ndani kwa usalama wao. Tuheshimu kazi za wenzetu jamani.
Unakuta Askofu Kama yeye haheshimu kazi za watu halafu anataka Yake iheshimiwe.Isipoheshimiwa anashangaa
 
Kwahiyo yukiletewa sera na miongozo isiyoturidhisha au haina maslahi maoana ya sekta zetu , yukinyimwa haki na uhuru , au tunalipa kodi hatuoni mrejesho kwenye huduma za jamii tukaamua kupaza sauti zetu NI MBAYA
Sauti za Yale yanayokukera mpelekee diwani au mbunge wako apeleke mbele .Kila mtu akipaza sauti mabarabarani hatutasikilizana
 
Kati ya vitu ulivyonyimwa na Mungu ni ufahamu, ila unalazimisha uonekane mjuaji wakati hujui chochote. Ona unavyoaibika kwa kuandika yasiyoeleweka. Askofu kaonhelea HAKI, kwako haki siyo jambo la Mungu, sasa kama siyo Upopoma ni nini!!?
Mungu hajamyima ufahamu shetani kamziba macho tumsaidie amjue Mungu hata kwa kutumia dini yetu ya asili
 
Sauti za Yale yanayokukera mpelekee diwani au mbunge wako apeleke mbele .Kila mtu akipaza sauti mabarabarani hatutasikilizana
Ohhhh yunatofautiana ila ni jambo jema inaonekana kwako kupaza sauti ni kupiga kelele
 
Ili nchi iendelee inahitaji kila mtu abobee kwenye eneo lake mfano mkulima alime Sana,injinia afanye Kazi za uinjinia Sana,Askofu afanye Kazi za Uaskofu Sana nk ukiona Askofu anavua kofia la Uaskofu kageukia fani ya Sheria au upelelezi ujue nchi inaanza kuchanganyikiwa na kuendelea itakuwa vigumu
Inaonekana una uwezo mdogo wa kuchanganua mambo...,
 
Kazi ya uaskofu ni nini?
Ili nchi iendelee inahitaji kila mtu abobee kwenye eneo lake mfano mkulima alime Sana,injinia afanye Kazi za uinjinia Sana,Askofu afanye Kazi za Uaskofu Sana nk ukiona Askofu anavua kofia la Uaskofu kageukia fani ya Sheria au upelelezi ujue nchi inaanza kuchanganyikiwa na kuendelea itakuwa vigumu
 
Wanayapataje mawazo yetu tusipoongea?
Ndio.Ndio maana huwa tunapiga kura kuchagua madiwani na Wabunge ili wao wawakilishe mawazo yetu huko.mbele sisi tuendelee kuchapa kazi kwenye taaluma zetu
 
Ili nchi iendelee inahitaji kila mtu abobee kwenye eneo lake mfano mkulima alime Sana,injinia afanye Kazi za uinjinia Sana,Askofu afanye Kazi za Uaskofu Sana nk ukiona Askofu anavua kofia la Uaskofu kageukia fani ya Sheria au upelelezi ujue nchi inaanza kuchanganyikiwa na kuendelea itakuwa vigumu
Kwa taarifa yako huyu Askofu ni retired Police Officer na ameshika nyadhifa kubwa.
 
Ili nchi iendelee inahitaji kila mtu abobee kwenye eneo lake mfano mkulima alime Sana, injinia afanye Kazi za uinjinia Sana, askofu afanye Kazi za Uaskofu Sana nk ukiona Askofu anavua kofia la Uaskofu kageukia fani ya Sheria au upelelezi ujue nchi inaanza kuchanganyikiwa na kuendelea itakuwa vigumu
Inaonekana hujui kazi za Askofu.Hata Yesu alikuwa anawakemea watawala walipojitia upofu kwa kutumia madaraka vibaya kuwaumiza wale wasiowapenda.
 
Tuheshimu tu hata pale unapoona wazi hali ya kukomoana?
Ninavyojua mtuhumiwa akikaa je anaweza kuvuruga ushahidi....ndiyo maana huwa wakati mwingine huwa wanawekwa ndani...Pia wakati mwingine uwekwa ndani kwa usalama wao. Tuheshimu kazi za wenzetu jamani.
 
Ni kufanya vizuri kwenye eneo lako la specializatio.

Mfano mleta mada Ni Askofu ambaye ukimwambia onyesha Makanisa yako hata matatu tu yalipo dar es salaam anaingia mitini na kutokomea gizani.Kwake hakujaendelea Hana matawi.

Kwa mkulima maendeleo ni kuongeza uzalishaji na kuongeza kipato kupitia kilimo.
Unasikitisha
 
Back
Top Bottom