Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Umetofautiana nao kina Yehodaya, Kipara kipya, Tujitegemee etc . Hawaelewi na wanadhani mtu kuzungumzia haki ni kumpinga kiongozi wao mtukufu !!!Nimeguswa na maneno haya ya
Askofu Mkuu, Baba Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula.
Natamani maneno haya yamguse jamaa yangu fulani, it might make a difference.
Mungu Mbariki sana Baba Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Angalau Pascal wape elimu hao praise team.