Unakuta Askofu Kama yeye haheshimu kazi za watu halafu anataka Yake iheshimiwe.Isipoheshimiwa anashangaaNinavyojua mtuhumiwa akikaa je anaweza kuvuruga ushahidi....ndiyo maana huwa wakati mwingine huwa wanawekwa ndani...Pia wakati mwingine uwekwa ndani kwa usalama wao. Tuheshimu kazi za wenzetu jamani.
Kati ya vitu ulivyonyimwa na Mungu ni ufahamu, ila unalazimisha uonekane mjuaji wakati hujui chochote. Ona unavyoaibika kwa kuandika yasiyoeleweka. Askofu kaonhelea HAKI, kwako haki siyo jambo la Mungu, sasa kama siyo Upopoma ni nini!!?Kazi ya kiongozi wa dini sio kuongelea maovu Ni kuongelea mambo ya Mungu
any way mm si mjuzi wa hizi dini za mitumbwi hizi kumbe hawaruhusiwi kukemea maovu wanatakiwa waseme tu ndiyo hewala babaYesu alitamka wazi kabisa utawala wangu SI wa dunia hii.Ukiona Askofu anajihusisha na mambo ya utawala wa dunia hii huyo SI Askofu wa Yesu
Sauti za Yale yanayokukera mpelekee diwani au mbunge wako apeleke mbele .Kila mtu akipaza sauti mabarabarani hatutasikilizanaKwahiyo yukiletewa sera na miongozo isiyoturidhisha au haina maslahi maoana ya sekta zetu , yukinyimwa haki na uhuru , au tunalipa kodi hatuoni mrejesho kwenye huduma za jamii tukaamua kupaza sauti zetu NI MBAYA
Mungu hajamyima ufahamu shetani kamziba macho tumsaidie amjue Mungu hata kwa kutumia dini yetu ya asiliKati ya vitu ulivyonyimwa na Mungu ni ufahamu, ila unalazimisha uonekane mjuaji wakati hujui chochote. Ona unavyoaibika kwa kuandika yasiyoeleweka. Askofu kaonhelea HAKI, kwako haki siyo jambo la Mungu, sasa kama siyo Upopoma ni nini!!?
Ohhhh yunatofautiana ila ni jambo jema inaonekana kwako kupaza sauti ni kupiga keleleSauti za Yale yanayokukera mpelekee diwani au mbunge wako apeleke mbele .Kila mtu akipaza sauti mabarabarani hatutasikilizana
Inaonekana una uwezo mdogo wa kuchanganua mambo...,Ili nchi iendelee inahitaji kila mtu abobee kwenye eneo lake mfano mkulima alime Sana,injinia afanye Kazi za uinjinia Sana,Askofu afanye Kazi za Uaskofu Sana nk ukiona Askofu anavua kofia la Uaskofu kageukia fani ya Sheria au upelelezi ujue nchi inaanza kuchanganyikiwa na kuendelea itakuwa vigumu
unajua Tumepewa uwezo tofauti mara nyingi watu wenye uwezo mkubwa mbele ya wajinga wengi wanaonekana. Vichaa ni maoni tuInaonekana una uwezo mdogo wa kuchanganua mambo...,
Yesu alitamka wazi kabisa utawala wangu SI wa dunia hii.Ukiona Askofu anajihusisha na mambo ya utawala wa dunia hii huyo SI Askofu wa Yesu
Ili nchi iendelee inahitaji kila mtu abobee kwenye eneo lake mfano mkulima alime Sana,injinia afanye Kazi za uinjinia Sana,Askofu afanye Kazi za Uaskofu Sana nk ukiona Askofu anavua kofia la Uaskofu kageukia fani ya Sheria au upelelezi ujue nchi inaanza kuchanganyikiwa na kuendelea itakuwa vigumu
Ndio.Ndio maana huwa tunapiga kura kuchagua madiwani na Wabunge ili wao wawakilishe mawazo yetu huko.mbele sisi tuendelee kuchapa kazi kwenye taaluma zetu
Kwa taarifa yako huyu Askofu ni retired Police Officer na ameshika nyadhifa kubwa.Ili nchi iendelee inahitaji kila mtu abobee kwenye eneo lake mfano mkulima alime Sana,injinia afanye Kazi za uinjinia Sana,Askofu afanye Kazi za Uaskofu Sana nk ukiona Askofu anavua kofia la Uaskofu kageukia fani ya Sheria au upelelezi ujue nchi inaanza kuchanganyikiwa na kuendelea itakuwa vigumu
Acha uongoKwa taarifa yako huyu Askofu ni retired Police Officer na ameshika nyadhifa kubwa.
Inaonekana hujui kazi za Askofu.Hata Yesu alikuwa anawakemea watawala walipojitia upofu kwa kutumia madaraka vibaya kuwaumiza wale wasiowapenda.Ili nchi iendelee inahitaji kila mtu abobee kwenye eneo lake mfano mkulima alime Sana, injinia afanye Kazi za uinjinia Sana, askofu afanye Kazi za Uaskofu Sana nk ukiona Askofu anavua kofia la Uaskofu kageukia fani ya Sheria au upelelezi ujue nchi inaanza kuchanganyikiwa na kuendelea itakuwa vigumu
Maendeleo ni watawala kuchukua korosho za wakulima kwa nguvu bila kuwalipa fedha yao.Maendeleo ni nn
Na kujigamba wamelipa mabilioni na huku watu wakinyamazishwa kwasiongee maendeleo ninkusifia serikali ya awamu ya tanoMaendeleo ni watawala kuchukua korosho za wakulima kwa nguvu bila kuwalipa fedha yao.
Ninavyojua mtuhumiwa akikaa je anaweza kuvuruga ushahidi....ndiyo maana huwa wakati mwingine huwa wanawekwa ndani...Pia wakati mwingine uwekwa ndani kwa usalama wao. Tuheshimu kazi za wenzetu jamani.
Inabadilisha nini? Hata akiwa wa Rwanda au Burundi bado ni askofu.Huyo Askofu Ni mtu wa Malawi
UnasikitishaNi kufanya vizuri kwenye eneo lako la specializatio.
Mfano mleta mada Ni Askofu ambaye ukimwambia onyesha Makanisa yako hata matatu tu yalipo dar es salaam anaingia mitini na kutokomea gizani.Kwake hakujaendelea Hana matawi.
Kwa mkulima maendeleo ni kuongeza uzalishaji na kuongeza kipato kupitia kilimo.