Askofu Mwamakula: Ole kwa Taifa lisilotenda HAKI kwa watu wake! Unamkamata mtu eti upelelezi haujakamilika karne hii?

walimkataa akaleta wokovu kwa mataifa
Nani alimtuma kwa mataifa ? Wacha ujinga. Yeye mwenyewe aliwakataza wanafunzi wake wasiende kwa 'mataifa' na akawaita watu wa mataifa nguruwe ! Utawapaje chakula cha BWANA nguruwe !?
Soma Baibo.
 
Yesu alitamka wazi kabisa utawala wangu SI wa dunia hii.Ukiona Askofu anajihusisha na mambo ya utawala wa dunia hii huyo SI Askofu wa Yesu
Maovu hayawezi kufumbiwa macho na viongozi wa dini. Aliyoyatenda askofu Tutu kupambana na udhalimu wa makaburu hayana maana?
 
Maovu hayawezi kufumbiwa macho na viongozi wa dini. Aliyoyatenda askofu Tutu kupambana na udhalimu wa makaburu hayana maana?
Hayana maana yoyote ubaguzi aliopiigania wa kijinga kabisa alipigania wazungu wasibague waafrika ili waafrika kusini weusi wajinafasi kubagua waafrika wenzao wa nchi zingine.Umeshaona Afrika kusini mzungu yeyote anafukuza waafrika na kuchoma maduka ya waafrika weusi? Desmond Tutu alipigania Vita ya kijinga sababu Afrika kusini ubaguzi ni.mkubwa wa waafrika kusini weusi kuwabagua waafrika wenzao weusi wa nchi zingine.Angebaki tu Kanisani kusalisha sababu Hakuna ubaguzi alioumaliza
 
Kwani askofu amezuiaje serikali kufanya lazi yake? Uasi wake unamzuia au unamwondelea haki yake ya kutoa maoni yake? Mmelogwa na nani nyie praise timu ya Lumumba? Kwanza hata siamini kama umesoma hiyo thread na kuielewa, vinginevyo usingeandika huu upupu.
 
HUO UBAGUZI HATA SISI TUNAO, TUNATAKA SAMATTA ACHEZE NJE ILA WAGENI WASIJE,
TUNATAKWENDA MAREKANI KUSOMA NA KUFANYA KAI ILA WAO WAKIJA NI MABEBERU.
 
Ninavyojua mtuhumiwa akikaa je anaweza kuvuruga ushahidi....ndiyo maana huwa wakati mwingine huwa wanawekwa ndani...Pia wakati mwingine uwekwa ndani kwa usalama wao. Tuheshimu kazi za wenzetu jamani.
Ngoja mwanao awekwe ndani halafu uje tena utoe hii kauli
 

Peleka useng@e mbali we dogo. Wewe unapaswa nikufungulie bomba la matusi ili uache upuuzi. Pumbavu ww na utamu wa mama yako.
 
Yehodaya kumbe ndio huwa mbumbumbu kiasi hiki😰😰😰
.
Unafahamu wana taaluma zao zingine hao mfano askofu Liberatus Sanga wa jimbo la shinyanga ni daktari je akiamua kuongelea mambo ya udaktari ni kosa?
 
Yehodaya kumbe ndio huwa mbumbumbu kiasi hiki😰😰😰
.
Unafahamu wana taaluma zao zingine hao mfano askofu Liberatus Sanga wa jimbo la shinyanga ni daktari je akiamua kuongelea mambo ya udaktari ni kosa?
Mwamakula Hana fani ya upelelezi
 
ANGEKUWA KAONGEA PAPA FRANCIS MSINGEPIGA KELELE , SABABU ASKOFU WA KITANZANIA MNAFUNGUA MIDOMO YENU BILA KUHUSISHA UBONGO
 
[QUOTE = "senzighe, chapisho: 32874578, mwanachama: 65203"]
HILI NDILO TATIZO KUBWA LA HAWA WANAOITWA MAASKOFU WA MAKANISA YA HAPA TANZANIA.WAO NDIO WANASIASA, WANASHERIA WAKUBWA, MAHAKIMU, MAJAJI, MAINJINIA, MADAKTARI NA KILA FANI UNAYOIJUA.
TAFADHALINI IACHENI SERIKALI NA VYOMBO VYAKE VIFANYE KAZI ILI AMANI YETU IENDELEE KUWEPO.MNATAKA HATA ANAYEKULA NJAMA KUIHUJUMU SERIKALI AU KUFANYA UHAINI AKIKAMATWA ASUBUHI AACHIWE JIONI? UPELELEZI SIYO SAWA NA KUHUBIRI. UNAWEZA KUHUBIRI HATA UWONGO KISHA UKAJIONDKEA ZAKO.
IWAPENDEZE BASI NYIE WATU WA MUNGU MUACHIE MAMLAKA ZIFANYE KAZI YAKE.
[/ QUOTE]




OV O KA ISA
 

Attachments

  • IMG-20141102-WA0010.jpg
    56.6 KB · Views: 22
Mkulima wa Korosho mlimletea maendeleo gani mwaka jana baada ya kufanya juhudi tosha kwenye specilaization yake ya kuwa Mkulima?
 
RC na Wasabato waoga sana.
Walokole wao wameunga mkono mana hawana taasisi wao ni mtummoja mmoja.
KKKT wanajitahidi sana
 
Wewe unaonekana kabisa Kanisa Hulijui wala maandiko huyajui.

Kasome Biblia, manabii walitumiwa na Mungu, kwenda kuwanya MOJA KWA MOJA WAFALME WA NCHI.

Tena walitoa na maelekez juu ya kile kitakachotokea ikiwa Mfalme huyo atashupaza shingo.


Ukiwa kama mkristo. Jiulize kwann Yesu alikua akiwaoigania masikin??? Wagonjwa...wafungwa wa kimwili nakiroho???

HAKI NI SEHEM YA IBADA .... KAMA HUTENDI HAKI, HATA UTOE VIPI ZAKA NA SADAKA, UJENGE KANISA AU MSIKIITI, ..KAMWE UFALME WA MUNGU UTABAKI KUUSIKIA TU.
 
Neno 'mkuu', sasa linakosa maana. Maana hata wajinga kabisa nao wanatajwa 'mkuu'
 
Nyinyi mnaompinga askofu someni hiyo Amosi 5 aliyosimamia katika hoja yake muielewe kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…