Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Mkuu kuna mtu gani angeweza kusema uovu wa JPM akiwa hai? Acha ungese aisee.
 
Acha kutetea uovu. Kwani Magufuli alikuwa mungu? Kwanini asingiziwe? La muhimu sasa ni kuweka wazi maovu yaliyofanywa na kufanya upatanisho ili damu zisizo na hatia alizomwaga zisilete athari kwa taifa!
 
Kwani nae askari amekufa!
 
Biblia
'Hosea 4:6'
6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
 
😡
 
Kigogo2014 aliandika saba mambo hayo ni nyie tu mliziba maskio na macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…