Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Kwa maneno mengine, Askofu anatuthibitishia kwamba yaliyoandikwa katika kitabu cha Kabendera ni kweli kwani naye alipewa taarifa hizohizo ila hakuwahi kuzisema kokote.
Ben Saanane alitekwa na kikundi cha kina Makonda na kupelekwa Ikulu kwa Magufuli na alipigwa risasi hapo hapo Ikulu Dar es Salaam na Magufuli mwenyewe.

Taarifa hizi hata mimi niliambiwa mwaka 2020. Ni sasa tu Kabendera kaja kuzithibitisha kwenye kitabu chake.
 
Polee sana. Hakuna shujaa muuaji
 
what are you trying to tell in essense
Mimi sio sisiemu, sio cdm lkn katika marais waliowahi kuiongoza nchi yangu ya Tanzania wakwanza Ni nyerere wa pili Ni jpm.

Wapo marais wamepita lkn bado hawajawakaribia hata robo kwa uongozi na ushawishi, angalia hata misiba yao ilivyo na mguso kwa raia.

Najua pamoja na Mambo yote yanayoongelewa lkn hatujafahamu Nini walifanya wahanga kiasi Cha kupelekea kifo Chao. Tunachojua zaidi Ni tukio lakupotea. Na hata Kama wasingepotea sidhani Kama wangeweza fikia hata robo la aliyoyafanya rais. Kuna maumivu kwa familia na raia lkn haitoweza kubadilika. Kingine hayo Ni maneno watu waweke ushahidi hapa itakuwa rahisi kuamini.
 
W
ameshaambiwa HACHAFUKI ! HACHAFUKI !HACHAFUKI !
Lakini bado wameshupaza shingo zao 😳🙄 !
 
Umemaliza kila kitu
 
JPM alitufunulia na kutuonyesha namna mambo mengi mazuri yanaweza kufanyika katika nchi hii na nchi ikaenda mbele kwa haraka.

Taifa hili hela nyingi inapotea mikononi mwa watu wasiowaaminifu kuanzia watumishi, wafanyabiashara na makampuni ya nje yaliyojikita kwenye fraud kwa kushirikiana na watumishi na viongozi.

Kupitia JPM watu wengi walijua shida ya nchi hii ni ombwe la uongozi na kukiwa na kiongozi shupavu basi mambo yanaweza kwenda kwa kasi.

Mapenzi ya wananchi mitaani dhidi ya JPM ni makubwa sana na ukweli uliowazi, WANANCHI WANAHITAJI JPM mwingine.

Binafsi kwangu JPM alikuwa na huruma sana, alipaswa kuua wapumbavu na wajinga weeengi sana katika nchi hii ambao wanaua watu kila siku kupitia upumbavu wao.
 
Yule kwanza sio Askofu tulishamfukuza muda mrefu.
 
Ukiwa baba wa familia mwanaume Kuna mambo utavumilia familia isipasuke.... Hicho ndo alifanya mwamakula..
 
Umemaliza !
Kwa kigogo Tunasemaga You nailed it !🙏🙏
 
Najua pamoja na Mambo yote yanayoongelewa lkn hatujafahamu Nini walifanya wahanga kiasi Cha kupelekea kifo Chao
we ni mtu wa ajabu kabisa. Walifanya nini? walipinga serikali yake, ambacho ni haki yao kupinga serikali. hawakuwa wahaini, wala waovu. AKAWAUA!
 
Nkikumbuka Kabendera alivoteswa.
Nkikumbuka Ben Saanane alivokuwa akilalamika anatishwa.
Nkikumbuka Yussuph Manji alivoteswa.
Nkikumbuka mkurugenzi wa stendi ya ubungo alivoanguka ghafla na kufa.
Mungu ndo mwamuzi.
Kabendera aliteswa kivipi kwani kupelekwa mahakamani ni kuteswa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…